Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Pigo Simba, Mkude nje wiki sita

Kiungo wa Simba na timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’, Jonas Mkude atakaa nje ya uwanja kwa wiki sita kutokana na kuwa majeruhi wa goti la mguu wa kulia.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Bongo5

Real Madrid yapata pigo baada ya kiungo wake Luka Modric kukaa nje ya uwanja kwa wiki tatu

Klabu ya Real Madrid imepata pigo baada ya kiungo wake, Luka Modric kuumia akiwa na timu yake ya taifa ya Croatia katika mchezo dhidi ya Bulgaria. Mchezaji huyo aliumia nyonga na jeraha hili litamuweka nje ya uwanja kwa muda usiopungua wiki tatu. Modric amekuwa na matumaini makubwa ya kurudi uwanjani mapema kiasi cha kuwahi mchezo […]

 

10 years ago

GPL

MKUDE ATENGEWA WIKI MBILI SAUZ

Na Hans Mloli Dar es Salaam Kiungo mkabaji wa Simba SC, Jonas Mkude. HATIMAYE sasa yametimia na rasmi kiungo mkabaji wa Simba SC, Jonas Mkude, anatarajia kuondoka nchini Alhamisi ya wiki hii kwa ajili ya kwenda kufanya majaribio ya wikimbili kwenye kikosi cha Bidvest Wits ya Afrika Kusini ‘Sauz’. Mipango hiyo ya mchezaji huyo ilianza kuiva tangu akiwa kambini nchini Ethiopia na kikosi cha timu ya taifa, Taifa Stars...

 

11 years ago

Michuzi

mambo ya e-fm 93.7 na mkude simba

Hapana shaka umeshamsikia Mkude Simba kwenye mitandao, hasa Whatsapp, akichana watu mbavu kwa lafudhi yake ya Kiluguru na vituko kibao. Kama hujamsikia basi Mkude Simba ndio gumzo la mujini hivi sasa. Naye anapatikana katika kituo kipya cha redio inayokuja juu kwa kasi nchini E-FM 93.7 ambapo usiku ni ngoma ya mchiriku kwa kwenda mbele....Hehehheee Pia kituo hicho cha vijana kinarusha vituzzzz live BOFYA HAPA ama hapo juu katika Globu ya Jamii.

 

11 years ago

GPL

MKUDE SIMBA: AAAAAAAALO!

Staa wa Muziki na Vichekesho Bongo, Musa Yusuf, a.k.a Mkude Simba akiwa kwenye mahojiano aliyofanya na Global TV Online.
Makala: Shani Ramadhai
AAAAAAAAALO ndiyo msemo unaomtambulisha kwa sasa. Anaijiita Mkude Simba, ametumia jina hilo kama ‘brand’ ya mfumo mpya wa uchekeshaji. Amekubalika na sasa ndiyo habari, kila mtu utamsikia akisema; ‘aaaaaalo, naongea na Mkunde Simba?’.… ...

 

10 years ago

GPL

Mkude: Sijasaini Simba

Kiungo wa Simba, Jonas Mkude. HABARI ni kuwa, Klabu ya Yanga inamhitaji kwa nguvu zote kiungo wa Simba, Jonas Mkude ambaye ili kumshawishi abaki klabuni hapo, uongozi wa Simba ukaamua kumpa gari, lakini mchezaji huyo ametoa kauli nzito. Mkude ambaye amekabidhiwa gari aina ya Toyota GX 115, ameliambia gazeti hili kuwa, mkataba wake na Simba uliobaki ni ule wa miezi sita pekee na kusisitiza kuwa hajasaini mkataba wowote...

 

10 years ago

Mwananchi

Mkude awazia ubingwa Simba

Kiungo wa Simba, Jonas Mkude amesema ushindi wa kwanza walioupata dhidi ya Ruvu Shooting umewapa morali na watahakikisha hawarudi nyuma na watajitahidi watwae ubingwa msimu huu.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Mil. 60 zamshika Mkude Simba

HATIMAYE klabu ya Simba imefanikiwa kumbakiza kiungo wake Jonas Mkude aliyekuwa akimezewa mate na timu za Yanga ama Azam FC katika dirisha la usajili linalotarajiwa kufunguliwa Novemba 15, baada ya...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Jonas Mkude arejea Simba

KIUNGO wa Simba, Jonas Mkude, amerejea rasmi kikosini na kuanza mazoezi baada ya kuwa benchi kwa wiki sita akiwa na majeraha aliyopata akiwa na timu ya soka ya Tanzania, Taifa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani