Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Pigo moja

Kocha mkuu wa Yanga, Hans Van Der Pruijm. Na Timu ya Championi,Dar es Salaam
PIGO MOJA! Hiyo ndiyo lugha inayotamkwa na mashabiki wa Simba na Yanga hivi sasa kuelekea mechi yao ya Ligi Kuu Bara itakayopigwa kesho Jumapili kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Mashabiki wa timu hizo, wanaamini ushindi wowote watakaoupata utakuwa ni pigo moja takatifu kwa timu pinzani, ambalo litaifanya iwe chali kabisa. Yanga wanataka...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

Perro Aguayo wa mixico afariki dunia akiwa ndani ya ulingo wa mieleka baada ya pigo moja

Pedro Aguayo Ramirez aliyejulikana kwa jina la Hijo del Perro Aguayo alifariki baada ya kupigwa teke na Rey MysterioTaarifa kuhusu kuanza kwa uchunguzi huo imetolewa na ofisi ya mashtaka ya jimbo Baja California.
Pedro Aguayo Ramirez, aliyejulikana kwa jina la Hijo del Perro Aguayo, alianguka na kupoteza fahamu kwenye kamba za ulingoni baada ya kupigwa teke na mchezaji mieleka wa zamani wa WWE, Oscar Gutierrez, maarufu kama Rey Mysterio Jr. kwa mujibu wa video ya mechi hiyo.Rey...

 

5 years ago

Michuzi

ZAIDI ya wabunifu 700 nchini wamepata ajira za moja kwa moja

 Mkurugenzi Mkazi wa Mfuko wa Maendeleo ya Watu (HDIF) Joseph Manirakiza kulia akizungumza na waandishi wa habari juu ya wiki ya ubunifu itakayoanza Machi 8 hadi 13 mwaka huu jijini Dar es Salaam. Katikati ni Kaimu Kiongozi wa Mfuko wa Kimataifa wa Maendeleo wa Uingereza (DFID) Natalie Smith na kushoto ni Mkurugenzi wa Tume ya Sayansi na Teknolojia Dr. Amos Nungu. Kaimu Kiongozi wa Mfuko wa Kimataifa wa Maendeleo wa Uingereza (DFID) Natalie Smith  katikati akifafanua jambo kwa waandishi wa...

 

9 years ago

Bongo5

Music: Ben Pol & Thabby Lee – Moja Moja

Sikiliza wimbo mpya unaitwa “Moja Moja” wa msanii Ben Pol humu ame rap yupo na msanii Thabby Lee Studio Classic Sound Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

 

9 years ago

Bongo5

Zari hawezi kuhamia Tanzania moja kwa moja — Diamond

Diamond Platnumz na Zari The Boss Lady tayari wameziunganisha familia zao kwa kumpata mtoto wao wa kwanza Tiffah, lakini hakuna mpango wa mrembo huyo Mganda kuhamia moja kwa moja Tanzania ili kutengezeza familia moja. Diamond a.k.a Baba Tiffah licha ya kuwa amekuwa akitoa ahadi ya kufunga ndoa na Zari bila kusema lini, amesema kuwa hakuna […]

 

9 years ago

BBCSwahili

RIPOTI ZA MOJA KWA MOJA ZA MECHI ZA LIGI KUU YA UINGEREZA

Idhaa yako ya bbcswahili inakuletea ripoti za moja kwa moja za mechi za ligi kuu ya Uingereza Wkiendi hii

 

11 years ago

Michuzi

Mahojiano ya moja kwa moja na msanii Anna Mwalagho kuhusu Tamasha lijalo

Anna Mwalagho.
Photo Credits Anna Mwalagho Facebook page  Karibu katika mahojiano mafupi na ya moja kwa moja kati ya msanii Anna Mwalagho na Kwanza Production kwenye kipindi cha NJE-NDANI Jumamosi Juni 14, 2014 Amezungumzia tamasha kubwa linaloendelea ambalo atatumbuiza pamoja na kikundi chake kwa siku tatu
Tamasha hilo linaandaliwa kwa ushirikiano wa watu wa Oman na maktaba ya sanaa za waAfrika hapa Washington DC Karibu usikilize

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani