Picha za bomu la nyuklia Nagasaki Japan
Huku ulimwengu ukiadhimisha miaka 70 tangu ndege za kijeshi za Marekani ilipodondosha bomu la kinyuklia juu ya Nagasaki tazama picha za janga hilo
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili09 Aug
Nagasaki yakumbuka bomu iliyoua watu elfu 70
Ibada maalumu za ukumbusho zinaendelea katika mji wa Nagasaki,Japan, kuadhimisha miaka 70 tangu bomu ya atomiki kuua watu elfu 70 mjini humo
10 years ago
BBCSwahili11 Aug
Japan yafufua kiwanda chake cha nyuklia
Japan imefufua mojawapo ya viwanda vyake vya kutengeneza umeme wa kutumia nyukilia, miaka minne tangu kuvuja kwa sumu kutoka kwa kiwanda chake kimoja cha kule fukushima .
10 years ago
BBCSwahili14 Apr
Mahakama yazima vinu vya nyuklia Japan
Vinu 50 vya nyuklia vya Japan vilifungwa mwaka wa 2011 kufuatia mkasa wa Fukushima.
11 years ago
Bongo512 Aug
Picha: Kampuni ya Japan yatengeneza ‘midoli ya mapenzi’ yenye muonekano halisi wa mwanamke anayevutia!
Kampuni moja ya nchini Japan imedai kufanikiwa kutengeneza midoli ya ngono ‘sex dolls’ yenye muonekano halisi wa mwanamke ambayo huwa na ngozi ya mwili kama ya binadamu na macho kama ya ukweli. Mdoli wa ngono Orient Industry imesema ni ngumu kuitofautisha midoli hiyo na msichana hali pale unapoitazama kwa mara ya kwanza. Midoli hiyo imepewa […]
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-SsWOYbsWrHg/VDjRxyQusCI/AAAAAAAGpGY/dYaalfrhr9Y/s72-c/2-987340de94.jpg)
Ubalozi Wa Tanzania Japan Waipaisha Kahawa Kilimanjaro Kwenye Treini Ziendazo Kasi Japan
![](http://1.bp.blogspot.com/-SsWOYbsWrHg/VDjRxyQusCI/AAAAAAAGpGY/dYaalfrhr9Y/s1600/2-987340de94.jpg)
10 years ago
BBCSwahili04 Apr
Nyuklia:Marekani kuafikiana na Iran
Obama ana uhakika kuwa Marekani itaafikia makubaliano ya mwisho na Iran kuhusu mpango wake wa nyuklia mwishoni mwa mwezi Juni.
10 years ago
BBCSwahili15 Jul
Wairan wafurahia makubaliano ya nyuklia
Maelfu ya raia wa Iran wamekuwa wakishangilia mitaani kufutia makubaliano mapya ya mpango wa nyuklia kati ya Iran na mataifa makubwa yenye nguvu duniani.
10 years ago
BBCSwahili03 Apr
Mazungumzo ya nyuklia ya Iran yaafikiwa
Mataifa sita makubwa duniani wamefikia makubalino ya muundo wa mazungumzo ya kina kuhusu mpango wa nyuklia wa Iran
10 years ago
Habarileo10 Apr
Tanzania yazionya nchi zenye nyuklia
TANZANIA imetaka ihakikishiwe usalama kutoka kwa nchi zenye silaha za nyuklia, huku ikizihimiza nchi hizo kuacha kutoa vitisho kwa nchi nyingine.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania