Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


PENZI LA KWELI LINA HISTORIA HAKIKISHA

MUNGU ni mwema sana mpenzi msomaji. Ametukutanisha tena Jumamosi nyingine ili tuweze kupata elimu mpya ya masuala ya uhusiano. Hakuna sababu ya kuwa mbishi. Ukiruhusu moyo wako kujifunza, utajifunza na kuweza kubadilika katika maeneo ambayo haukuwa sawa kwani hakuna mwanadamu aliyekamilika. Wiki iliyopita tulijifunza kuhusu umuhimu wa wapendanao kupeana. Nilisema, utamu wa penzi ni wapendanao kushirikiana. Ukiona mwenzako...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

GPL

TRUE LOVE (PENZI LA KWELI)-102

Ugonjwa hatari wa Ebola ulioikumba nchi ya Liberia iliyopo Magharibi mwa Bara la Afrika, unasababisha matatizo makubwa kwenye mapenzi ya vijana wawili waliokuwa wakipendana kwa dhati, Laurance na Rafiki ambao wote walikuwa madaktari. Laurance aliyesafirishwa na Shirika la Afya la Umoja wa Mataifa hadi nchini Liberia kuungana na jopo la madaktari kusaidiana kupambana na ugonjwa wa Ebola, anajikuta akiambukizwa ugonjwa huo hatari...

 

10 years ago

Vijimambo

Utajua Marafiki wa kweli na Mburulazzz, Lulu Michael Ndio Rafiki wa Kweli

The King Of All Bongo Social Media Network, Le Mutuz ukipenda muite Mzee wa mabebezz amemshukuru mrembo na mwigizaji lulu kwa kuonyesha kumjali wakati wa matizao na kuwashukia baadhi ya marafiki zake ambao huwa wao pamoja nae wakati wa raha tu, ila wakataki washida wote hupoatea. Le mutuz alifunguka“Kwenye shida ndio utajua marafiki wa kweli na le super gademu mburulazzz ..nilipotangaza my House warming Party yanapiga simu kila dakika kuomba mualiko lakini nimesema Mama yangu anaumwa hamna...

 

10 years ago

Mwananchi

Unaposoma unaweza kutambua taarifa anazoandika mtunzi zilizo kweli na zisizo kweli?

Katika makala yangu yaliyochapishwa gazetini tarehe Julai 6, iliyokuwa na kichwa : “Fahamu namna ya kuboresha uwezo wako wa kusoma,” nilieleza kuwa sharti moja la kusoma vizuri ni kuwa na uwezo wa kusoma huku ukitathmini ukweli wa habari unayosoma. Kuna wasomaji kadhaa wameniomba nieleze jinsi mtu anavyoweza kutathmini anachokisoma.

 

11 years ago

GPL

HAKIKISHA HUBANDUKI NJIA KUU-7

INAENDELEA TOKA TOLEO LILILOPITA. “Alisema ‘Mungu asante kumbe mke wangu bado yupo hai’, aliponikumbatia nami nilimshika kwa nguvu, nikatumia nafasi hiyo kumuomba msamaha kwa usaliti niliomfanyia, maana nilishatambua anajua kila kitu, sikutaka kumzungusha, nilihitaji zaidi msamaha wake. “Bila kutarajia, mume wangu aliniambia amenisamehe na akanionya nisirudie tena. Kikafuata kipindi cha kubembelezana,...

 

11 years ago

GPL

HAKIKISHA HUBANDUKI NJIA KUU- 5

KUNA manufaa makubwa ya kuheshimu ndoa/penzi lako. Kikubwa ni utulivu wa akili yako mwenyewe. Tambua kwamba unapochepuka, unakuwa unajiingizia mzigo kichwani ambao hauna sabababu yoyote. Utakuwa mtu wa wasiwasi wa kujitakia. Ukipigiwa simu mbele ya mwezi wako unaanza kuchachawa. Ukisasahau simu nyumbani akili inaruka kwa kuchanganyikiwa. Badala ya kulala unakuwa kama mlinzi, unamvizia mwenzio alale asije kushika simu yako....

 

11 years ago

GPL

HAKIKISHA HUBANDUKI NJIA KUU-2

Kipengele cha “Heshimu Penzi Lake, Linda Penzi Lako”, ndicho ambacho nilikuwa naendelea kukichambua katika toleo lililopita. Wakati tunaendelea, nakusisitizia kwamba baki njia kuu, kwa maana ukiteleza mara moja inaweza kukugharimu maisha yako yote kurejesha furaha yake bila mafanikio. Siku zote unapoingia kwenye uhusiano wa kimapenzi, lengo la juu kabisa la kwako wewe, linatakiwa liwe kumfanya mwenzi wako afurahi...

 

11 years ago

GPL

HAKIKISHA HUBANDUKI NJIA KUU-6

Tukio linaweza kujiri leo lakini likasababisha mtafaruku ndani ya ndoa kwa miaka yote iliyobaki, kwa maana hiyo chukua tahadhari na ujichunge. Hakikisha hubanduki njia kuu. Mama Dennis anaendelea kusimulia kisa chake cha kusaliti ndoa, kwani hicho kina mafundisho makubwa sana. Nakuomba ukifuatilie, maana ni vizuri sana kujifunza kwa mifano. Alihadaika kwa penzi la dereva taksi anayeitwa Sospeter maarufu kama Sos, yaliyompata...

 

11 years ago

GPL

HAKIKISHA HUBANDUKI NJIA KUU- 6

Asimuliaye mvua imemnyeshea, Mama Dennis yalishamkuta, alichepuka mara moja lakini matokeo aliyoyapata yalikuwa ni makubwa mno na yakamfanya ajute maisha yake yote na mpaka sasa, haamini kama kovu hilo litakuja kufutika. Katika simulizi yake, wiki iliyopita alieleza jinsi ambavyo aliweza kuongozana na dereva taksi anayeitwa Sospeter ambaye hujulikana kwa kifupi kama Sos. Walienda kwenye nyumba ya rafiki wa dereva huyo na kufanya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani