Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Perro Aguayo wa mixico afariki dunia akiwa ndani ya ulingo wa mieleka baada ya pigo moja

Pedro Aguayo Ramirez aliyejulikana kwa jina la Hijo del Perro Aguayo alifariki baada ya kupigwa teke na Rey MysterioTaarifa kuhusu kuanza kwa uchunguzi huo imetolewa na ofisi ya mashtaka ya jimbo Baja California.
Pedro Aguayo Ramirez, aliyejulikana kwa jina la Hijo del Perro Aguayo, alianguka na kupoteza fahamu kwenye kamba za ulingoni baada ya kupigwa teke na mchezaji mieleka wa zamani wa WWE, Oscar Gutierrez, maarufu kama Rey Mysterio Jr. kwa mujibu wa video ya mechi hiyo.Rey...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Pigo Simba, Muchacho afariki Dunia

MWANACHAMA maarufu wa klabu ya Simba na mwasisi wa kundi la ushangiliaji la Muchacho, lenye maskani yake Manzese, jijini Dar es Salaam, Abrahaman Muchacho, amefariki dunia. Kwa mujibu wa Ofisa...

 

11 years ago

GPL

PIGO LINGINE BONGO MUVI: GEORGE TYSON AFARIKI DUNIA

Mwongozaji wa filamu nchini na aliyekuwa mume wa staa wa filamu za Kibongo, Yvonny Cherry 'Monalisa', George Tyson amefariki dunia baada ya kupata ajali mbaya ya gari maeneo ya Gairo, Morogoro akitokea mkoani Dodoma. Mwili wa marehemu Tyson kwa sasa umehifadhiwa katika Hospitali ya Kairuki jijini Dar es Salaam baada ya kutolewa katika Hospitali ya Mkoa ya… ...

 

10 years ago

Dewji Blog

PIGO WADAU WA SOKA NCHINI: Kocha Sylvester Marsh afariki dunia mapema leo

Marsh (kushoto) enzi za Uhai wake akiwa na kocha mkuu wa timu ya Taifa wakatoi huo Pousan

Marsh (kushoto) enzi za uhai wake akiwa na Kocha mkuu wa timu ya Taifa wakati huo, Kim Paulsen.

Na Andrew Chale wa Mo dewji blog

Habari zilizotufikiaa chumba cha habari cha mtandao huu wa Mo dewji blog,  ni kuwa aliyekuwa Kocha Msaidizi wa timu ya soka ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars, Sylvester Marsh amefariki dunia alfajiri ya leo katika hospitali ya Muhimbili alikokuwa amelazwa.

Taarifa hizo zilibainisha kuwa, Marsh alipatwa na umauti huo alipokuwa akiendelea na matibabu  ya maradhi...

 

10 years ago

Bongo5

Video: Snoop Dogg atua kwenye mieleka akiwa na Hulk Hogan

Snoop Dogg aka SnoopMania alitinga kwenye ulingo wa mieleka ya WWE Jumatatu hii. Rapper huyo aliungana na mcheza mieleka mkongwe, Hulk Hogan ili kuchuana na Curtis ‘AxelMania’Axel ambaye alikuwa akimtania kwenye mitandao ya kijamii.

 

5 years ago

Michuzi

Mwanamuziki maarufu wa muziki wa Country Kenny Rogers afariki dunia akiwa na umri wa miaka 81

Msanii gwiji wa muziki wa Country nchini Marekani Kenny Rogers amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 81.

Mwakilishi wa familia yake amesema kuwa "amekufa kwa amani nyumbani kwa kifo cha kawaida".

Rogers alikua juu katika chati ya wanamuziki wa pop na country katika miaka ya 1970 na 1980 ,na alishinda tuzo tatu za -Grammy.

Akifahamika kwa sauti yake ya kipekee na yenye mvuto hasa katika nyimbo zake -The Gambler, Lucille na Coward Of The County, kazi yake ya muziki ilivuma kwa zaidi ya miongo...

 

10 years ago

GPL

MWINGINE AFARIKI DUNIA! WALIOFUNGIWA NDANI MIAKA 10

Na Haruni Sanchawa
BINTI Muhadia Juma ambaye alikuwa mmoja wa watoto watatu waliofungiwa ndani ya nyumba kwa miaka kumi na mama yao mzazi, Mwasiti Ally katika Kijiji cha Kanga, wilayani Mafia amefariki dunia Aprili 15, mwaka huu.Huyu ni kijana wa pili kufariki dunia baada ya  Ally Juma kuaga dunia hivi karibuni na kufanya aliyebaki hai kuwa mmoja, Mzee Juma. Mwili wa Muhadia Juma ukizikwa. Muhadia alichukuliwa kijijini kwao...

 

10 years ago

GPL

KATIBU BAKWATA AFARIKI DUNIA BAADA YA KUANGUKA CHOONI

Stori: Mwandishi Wetu, Mbeya
MAJANGA! Siku chache baada ya aliyekuwa Shehe Mkuu wa Wilaya ya Mbeya, Abubakar Mketo kufariki dunia akiwa kaburini akizika, kiongozi mwingine wa Kiislam, Katibu Mkuu wa Bakwata Mkoa wa Mbeya, Juma Killa naye amefariki dunia baada ya kuanguka chooni. Katibu Mkuu wa Bakwata Mkoa wa Mbeya, Juma Killa (wa pili kushoto) wakati wa uhai wake. Marehemu Killa alianguka chooni nyumbani kwake, Mtaa wa...

 

11 years ago

GPL

ERIC LAWSON 'MARLBORO' AFARIKI DUNIA AKIWA NA MIAKA 72

Eric Lawson maarufu kwa jina la Marlboro enzi za uhai wake. MWIGIZAJI wa Marekani, Eric Lawson maarufu kwa jina la Marlboro baada ya kutokea katika matangazo ya sigara miaka ya 1970 amefariki kwa ugonjwa wa mapafu akiwa na umri wa miaka 72. Lawson alifariki Januari 10 mwaka huu akiwa nyumbani kwake San Luis Obispo kwa ugonjwa wa mapafu, kwa mujibu wa mkewe Susan Lawson. Lawson aliyeanza kuvuta sigara akiwa na umri wa miaka 14,...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani