Picha za ajali ya Mabasi mawili na Lori moja Jijini Mbeya leo
Ajalia ilivyotokea.
…hali ya sintofahamu
Magari matatu yamepata ajali mkoani Mbeya leo asubuhi, ajali iliyohusisha basi la Kampuni ya Hood linalofanya safari zake kati ya Mbeya na Arusha, basi la Best linalofanya safari zake kati ya Mbeya na Mwanza pamoja na lori katika eneo la Inyala mkoani Mbeya.
Katika ajali hiyo mtu mmoja amejeruhiwa vibaya na wengine kupata majeraha madogo madogo. Kamanda wa polis Mkoani mbeya ACP Ahmed Msangi amedhibitisha kutokea kwa ajali hiyo.
Global Publishers
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi20 Aug
WATU 16 WADAIWA KUPOTEZA MAISHA KUFUATIA AJALI MBAYA YA MABASI MAWILI WILAYANI SIKONGE MKOANI TABORA

Ajali hiyo imetokea leo hii jioni majira ya saa 11 jioni baada ya Basi la Kampuni ya Sabena lenye namba za usajiri T 110 ARV lililokuwa likitokea Mbeya kwenda Mwanza kumegongana uso kwa uso na basi la AM Dreamline lenye namba za usajiri T 803 ATN lililokuwa likitokea Mwanza kupitia Mpanda.
Ajali hiyo imetokea...
11 years ago
Michuzi06 Sep
10 years ago
Michuzi
BREAKING NYUZZZZZ....: AJALI NYINGINE YATOKEA JIJINI MBEYA LEO, ZAIDI YA WATU 20 WADAIWA KUPOTEZA MAISHA
Kwa mujibu wa mtoa taarifa, amesema kwamba ajali hii imetokea wakati Mabasi yafanyayo safari zake kati ya Mbeya na Kyela (maarufu kama Coaster) kugoma kutoa huduma ya kusafirisha abiria katika maeneo hayo, hivyo baadhi ya hiace za mjini kuamua...
9 years ago
MillardAyo04 Jan
Picha na kilichonifikia kutoka kwenye ajali ya basi la abiria na lori la mizigo Njombe.. #RIP
Siku chache zimepita toka taarifa zitufikie kuhusu ajali ya basi la abiria lililotumbukia mtoni eneo la Iyovi ambalo lina kona kali sana mkoa wa Iringa, taarifa nyingine ya huzuni inatufikia kutoka mkoa wa Njombe leo January 04 2016. Ni taarifa ya ajali ya basi la abiria ambalo limegonga lori la mizigo kwa nyuma na kusababisha […]
The post Picha na kilichonifikia kutoka kwenye ajali ya basi la abiria na lori la mizigo Njombe.. #RIP appeared first on TZA_MillardAyo.
9 years ago
MillardAyo18 Dec
Kilichonifikia kutoka kwenye ajali ya basi la abiria na lori Iringa December 18… #RIP (Picha)
Kwenye taarifa ambazo zimenifikia muda mfupi uliopita iko pia inayohusu ajali iliyotokea leo December 18 2015 maeneo ya Kilolo Iringa… Kwenye ajali hiyo Jeshi la Polisi limethibitisha kuwa watu 12 wamefariki na wengine 18 kujeruhiwa, mazingira ya ajali yanaonesha lori la mizigo lilipoteza mwelekeo na kuligonga basi hilo. Basi hilo la Kampuni ya New Force lilikuwa […]
The post Kilichonifikia kutoka kwenye ajali ya basi la abiria na lori Iringa December 18… #RIP (Picha) appeared first on...
10 years ago
GPL
AJALI YA LORI NA DCM ENEO LA EXTERNAL JIJINI DAR YAUA
11 years ago
MichuziNEWS ALERT: WATU KUMI WAFARIKI DUNIA NA WENGINE SABA KUJERUHIWA KATIKA AJALI YA GARI JIJINI MBEYA LEO
Ajali hiyo ilitokea jana majira ya saa nne asubuhi ikihusisha gari ndogo ya abiria maarufu daladala lenye namba za usajili T 237 BFB aina Toyota Hiace na gari kubwa aina ya Fuso lenye namba za usajili T 158 CSV.
Kwa mujibu wa mashuhuda wa ajali hiyo wamesema ajali hiyo ilitokea maeneo ya Mbalizi baada ya Hiace iliyokuwa ikitokea Mbeya mjini kuelekea...
10 years ago
Vijimambo
AJALI NYINGINE YA BASI NA LORI MAPEMA LEO DODOMA



10 years ago
Michuzi.jpg)
ajali ya basi la abiria na lori la Fuso Ruaha Mbuyuni leo
.jpg)