Picha: Nadeka kwa Mama ‘Kitindamimba Mie’
“Nipo na kipenzi changu roho ya mie tuna wapendwa waungwana wangu..... leo niko na mama yangu mzazi nadeka kidogo damwani mtoto kwa mama hakui “kitindamimba mie”.
Voooh imenipata kazi kubwa sana mpaka kukubali tupige picha hahahhaha nampenda sana anajua tuna watakia ijumaa njema wapendwa wangu... Hakuna kama mama ila tusiwasahau walezi wetu hata kama ni dada wakazi alikulea basi huyo ni mama pia... Tusije kujuta mwishoni nawao washaondoka tuwaenzini duniani kama radhi tuna taka.... nani...
Bongo Movies
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL17 Aug
10 years ago
Vijimambo
10 years ago
Bongo504 Sep
Picha: Mama Diamond na mama Zari walipokutana kwenye ‘state house’ ya Platnmuz
11 years ago
Bongo520 Aug
Picha: Mfahamu ‘baby mama’ wa Professor J, ‘Mama Lisa’
10 years ago
Mwananchi10 Apr
Kitindamimba familia ya Rais Kikwete ataka ubunge B’moyo
10 years ago
Bongo508 Oct
Video: Man DH — Nipe Mie