PIGO LINGINE BONGO MUVI: GEORGE TYSON AFARIKI DUNIA

Mwongozaji wa filamu nchini na aliyekuwa mume wa staa wa filamu za Kibongo, Yvonny Cherry 'Monalisa', George Tyson amefariki dunia baada ya kupata ajali mbaya ya gari maeneo ya Gairo, Morogoro akitokea mkoani Dodoma. Mwili wa marehemu Tyson kwa sasa umehifadhiwa katika Hospitali ya Kairuki jijini Dar es Salaam baada ya kutolewa katika Hospitali ya Mkoa ya… ...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima01 Jun
George Tyson wa Bongo Movie afariki dunia
MTAYARISHAJI na muongozaji mkuu wa kipindi cha televisheni cha ‘The Mboni Show’ kinachorushwa na Kituo cha EATV, George Otieno Okumu ‘Geogre Tyson’, amefariki dunia kwa ajali ya gari iliyotokea mjini...
11 years ago
GPL31 May
GEORGE TYSON AFARIKI DUNIA
11 years ago
Michuzi
BREAKING NYUZZZZZ........: GEORGE TYSON HATUNAYE TENA,AFARIKI DUNIA AJALINI MKONI MOROGORO

GEORGE TYSON AMEFIKWA NA MAUTI HAYO USIKU HUU BAADA YA KUPATA AJALI MBAYA SANA KUTOKANA NA GARI WALIOLOKUWA WAKISAFIRIA KUTOKA MKOANI DODOMA KUJA DAR ES SALAAM,WAKITOKEA KWENYE HAFLA YA KUADHIMISHA MIAKA MIWILI YA KIPINI CHA TELEVISHENI CHA THE MBONI SHOW,KUPINDUKA MARA KADHAA KUTOKANA NA KUPASUKA KWA MIPIRA...
11 years ago
Dewji Blog31 May
Breaking News: Msiba mwingine Bongo Movie “George Tyson” afariki kwenye ajali ya gari usiku huu
Produza maarufu wa filamu nchini George Tyson (pichani) amefariki dunia usiku huu kwenye ajali ya gari Morogoro wakitokea Dodoma na wenzake sita kujeruhiwa akiwemo Blogger maarufu DJ Choka.
Chanzo cha jali hiyo akijajulikana bado MOblog inaendelea kufuatilia kwa ukaribu zaidi na tutawapa taarifa hapo baadae.
Taarifa hizi zimethibitishwa na jamaa wa karibu wa marehemu.
MOblog inaungana na watanzania wote kuomboleza kifo cha marehemu George Tyson na inawaombea nafuu wote waliojeruhiwa kwenye...
11 years ago
Bongo Movies17 Jun
Mwongozaji wa filamu maarufu nchini George Tyson Afariki dunia kwa ajali ya gari Morogoro
Taarifa zilizotufikia hivi punde zinasema mongozaji wa filamu maarufu nchini George Otieno Tyson (Pichani) amefariki dunia kwa ajali ya gari huko Morogoro.
Taarifa hizi ambazo zimethibitishwa na watu wa karibu yake zinasema kuwa, mauti haya yamemfika baada ya gari walilokuwa wakisafiria kupata ajali na kupinduka walipokuwa wameenda kwa ajili ya kipindi cha The mboni show ambacho yeye alikuwa ndiye muongozaji mkuu.
Wasanii na mastaa mbalimbali nchini wameoneshwa masikitiko yako juu ya...
11 years ago
GPL
MSANII BONGO MUVI AFARIKI KWA AJALI
11 years ago
Tanzania Daima26 Apr
Pigo Simba, Muchacho afariki Dunia
MWANACHAMA maarufu wa klabu ya Simba na mwasisi wa kundi la ushangiliaji la Muchacho, lenye maskani yake Manzese, jijini Dar es Salaam, Abrahaman Muchacho, amefariki dunia. Kwa mujibu wa Ofisa...
11 years ago
GPLRACHEL WA BONGO MUVI NA KICHANGA CHAKE WAAGA DUNIA