Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


PETS yawafungua macho Majohe, Chanika

KABLA ya kufanya mradi wa uwezeshaji wa jamii kushiriki kwenye mchakato wa bajeti na ufuatiliaji wa matumizi ya fedha na rasilimali za umma (PETS) katika sekta ya elimu, wanafunzi wa...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

StarTV

M/kiti wa CCM Majohe ajiuzulu baada ya tuhuma za rushwa

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi kata ya Majohe, Gekura Gisiri, amejiuzulu baada ya mgombea wa udiwani kwenye kata hiyo, Hassan Kingalu aliyekuwa akilalamikiwa kutoa rushwa wakati wa mchakato wa kura za maoni kutangazwa mshindi atakayegombea udiwani wa kata hiyo.

Pamoja na hatua hiyo ya kujiuzulu, wananchi wa eneo hilo nao wameonyesha kutokukubaliana na kupitishwa kwa mgombea huyo, kwa kudai kuwa hana sifa za kuwa kiongozi wao.

Mwenyekiti huyo wa CCM kata ya Majohe, Gekura Gisiri...

 

10 years ago

Vijimambo

Madaktari wa Macho kutoka Shirika la Specsavers Watowa Huduma ya Macho kwa Wananchi Skuli ya Kiembesamaki Zanzibar

Daktari wa Shirika la Spacsaver Ingrid Stenersen akimfanyia uchunguzi mmoja ya wananchi wa Jimbo la Kiembesamaki waliofika Skuli ya Sekondari ya eneo hilo kupatiwa huduma ya macho.Daktari wa macho kutoka Shirika la Spacsaver Petter Daniesin akimfanyia vipimo mtoto Sabrina Abdalla Salum katika zoezi linalofanyika Skuli ya Sekondari ya Kiembesamaki.Wananchi wa Jimbo la Kiembesamaki wakiwa katika mistari wakisubiri huduma ya kupima macho inayotolewa kwa ushirikiano na madaktari kutoka...

 

10 years ago

TheCitizen

For the love of your pets

While growing up in Kilimanjaro Region, Zuberi Aboubakar spent much of his time, admiring the men and women in uniform at CCP Police College while they trained horses and dogs.

 

5 years ago

Quartz

The WHO says that dogs, cats, and other pets can get coronavirus

The WHO says that dogs, cats, and other pets can get coronavirus  QuartzCan Dogs Get Coronavirus? Here's What the World Health Organization and Experts Say  GoodHousekeeping.comCats and dogs can't get coronavirus, WHO confirms  VTThere's No Evidence That Suggests Your Pets Could Get Coronavirus  LADbibleQuarantined dog tests negative for coronavirus in HK - The Jakarta Post  Jakarta PostView Full coverage on Google News

 

10 years ago

Habarileo

Mradi wa Pets kuendelea kutoa elimu

LICHA ya baadhi ya watendaji katika idara za kiserikali kuuona mradi wa Ufuatiliaji wa Matumizi ya Rasilimali za Umma (PETS) kama mwiba kwao, mtandao wa asasi zisizo za kiserikali wilayani Nkasi mkoani Rukwa (Nkango), umesema utaendelea kutoa elimu ya mradi huo.

 

5 years ago

The Guardian

Hong Kong warns residents not to kiss pets after dog contracts coronavirus

Hong Kong warns residents not to kiss pets after dog contracts coronavirus  The GuardianPet dog of Covid-19 patient infected, Hong Kong health officials confirm  South China Morning PostHong Kong Confirms Pet Dog Has Coronavirus in Suspected Human-to-Animal Transmission  ScienceAlertCoronavirus patient’s dog tests positive for bug in ‘likely’ case of human-to-animal transmission say autho  The SunCoronavirus and Your Dog: No Need to Panic Yet  The New York TimesView Full coverage on Google...

 

9 years ago

Michuzi

NGUMI KUPIGWA CHANIKA SEPTEMBA 26

Na Mwandishi Wetu BONDIA Said Mbelwa anatarajia kupanda uringoni kwa mara nyingine tena kugombania mkanda wa taifa wa chama cha ngumi za kulipwa PST dhidi ya bondia George Dimoso mpambano .Mpambano utakaofanyika Septemba 26 katika ukumbi wa Butihama Villa Club uliopo chanika mpambano huo wa raundi kumi ulioratibiwa na 
Kocha wa kimataifa nchini Rajabu Mhamila 'Super D' utakuwa ni wa kumaliza ubishi baada ya mpambano wa kwanza Dimoso kudundwa kwa point

Super D aliongeza kuwa siku iyo...

 

10 years ago

Daily News

Students terrorise Chanika Ward


Students terrorise Chanika Ward
Daily News
A WAVE of crimes has hit some areas in Chanika Ward, Ilala District. Acts of hooliganism carried out by students have erupted in the locality worrying residents in the area. Some well-behaved students have expressed concern that they face a lot of ...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Fuvu la kichwa lakutwa Chanika

WATU watatu wameripotiwa kufariki dunia jijini Dar es Salaam juzi katika matukio tofauti akiwamo mmoja aliyekutwa fuvu la kichwa pekee. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Ilala, Marietha Minangi, alisema kati...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani