Picha: Huu ni mjengo mpya wa kifahari wa P-Square uliopo Atlanta, Marekani
P-Square wameonesha mjengo wao mpya uliopo, Buckhead, Atlanta nchini Marekani. Hiyo ni nyumba yao ya tatu ya kifahari iliyopo nchini humo. “More blessings condo number 3, new home,big things instillation time,” wameandika kwenye ukurasa wao wa Facebook. “New landlords in Atlanta buckhead more blessing ….. Only God can do this,” wameandika kwenye picha nyingine. “We […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo507 Oct
Picha: Huu ndio mjengo mpya watakaohamia Jay Z na Beyonce wenye thamani ya $40m uliopo Los Angeles
10 years ago
GPL
DAVIDO ATUPIA MTANDAONI MJENGO WAKE MPYA WA ATLANTA
10 years ago
Bongo506 Dec
Beyonce na Jay Z kununua mjengo huu, una thamani ya shilingi bilioni 145 (Picha)
10 years ago
Bongo526 Oct
Nicki Minaj na Meek Mill kununua mjengo wa kifahari pamoja
10 years ago
Mtanzania15 Sep
P-Square wanunua nyumba Atlanta
ATLANTA, MAREKANI
NYOTA wa muziki kutoka nchini Nigeria ambao wanaunda kundi la P-Square, Paul na Peter Okoye, wameonesha jeuri ya fedha baada ya kununua nyumba Atlanta, nchini Marekani.
Wasanii hao ambao wanatishia kwa utajiri barani Afrika, hiyo itakuwa ni nyumba yao ya tatu kuimiliki nchini Marekani.
Kupitia akaunti ya Instagram ya Paul, aliweka picha mbalimbali za nyumba hiyo na kuandika maneno ambayo yalisema: “Pongezi kwetu kwa kufanikisha zoezi la ununuzi wa nyumba nyingine, hii...
11 years ago
Bongo512 Aug
Picha/Audio: Utengenezaji wa video mpya ‘Mr. Oreo’ ya Iyanya, Marekani na sikiliza wimbo wake mpya ‘Story story’
10 years ago
Bongo523 Jan
Picha: Idris Sultan anunua nyumba hii ya kifahari!
10 years ago
VijimamboPATA VIKWANGUA ANGA JIJI LA ATLANTA, GEORGIA NCHINI MAREKANI
10 years ago
Bongo523 Sep
Picha: Muigizaji wa Kenya apoteza maisha kwenye ajali mbaya akiwa na gari ya kifahari