Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Picha:Kumbe Irene Uwoya ni Mdau wa “Vibanda Umiza”

Mrembo na muigizaji wa filamu hapa Bongo, Irene Uwoya leo wamewashangaza mashabiki wake wengi kwa kuonekana maeneo ya uswazi akiandika bango la mechi za mpira wa miguu zitakazo onyeshwa leo kwenye moja ya kibanda umuzi uswahili hapo.

Wengi wamempongeza kwa kijichanganya maeneo kama hayo kwani mastaa wengi wa hapa bongo japokuwa wengi wametokea uswazi lakini huwa hawapendi kijichanganya baada ya kupata majina au kuhama mitaa ya uswazi.

Kwa upande wangu hii imekaa poa sana kwani huko ndiko...

Bongo Movies

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo Movies

PICHA KALI:Irene Uwoya Alivyolipamba Jariba La Vibe Tz

Jarida  la  maswala ya burudani, liitwalo Vibe Tz  lililotoka hivi karibuni,limepambwa kwa picha za muigizaji  wa filamu hapa Bongo, Irene Uwoya amabe ni mrembo aliebarikiwa suru na umbo matata bila kusahau rangi yake,kitu ambacho huwafanya vidume wengi kupagawa na kuwa na mashabiki wengi wa kazi zake mbali nakipaji chake katika sanaa.

Japokuwa kuwa kwasasa ni mama wa mtoto mmoja , Uwoya amefanya kile kinaitwa siku hizi –KU-BREAK THE INTERNET, kwenye picha alizopigwa na jarida hilo.

Irene...

 

10 years ago

Bongo Movies

Picha: Mtoko wa Pasaka wa Irene Uwoya Huko Mwanza

Hizi ni baadhi ya picha ambazo staa mrembo Irene Uwoya ame-share nasi kupitia ukursa wake kwenye mtandao wa Instagram akiwa jijini Mwanza ambako amekwenda kikazi zaidi.

Huu ndio ulikuwa mtoko wake wa sikukuu ya PASAKA hapo jana. Mbali ya picha hizi kusababisha mafuriko ya LIKES na COMMENTS huko Instagram, Sio mbaya nawewe hapa kama mdau ukasafisha macho na picha hizi na kufunguka chochote kuhusu mtoko huu wa mrembo huyu ambae anatajwa kama ni mmoja kati waigizaji wa rembo zaidi hapa...

 

10 years ago

Bongo Movies

PICHA KALI:Irene Uwoya Alivyolipamba Jarida La Vibe Tz

Jarida  la  maswala ya burudani, liitwalo Vibe Tz  lililotoka hivi karibuni,limepambwa kwa picha za muigizaji  wa filamu hapa Bongo, Irene Uwoya amabe ni mrembo aliebarikiwa suru na umbo matata bila kusahau rangi yake,kitu ambacho huwafanya vidume wengi kupagawa na kuwa na mashabiki wengi wa kazi zake mbali nakipaji chake katika sanaa.

Japokuwa kuwa kwasasa ni mama wa mtoto mmoja , Uwoya amefanya kile kinaitwa siku hizi –KU-BREAK THE INTERNET, kwenye picha alizopigwa na jarida hilo.

Irene...

 

10 years ago

Bongo Movies

Picha: Irene Uwoya Akichukua Fomu, Viti Maalum Tabora

Haya kamanda UWOYA anaonekana akichukua fomu ya kuwania viti maalum vya ubunge huko tabora kwa tiketi ya CCM ,
twakutakia mafanikio mema katika safari yako ya kwenda kwa kuwatumikia wanamchi wa TABORA bungeni watanzania wanajua uwezo wako na wanakusubilia jumba jeupe tu pale pale wanapopalilia wengi kwenda
 

William Mtitu on Instagram

 

9 years ago

Bongo Movies

Picha: Irene Uwoya Akiwa mtoto wake, Krish Ndikumana…

ireneKila Mtu Amesema Lake Kuhusu Picha Hizi, Ila Kama Wewe Umezipenda Usisite ku-LIKE na Ku-SHARE

 

9 years ago

Mtanzania

Irene Uwoya aula viti maalum

f7d8b2e2ec0fec94d7385f158c725b9dNA BAKARI KIMWANGA, DODOMA

MSANII pekee wa Bongo Movie, Irene Uwoya, ameibuka kidedea kwenye uteuzi wa wagombea ubunge wa viti maalumu uliokamilishwa na Chama cha Mapinduzi (CCM) jana.

Uwoya alipata nafasi hiyo baada ya jina la mtoto wa Meya wa Jiji la Dar es Salaam, ambaye pia ni mgombea wa CCM katika jimbo la Ubungo, Dk Didas Masaburi, Juliana Masaburi kukatwa.

Mtoto huyo wa Masaburi, alishinda kura za maoni kupitia kundi la Vijana akiwakilisha Mkoa wa Mara lakini baada ya kukatwa nafasi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani