Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


PICHA:Wastara Aongoza Mapokezi ya Timoth, Mtanzania Alieshinda Tuzo Huko Marekani

Timoth Conrad Kachumia ambae ni mtayarishaji wa filamu na mkurugenzi wa kampuni Timamu Afriacan Media, amewasili leo mchana akitokea nchini Marekani ambapo hivi karibuni alishinda tuzo za kimataifa za Future Africa Awards.

Muigizaji Wastara Juma nimiongoni mwa watu aliofika uwaja wa ndege kimataifa wa JK nyerere kumpokea.

Baada ya mapokezi hayo walielekea kwenye ofisi za basata mabako Timoth alipata nafasi ya kuzungumza na wandishi wa habari.

Jionee baadhi ya picha za mapokezi hayo hapo...

Bongo Movies

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

PROMOTER MTANZANIA ANAYEISHI MAREKANI ASHINDA TUZO YA "BEST PROMOTER" MAREKANI

                                Ndugu Dickson anayefahamika kwa wengi kama  Mr "DMK "Promoter "DMK" wa Kampuni ya DMK GLOBAL PROMOTIONS ashinda Tuzo ya Best Promoter USA katika zile tuzo za AFRICAN ENTERTAINMENT AWARDS USA 2015 ,Tuzo hizo zilitolewa OCTOBER 31 New York ambapo Makampuni 6 yalikuwa yakichuana kipengele hicho na DMK Global kuibuka kidedea,Pia katika Awards hizo Wasanii kutoka Tanzania Diamond alichukua Tuzo ya Hottest Male Single na Ommy Dimpoz tuzo ya People's Choice .
   ...

 

10 years ago

Bongo Movies

Timoth na Kallage Watua Lagos Kwenye Tuzo za Africa Magic Viewers Choice Awards (AMVCAs)

Tasnia ya filamu  hapa Bongo inawakilishwa na Timoth Conrad  ambae ni muongozaji na mtengenezaji wa filamu pamoja na John Kallage ambae pia ni muongozaji wa filamu kwenye tuzo za Africa Magic Viewers Choice Awards (AMVCAs)  ambazo zinafanyika leo mjini Lagos nchni Nigeria.

Timoth na Kallage wamechaguliwa kuwania tuzo hizo katika kipengele cha  Best Local Language SWAHILI ambapo filamu mbili za kibongo, Network ya John Kallage  na Mdundiko  ya Timoth zimeingia kwenye kipengele...

 

9 years ago

Bongo5

Picha: Diamond, Vanessa Mdee na Ommy Dimpoz waenda Marekani kwenye tuzo za Afrimma

Tuzo za African Muzik Magazine Awards, Afrimma zinatarajiwa kutolewa Jumamosi hii Oct. 10 jijini Dallas, Texas Marekani ambapo Tanzania inawakilishwa na wasanii saba. Baadhi ya wasanii wa Tanzania wanaowania tuzo hizo akiwemo Diamond, Vanessa Mdee na Ommy Dimpoz tayari wameondoka nchini kuelekea Marekani kuhudhuria sherehe ya utoaji wa tuzo hizo. “Asante Sana Tanzania nyie wapenzi […]

 

9 years ago

Bongo5

Picha: Muongozaji wa filamu wa Tanzania ashinda tuzo za Marekani na kuwashangaza kwa ubora wa filamu zake

Pamoja na wengi kuamini kuwa ubora wa filamu za Tanzania ni mdogo, wapo vijana wanaofanya filamu tofauti zinazowashangaza hadi wataalam wa industry hiyo nchini Marekani. Timoth Conrad akiwa na tuzo aliyoshinda hivi karibuni nchini Marekani Mmoja wa vijana hao ni Timoth Conrad Kachumia ambaye mwezi huu alishinda tuzo kwenye tamasha la Silicon Valley African Film […]

 

10 years ago

Africanjam.Com

PICHA: MAPOKEZI YA BRAZIL BAADA YA KUTOLEWA COPA AMERICA

Licha ya kutupwa nje ya michuano ya Copa America na timu ya Paraguay, wachezaji wa kikosi cha Brazil walipokelewa kwa shangwe na mashaiki wa nchi hiyo waliojitokeza kwa wingi uwanja wa ndege kuwalaki wachezaji wao waliokuwa wanarudi kutoka nchini Chilile ambako walitupwa nje ya mashindano hayo kwachangamoto ya mikwaju ya penati na timu ya Paraguay.
Brazil 01Tofauti na ilivyokuwa inanatarajiwa na watu wengi, baada ya kutupwa nje kwenye hatua ya robo fainali ya michuano hiyo mikubwa kwenye bara la...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani