Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Picha za tuzo za Oscars 2015

Sherehe za kuwatuza wasanii waliobobea katika sanaa mwaka wa 2015 za Oscars ziliandaliwa mapema leo.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

BBCSwahili

Oscars 2020: Filamu hushindaje tuzo ya picha bora?

Oscars 2020: Filamu hushindaje tuzo ya picha bora? Bajeti, umaarufu wa filamu kwenye kumbi za sinema, muda na aina ya filamu zina mchango lakini kwa namna usiyoweza kutarajia

 

10 years ago

Bongo5

Orodha ya washindi wa tuzo za Oscars 2015 zilizofanyika Hollywood

Tuzo za 87 za The Academy au The Oscars 2015 zimefanyika usiku wa kuamkia leo the Dolby Theatre huko Hollywood, Los Angeles, Marekani. Hii ni orodha kamili ya ya washindi wa tuzo hizo. Best Picture American Sniper Birdman — WINNER Boyhood The Grand Budapest Hotel The Imitation Game Selma The Theory of Everything Whiplash Actress […]

 

10 years ago

Vijimambo

TASWIRA YA TUZO ZA OSCARS 2015 NA VIVAZI VILIVYOKUWA NG'ARING'ARI

Wasanii walioigiza filamu ya CitizenFour baada ya kupokea tuzoKama kawaida mavazi ya wasanii yalikuwa ya kuvutiaKama kawaida mavazi ya wasanii yalikuwa ya kuvutiaKama kawaida mavazi ya wasanii yalikuwa ya kuvutiaKama kawaida mavazi ya wasanii yalikuwa ya kuvutiaKama kawaida mavazi ya wasanii yalikuwa ya kuvutiaNa kwa wale waliotuzwa ilikuwa tabasamuNa kwa wale waliotuzwa ilikuwa tabasamuNa kwa wale waliotuzwa ilikuwa tabasamuNa kwa wale waliotuzwa ilikuwa tabasamuShamrashamra za kuwatumbuiza...

 

10 years ago

Bongo5

Wezi waiba gauni la Lupita Nyong’o alilovaa kwenye tuzo za Oscars 2015 lenye thamani ya shilingi milioni 274

Gauni la muigizaji wa Kenya, Lupita Nyong’o lenye thamani ya $150,000 (zaidi ya shilingi milioni 274) la Calvin Klein alilolivaa kwenye tuzo za Oscars wiki iliyopita limeibiwa, polisi wamesema jana. Gauni hilo lililotengenezwa maalum kwaajili yake lilikuwa limezungushiwa vigolori 6,000 vya rangi nyeupe. Liliibiwa kwenye chumba chake cha London Hotel iliyopo West Hollywood mchana, amesema […]

 

10 years ago

Dewji Blog

Gauni la Lupita Nyong’o gumzo tuzo za Oscars

464155940-1291x1940

Na Modewjiblog team

Mitandao mbalimbali ya kijamii pamoja na majarida makubwa duniani yametoa habari ya gauni la mcheza filamu, mwanamitindo, mwenye asili ya Afrika Mashariki, Lupita Nyong’o wakati wa utoaji wa tuzo kubwa za Oscar.

Katika tuzo hizo ambazo zilikusanya mastaa mbalimbali wa filamu, muziki na wabunifu na wengineo,  Lupita alikuwa gumzo mara baada ya kupita kwenye zulia jekundu na gauni lake hilo lililobuniwa na mbunifu wa mavazi Giorgio Armani  ambapo kila mmoja wapo...

 

10 years ago

Vijimambo

TUZO ZA KILI MUSIC AWARD 2015 KATIKA PICHA

 Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda(kulia) akimkabidhi ndugu wa karibu wa Mwanamuziki, Ally Kiba Tuzo ya tano katika hafla ya Kilimanjaro Tanzania Music Awards iliyofanyika Mlimani City jijini Dar es Salaam. Picha zote kwa hisani ya Father Kidevu Katibu Mtendaji wa BASATA, Godfrey Mngereza(kulia) akimkabidhi Mkurugenzi wa ASET, Asha Baraka kwa niaba ya aliyekuwa Mkurugenzi wa TOT, Marehemu Kaptani John Komba Tuzo ya udau wa Muziki aliyefanikisha maendeleo ya Muziki (Hall of Fame).

 

9 years ago

Bongo5

Picha: Diamond akabidhiwa tuzo zake za MTV EMA 2015

diamond ema

Baada ya kushinda tuzo ya ‘Best African Act’ na ‘Best World Wide Act’ kwenye MTV EMA 2015, hatimaye Diamond Platnumz amekabidhiwa rasmi tuzo zake Ijumaa hii Dec 11.

dai ema

Kupitia Instagram yake Diamond alipost picha akikabidhiwa tuzo hizo na kuandika:

“What a nice day.. have jus Received my Trophies from @MtvEma as the #BestAfricanAct #BestWorldWideAct only God knows How much i was waiting for them….@melaniecarmen @babutale … thaks alot @MtvEma”

Tuzo za MTV Europe Music Awards 2015 zilitolewa...

 

5 years ago

BBCSwahili

Oscars, Brits na Baftas: Je tuzo kuu hujumuisha watu wa tabaka mbali mbali?

Watu kadhaa wa hadhi ya juu wamezusha suala la ukosefu wa uwakilishi sawa katika tuzo za kimataifa kama Baftas, Brits na zile za Oscars.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani