Pigo Simba, Muchacho afariki Dunia
MWANACHAMA maarufu wa klabu ya Simba na mwasisi wa kundi la ushangiliaji la Muchacho, lenye maskani yake Manzese, jijini Dar es Salaam, Abrahaman Muchacho, amefariki dunia. Kwa mujibu wa Ofisa...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com/files/-nMzymXXjMJ5CgPscjZefT8*-zlHFPmOe0OYFfD3wfJsKO0tX*us3lF0HR5yLa975rQcdOFkilFJ7gYpsJ7hWocXQOmJDVA7/somazaidi.gif)
PIGO LINGINE BONGO MUVI: GEORGE TYSON AFARIKI DUNIA
10 years ago
Dewji Blog14 Mar
PIGO WADAU WA SOKA NCHINI: Kocha Sylvester Marsh afariki dunia mapema leo
Marsh (kushoto) enzi za uhai wake akiwa na Kocha mkuu wa timu ya Taifa wakati huo, Kim Paulsen.
Na Andrew Chale wa Mo dewji blog
Habari zilizotufikiaa chumba cha habari cha mtandao huu wa Mo dewji blog, ni kuwa aliyekuwa Kocha Msaidizi wa timu ya soka ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars, Sylvester Marsh amefariki dunia alfajiri ya leo katika hospitali ya Muhimbili alikokuwa amelazwa.
Taarifa hizo zilibainisha kuwa, Marsh alipatwa na umauti huo alipokuwa akiendelea na matibabu ya maradhi...
10 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/DzJ4eFkQZkY/default.jpg)
Perro Aguayo wa mixico afariki dunia akiwa ndani ya ulingo wa mieleka baada ya pigo moja
![](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/03/hijo-del-perro.jpg)
Pedro Aguayo Ramirez, aliyejulikana kwa jina la Hijo del Perro Aguayo, alianguka na kupoteza fahamu kwenye kamba za ulingoni baada ya kupigwa teke na mchezaji mieleka wa zamani wa WWE, Oscar Gutierrez, maarufu kama Rey Mysterio Jr. kwa mujibu wa video ya mechi hiyo.
![](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/03/reymysterio.jpg)
10 years ago
Mtanzania16 Jun
Mufti Simba afariki dunia
NA SHABANI MATUTU, DAR ES SALAAM
SHEIKH Mkuu wa Tanzania, Mufti Shaaban Issa bin Simba (78), amefariki dunia jana asubuhi katika Hosptali ya TMJ, jijini Dar es Salaam.
Kifo hicho cha Mufti Simba ni pigo kubwa kwa Waislamu na taifa kwa ujumla.
Akizungumza na waandishi wa habari jana, Sheikh wa Mkoa wa Dar es Salaam, Alhad Mussa Salum, alisema kifo cha kiongozi huyo kimetokea huku akiwa anapatiwa matibabu katika Hospitali ya TMJ.
Alisema Mufti Simba alikuwa akiugua kwa muda mrefu maradhi ya...
5 years ago
CCM Blog![](https://1.bp.blogspot.com/-K9eXdH6QQb0/XkUfEtR8KII/AAAAAAAA8cI/uwEiH4zkw2wqQv4Hbe9pHsgEElKmCkWQwCNcBGAsYHQ/s72-c/EQpN5uaX0AA3Wva.jpg)
TANZIA: IDDI SIMBA AFARIKI DUNIA
![](https://1.bp.blogspot.com/-K9eXdH6QQb0/XkUfEtR8KII/AAAAAAAA8cI/uwEiH4zkw2wqQv4Hbe9pHsgEElKmCkWQwCNcBGAsYHQ/s640/EQpN5uaX0AA3Wva.jpg)
Taarifa zilizothibitishwa na mtoto wake, Sauda Simba Kilumanga zinasema Iddi Simba amefariki katika Hospitali ya JKCI alipokuwa akipatiwa matibabu.
10 years ago
Mtanzania15 Jun
Sheikh Issa Shaaban Simba afariki dunia
Habari zilizotufikia hivi punde ni kwamba Mufti Mkuu wa Tanzania, Sheikh Issa Shaaban Simba amefariki asubuhi ya leo.
Kwa taarifa zaidi juu ya kifo chake tutaendelea kuwajulisha, Innalilah wainailah Rajiun.
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/dj7KjSQgc-Q5UNqMz*p7AYFS5SjVhG3IMG3*SUa02aHINbagJ2k*M3yrDqvY*IPnZaPP6R8zTKZpDDdRicqr9uTsPZDMsc74/BREAKING.gif)
TANZIA: MUFTI ISSA BIN SHAABAN SIMBA AFARIKI DUNIA
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-f_VtfxuqKls/XkUVht6PkhI/AAAAAAALdI8/Nm404myswN8UhHJqU313KiR9KKw3tVePQCLcBGAsYHQ/s72-c/iddi%2Bsimba%2B%25282%2529.jpg)
TANZIA: MZEE IDDI SIMBA AFARIKI DUNIA JIJINI DAR ES SALAAM
![](https://1.bp.blogspot.com/-f_VtfxuqKls/XkUVht6PkhI/AAAAAAALdI8/Nm404myswN8UhHJqU313KiR9KKw3tVePQCLcBGAsYHQ/s400/iddi%2Bsimba%2B%25282%2529.jpg)
Waziri wa zamani wa Viwanda na Biashara katika serikali ya Awamu ya Tatu Mzee Iddi Simba amefariki dunia leo asubuhi katika Tasaisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete jijini Dar es salaam alikokuwa akipatiwa matibabu, binti yake Sauda Simba amethibitisha.
Habari zaidi pamoja na mipango ya mazishi tutajulishana baada ya muda si mrefu