Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Picha: Mfahamu ‘baby mama’ wa Professor J, ‘Mama Lisa’

Black Rhyno amewahi kuoa kumzidi kaka yake Professor J lakini hiyo haimaanishi kuwa Mchawi huyo wa Rhymes hana mke mtarajiwa. Kupitia Instagram, Professor J amemweka wazi mwanamke anayeweza kushika wadhifa wa Mrs Joseph Haule. “OF COURSE ni Baba LISA na Mama LISA. …. What more can I SAY?? #MWANALIZOMBE,” ameandika Professor kwenye picha hiyo juu.

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Bongo5

Picha: Mama Diamond na mama Zari walipokutana kwenye ‘state house’ ya Platnmuz

Nyuso za wazazi wa mastaa wawili wa Afrika, Diamond na Zari zilionekana zenye furaha mbele ya mjukuu wao Lattifah Nasib a.k.a Tiffah katika picha waliyopiga nyumbani kwa Diamond ambapo mwenyewe anapaita ‘state house’. Zari amepost picha ya mama yake mzazi akiwa amembeba Tiffah na pembeni akiwa na mama yake Diamond, kwa pamoja wanaonekana wakizungumza jambo […]

 

9 years ago

Bongo5

Mabeste amtumia Lisa (mama wa mwanaye) kama video model kwenye video yake mpya ‘Usiwe Bubu’

Rapper Mabeste anatarajia kuachia video mpya ya wimbo wake uitwao ‘Usiwe Bubu’ Ijumaa hii ya Oct.2, wimbo ambao audio yake ilitoka mwezi January mwaka huu, . Kwenye video hiyo safari hii Mabeste ameamua kumtumia girlfriend wake ambaye pia ni mama wa mwanaye aitwaye Lisa kama video model. “Amekuwa video queen kwasababu nimeona ana vigezo vya […]

 

9 years ago

Bongo5

Music: Cynthia Morgan — Baby Mama

Msanii Cynthia Morgan kutoka Nigeria ambaye ni mkali wa Dancehall/Reggae ameachia wimbo mpya unaitwa “Baby Mama“. Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

 

9 years ago

Bongo Movies

Faiza Ally Kuja na ‘Baby Mama Drama

Baada ya kushambuliwa na baadhi ya watu kuhusu malezi ya mtoto wake Sasha, aliyekuwa mke wa zamani wa Sugu, Faiza Ally ameamua kuweka wazi mpango wake wa kuachia filamu iitwayo ‘Baby Mama Drama’.

Akizungumza na Bongo5 Jumatatu hii, Faiza ambaye amedai ni mama kijacho, amesema ameamua kufanya filamu hiyo ili kupeleka ujumbe sahihi kwa jamii kuhusu malezi ya mtoto huyo.

“Unajua mimi mama ambaye nimekuwa na drama nyingi toka nipate mtoto. Hii ni historia katika maisha yangu, watu wana-judge...

 

10 years ago

Bongo Movies

Baby Madaha: Natamani Kuitwa Mama Mwaka Huu

MWIGIZAJI na msanii wa Bongo Fleva, Baby Joseph Madaha, amesema anatamani kuitwa mama kama ilivyo kwa wanawake wengine wenye watoto.

Akizungumzia swala hili, Baby Madaha, alisema amepanga kufanikisha ndoto zake za kuwa mama mwaka huu. “Kiukweli natamani sana kupata mtoto, nafarijika nikisikia na kuona wenzangu wanaitwa mama, ni jambo la busara na kumuomba Mungu ili litimie,” alisema Baby Madaha.

Madaha alisema wasanii wengi wamefululiza kuzaa jambo ambalo linapendeza katika jamii, lakini...

 

9 years ago

Bongo5

Faiza Ally kuachia filamu ya ‘Baby Mama Drama’

Baada ya kushambuliwa na baadhi ya watu kuhusu malezi ya mtoto wake Sasha, aliyekuwa mke wa zamani wa Sugu, Faiza Ally ameamua kuweka wazi mpango wake wa kuachia filamu iitwayo ‘Baby Mama Drama’. Akizungumza na Bongo5 Jumatatu hii, Faiza ambaye amedai ni mama kijacho, amesema ameamua kufanya filamu hiyo ili kupeleka ujumbe sahihi kwa jamii […]

 

10 years ago

Bongo5

Picha: Aunt Ezekiel ni mama kijacho?

Picha ya Aunt Ezekiel kwenye Instagram imeibua mjadala huku mashabiki wake wakisema ni mjamzito. Aunt Ezekiel akimlisha keki JB Picha hiyo ya Aunt Ezekiel ilipigwa katika sherehe ya siku yake ya kuzaliwa. Hivi ndivyo baadhi ya mashabiki wake walivyoandika: Ayshasunshin :Your pregnancy congratulations Mrkhalfan1: haaa we una mimba na hilo bonge lenye miwani pia lina […]

 

10 years ago

Dewji Blog

Mama wa Mitindo Asia Idarous Khamsin afiwa na Mama yake mkubwa Zanzibar

IMG_3895

Na Mwandishi Wetu

MBUNIFU mkongwe wa mavazi, Mama wa mitindo nchini, Asia Idarous Khamsin amepata pigo kufuatia kufiwa na Mama yake mkubwa, Aliyefahamika kwa jina la Fatma Juma, Msiba uliotokea Kisiwa Ndui, Unguja.

Kwa mujibu wa taarifa za msiba huo  ambao  hata hivyo tayari mazishi yake yamefanyika siku ya Jumatatu ya Mei 25, Kisiwa Ndui,  na leo Jumatano ya  Mei 27 wanatarajia kufanya kisomo maalum.

Ratiba ya Kisomo:

Leo  Jumatano ya Mei 27, saa 10, Alasiri wanatarajia kufanya kisomo...

 

9 years ago

Michuzi

MAMA SAMIA, NAPE NA MAMA SALMA KIKWETE WAITIKISA LINDI MKUTANO WA KAMPENI

 Aliyekuwa Katibu wa wilaya ya Lindi mjini wa Chadema, AbdallaMadebe ambaye alikuwa ndiye mpigadebe mkubwa wa Mbunge anayemaliza mda wake wa Lindi mjini, maarufu kwa jina la Bwege, akibebwa na wananchi baada ya kutangaza kuhamia CCM, katika mkutano wa kampeni uliofanywa na Mgombea wenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan katika eneo la Mnazi Mmoja, mkoani Lindi leo. Pamoja na Katibu huyo wanachama wengine 38 walihamia CCM. Wananchi akishangilia wakati wa mkutano wa kampeni...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani