Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Picha: Lulu Afuturu pamoja na Watoto yatima wa "Chakuwama"

Msanii wa maigizo Elizabeth Michael maarufu kama "Lulu" jana jioni aliwakumbuka watoto yatima wa kituo cha ''Chakuwama'' kilichopo Sinza Meeda na kujumuika nao kwenye Futari iliyo andaliwa na msanii huyo... Lulu aliambatana na Mama yake mzazi, Mama Kanumba, Dk. Cheni na watu mbali mbali.  

 

 

 

 

 

 

CloudsFM

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Bongo5

Picha: Lulu, Mama Kanumba wafuturu na watoto yatima

Msanii wa filamu, Elizabeth ‘Lulu’ Michael, Alhamis ya wiki hii, alienda kufuturu pamoja na watoto yatima wa kituo cja Chakuwama kilichopo Sinza Mori jijini Dar es Salaam. Lulu alimbatana na Mama yake mzazi, Mama Kanumba na Dk Cheni. Hizi ni baadhi ya picha. Lulu akiwa na Mama ambaye ndo mlezi wa kituo hicho Watoto wakipata […]

 

10 years ago

Michuzi

TANESCO YASHEREHEKEA MWAKA MPYA NA WATOTO YATIMA WA KITUO CHA CHAKUWAMA,SINZA JIJINI DAR

Kaimu Mkurugenzi wa Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco),Mhandisi Decklan Mhaiki akizungumza na wanahabari mara baada ya kutembelea maeneo mbali mbali ya kituo cha cha kulea Watoto Yatima cha CHAKUWAMA,ambapo amefarijika sana kuona maendeleo ya watoto katika kituo hicho.ambapo waliweza kuwapatia watoto hao vifaa vya shule na vyakula kama sehemu ya mchango wao.Kituo hicho kipo Sinza Mori,Jijini Dar es Salaam.
Katibu Mtendaji wa Kituo cha kulea Watoto Yatima cha CHAKUWAMA,Hassan Hamis (kulia)...

 

11 years ago

Michuzi

kundi la Mkwawa Moja Alumni Association (MMAA) watoa msaada kwa watoto yatima wa kituo cha CHAKUWAMA,Sinza

Wanawake wanaowakilisha na kuunda kundi la Mkwawa Moja Alumni Association (MMAA) Edith Masuki, Cheyzo Uliza na Scola wakiwasilisha zawadi za mkono wa Idd kwa watoto,wanaolelewa kwenye kituo cha watoto yatima CHAKUWAMA kilichopo Sinza Dar es Salaam mwishoni mwa wiki .

Dada Cheyzo Uliza,Edith Masauki na Dada Fatma Mgembe wakionesha upendo kwa watoto wadogo waliopo kituoni hapo.baadhi ya watoto wa kituo hicho wakiwa ni wenye furaha kwa kutembelewa na ugeni huo.

 

11 years ago

Michuzi

Mkwawa Moja Alumni Association (MMAA) watoa msaada kituo cha watoto yatima CHAKUWAMA-SINZA jijini Dar

 Picha ya kwanza ni dada Edith Masuki, Cheyzo Uliza na Scola wakiwasilisha zawadi kwa watoto,Wanawake wanaowakilisha na kuunda kundi la Mkwawa Moja Alumni Association (MMAA) walipotembelea kituo cha watoto yatima CHAKUWAMA kilichopo Sinza Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.Pichani ni Dada Cheyzo Uliza na Dada Fatma Mgembe wakionesha upendo kwa watoto wadogo zaidi waliopo kituoni hapo.Baadhi ya watoto wa kituo hicho wakipokea zawadi za Eid zilizoletwa na akina Dada hao wa kundi la MMAA.

 

10 years ago

Michuzi

MFUKO WA PENSHENI WA GEPF WASHEREHEKEA MWAKA MPYA NA KITUO CHA WATOTO YATIMA NA WASIO NA MAKAZI MAALUM (CHAKUWAMA) KILICHOPO SINZA

Meneja Masoko wa Mfuko wa GEPF,Bw Aloyce Ntukamazina (shati draft) akimkabidhi Katibu Mtendaji wa Kituo cha kulea Watoto Yatima cha Chakuwama,Bw. Hassan Hamisi msaada wa mahitaji mbali mbali ya chakula kwaaajili ya watoto wa kituo hicho.katikati ni Afisa Masoko Msaidizi wa Mfuko wa GEPF,Bw. Adam Hamza.Katibu Mtendaji wa Kituo cha kulea Watoto Yatima cha Chakuwama,Bw. Hassan Hamisi akipokea moja ya ‘pampers’ maalum kwaajili ya watoto wachanga kutoka kwa Afisa Mafao Mwandamizi wa Mfuko wa...

 

10 years ago

Vijimambo

MAJAJI WA BONGO STAR SEARCH WATEMBELEA KITUO CHA KULELEA WATOTO YATIMA CHA CHAKUWAMA NA KUTOA MSAADA

Majaji wa Bongo Star Search kuelekea msimu wa nane wa BSS2015 wamejumuika na watoto Yatima wa kituo cha Chakuwama kilichopo eneo la Mwenge jijini Dar es Salaam na kula Iftaar na watoto hao kipindi hiki cha mfungo wa Ramadn na kutoa misaada mbali mbali.Kituo hicho ambacho kina jumla ya watoto yatima 100 kuanzia wachanga mpaka miaka 16 na wahudumu 10. Huduma ya kuchukua Iftaar tayari kwa kufuturu ikiendelea.
 Jaji kiongozi wa mashindano ya kusaka vipaji vya muziki, maarufu BSS, Rita Poulsen...

 

10 years ago

Michuzi

RAIS KIKWETE ATOA MKONO WA EID EL FITR KWA WATOTO YATIMA ,MAHABUSU YA WATOTO PAMOJA NA WAZEE WASIOJIWEZA

Watawa wa kituo cha kulea watoto yatima cha Mburahati wakipokea msaada wa Mbuzi,Mchele na Mafuta uliotolewa na Rais Jakaya Kikwete, kutoka kwa Kamishna Msaidizi wa Ustawi wa Jamii, Beatrice Fungamo katika hafla iliyofanyika leo katika Mahabusu ya Watoto Jijini Dar es Salaam. Mwakilishi wa Kituo cha Darul Alqam, Shaban Mohamed akipokea msaada wa Mbuzi,Mchele na Mafuta uliotolewa na Rais Jakaya Kikwete, kutoka kwa Kamishna Msaidizi wa Ustawi wa Jamii, Beatrice Fungamo katika hafla...

 

10 years ago

Michuzi

Balozi Seif Ali Iddi awaadalia Futari ya pamoja Watoto Yatima, Mjini Dodoma

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akitoa sadaka kwa Watoto Yatima wa kiumewa Kituo cha Kulelea Watoto Yatima cha Rahman kiliopo Chang’ombe Mjini Dodoma hapo kwenye makazi yake Mtaa wa Farahani Mjini Dodoma.Kulia ya Balozi Seif Ali Iddi ni Mkewe Mama Asha Suleiman Iddi.Balozi Seif Ali Iddi akitoa sadaka kwa Watoto Yatima wa Kike wa Kituo cha Kulelea Watoto Yatima cha Rahman kiliopo Chang’ombe Mjini Dodoma baada ya kufutari nao pamoja.Baadhi ya Watoto Yatima wa Kituo cha...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani