Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Picha: Mwana FA ageuka mchora hina katikati ya jiji la Nairobi!

Anatokea Tanga kule mapenzi yalikozaliwa, hivyo usishangae kama Hamis Mwinjuma aka Mwana FA akamchora msichana hina na akapendeza! Hata hivyo hiyo ni kazi aliyoifanya mara moja tu tena kwenye moja ya scene ya video ya ‘Kiboko Yangu’ anayoshoot na Ali Kiba aliyemshirikisha kwenye wimbo huo, jijini Nairobi. Binamu aka The Choir Master, amepost picha Instagram […]

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

MNARA WA SAA KATIKATI YA JIJI LA DAR

 Huu ni moja kati ya Minara ya awali kabisa hapa jijini Dar es salaam.Mwenye kujua zaidi juu ya hisroria ya mnara huu atumwagie vitu hapa.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Machinga wang’ang’ania katikati ya jiji

WAFANYABIASHARA ndogo ndogo ‘machinga’ wameendelea kufanya biashara katikati ya Jiji la Dar es Salaam huku wakisema maeneo wanayopewa na serikali si rafiki kwa biashara. Wakizungumza kwa nyakati tofauti jana, walisema...

 

11 years ago

Habarileo

Bodaboda watakaofika katikati ya jiji kunyang’anywa leseni

WAENDESHA bodaboda na 'bajaji'ambao watakiuka agizo la kutoingia katika Eneo la Katikati ya Jiji (CBD), watanyang'anywa leseni zao za biashara, kwa kukiuka sheria. Hayo yameelezwa na Kamishna wa Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Suleiman Kova wakati akizungumza na waandishi wa habari juu ya baadhi ya madereva wanaokiuka agizo hilo.

 

10 years ago

Michuzi

FOLENI YANOGA MAENEO YA KATIKATI YA JIJI LA DAR HII LEO

Kutokana na mvua kubwa zinazoendelea kunyesha maeneo mbali mbali hapa jijini Dar, imepekea baadhi ya njia kufungwa kutokana na wingi wa maji kwenye baadhi ya madaraja, hali iliyopelekea kuwepo kwa msongamano mkubwa la magari kama ionekanavyo pichani hapa katika Barabara ya Azikiwe, kutokea kwenye kipita shoto cha Askari.Picha zote na Othman Michuzi. Mjini leo hakuna kutoka, maana foleni ni kila kona. Azikiwe hiyo.
Mzee wa Feva kaamua kukaa kando, maana hakuna hata anaetaka kumsikiliza.

 

10 years ago

GPL

MAJAMBAZI YATIKISA KATIKATI YA JIJI LA DAR ES SALAAM, YATIWA MBARONI

Mmoja wa watu wanaodaiwa kuwa ni majambazi akiwa mikononi mwa polisi baada ya kutiwa mbaroni Mnara wa Saa maeneo ya Stesheni jijini Dar es Salaam leo mchana kwa madai ya kupora kiasi kikubwa cha fedha. Watu hao wanadaiwa kuwa walikuwa wanne. Kijana mwingine anayedaiwa kuwa ni jambazi akiwa amekamatwa. Watuhumiwa hao wanne…

 

10 years ago

Dewji Blog

Kunguru chanzo cha moto jengo la Consolidated Investments Ltd katikati ya jiji

IMG-20150210-WA0082

Hii ni sehemu ambayo inaonyesha moto ulipoanzia, baada ya Kunguru kukanyaga nyaya za umeme zilizopelekea shoti.

Na Andrew Chale, modewjiblog

INAELEZWA kuwa moto mkubwa uliozuka na kuteketeza  mapema leo  jengo la ghorofa mbili Consolidated Investments Ltd ambalo ni mali ya Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) Plot namba 1809/88 katika makutano ya Mtaa wa Mosque  na Libya katikati ya jiji la Dar es Salaam, ni kufuatia Kunguru kugusa nyaya za umeme uliokuwa unaingia kwenye jengo hilo.

Mtandao wa...

 

10 years ago

Dewji Blog

Majambazi yatikisa katikati ya jiji la Dar leo mchana yatiwa mbaroni

Picha ya 1-2 ni mmoja wa watu wanaodaiwa kuwa ni majambazi akiwa mikononi mwa polisi baada ya kutiwa mbaroni Mnara wa Saa maeneo ya Stesheni Dar es Salaam leo mchana kwa madai ya kupora kiasi kikubwa cha fedha. Watu hao wanadaiwa kuwa walikuwa wanne.

Kijana mwingine anayedaiwa kuwa ni jambazi akiwa amekamatwa.

Watuhumiwa hao wanne wa  ujambazi  wakiwa ndani ya Noah kabla ya kupelekwa Kituo Kikuu cha Polisi. Kulia ni askari Polisi.

Askari kanzu (katikati), ndiye anadaiwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani