Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MKUDE ATENGEWA WIKI MBILI SAUZ

Na Hans Mloli Dar es Salaam Kiungo mkabaji wa Simba SC, Jonas Mkude. HATIMAYE sasa yametimia na rasmi kiungo mkabaji wa Simba SC, Jonas Mkude, anatarajia kuondoka nchini Alhamisi ya wiki hii kwa ajili ya kwenda kufanya majaribio ya wikimbili kwenye kikosi cha Bidvest Wits ya Afrika Kusini ‘Sauz’. Mipango hiyo ya mchezaji huyo ilianza kuiva tangu akiwa kambini nchini Ethiopia na kikosi cha timu ya taifa, Taifa Stars...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Pigo Simba, Mkude nje wiki sita

Kiungo wa Simba na timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’, Jonas Mkude atakaa nje ya uwanja kwa wiki sita kutokana na kuwa majeruhi wa goti la mguu wa kulia.

 

10 years ago

GPL

LUCY KOMBA: NIMEISHI NA MR. WIKI MBILI TU!

NaGladness Mallya
MSANII mkongwe katika gemu la filamu Bongo, Lucy Komba amefunguka kwamba baada ya kufunga ndoa  hivi karibuni ameishi na mumewe Janus kwa wiki mbili tu. Msanii mkongwe katika gemu la filamu Bongo, Lucy Komba akiwa na mume wake mumewe Janus. Akizungumza na paparazi wetu, Lucy alisema kwa sasa amebaki Bongo peke yake ikiwa ni baada ya mumewe kwenda kwao Denmark ambapo alitakiwa kurudi kazini lakini bado...

 

10 years ago

BBCSwahili

IGAD yaipa S-Sudan wiki mbili.

Jumuia ya Pembe ya Afrika yataka vita vimalizwe Sudan Kusini katika siku 15 zijazo la sivyo nchi itawekewa vikwazo

 

5 years ago

CCM Blog

RWAND YAONGEZA WIKI MBILI KUTOTOKA NJE

Serikali ya Rwanda imeogeza kwa karibu wiki mbili amri ya kutotoka nje hadi Aprili 30 kama sehemu ya hatua ya kudhibiti kusambaa kwa maambukizi ya virusi vya corona.

Hii ni hatua ya pili kali kutangazwa na serikali wiki mbili baada ya amri ya kwanza ya kutotoka nje kutangazwa ghafla usiku wa Machi 21 na kuanza kutekelezwa asubuhi yake.

Wakati huo Rwanda ilikuwa imeripoti kuwa na wagonjwa 17 pekee wa orona, lakini idadi hiyo siku ya Ijumaa iliongezeka hadi 138, huku watu 60 wakithibitishwa...

 

9 years ago

Mtanzania

Leicester City kumkosa Vardy wiki mbili

VardyLONDON, ENGLAND

MSHAMBULIAJI nyota wa klabu ya Leicester City, Jamie Vardy, atakuwa nje ya uwanja kwa wiki mbili kutokana na kufanyiwa upasuaji.

Mchezaji huyo wa nchini England, amefanyiwa upasuaji mdogo wa mtoki, hivyo utamfanya apumzike kwa wiki mbili.

Vardy amekuwa na makali msimu huu kutokana na kuongoza katika upachikaji mabao ambapo hadi sasa ana mabao 15 aliyoyafunga kwenye michuano ya Ligi Kuu na kuifanya klabu hiyo kushika nafasi ya pili katika msimamo wa ligi.

Kocha wa timu ya...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Kazi hii haitazidi wiki mbili — Shekifu

MJUMBE wa Bunge Maalumu la Katiba, Henry Shekifu, amesema kuwa endapo mambo mawili yanayoleta ukinzani kwenye Raismu ya Katiba yakipatiwa ufafanuzi, kazi ya kuandika katiba mpya haiwezi kuzidi wiki mbili....

 

10 years ago

Michuzi

TBA wapewa wiki mbili kukarabati majengo mawili

WAZIRI wa Ujenzi Dkt. John Magufuli ametoa siku 14, kwa Wakala wa Majengo ya Serikali (TBA), kuanza ukarabati wa ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Siha na Moshi baada ya kubainika majengo hayo kujengwa chini ya kiwango.
Dkt. Magufuli pia ameagiza aliyekuwa meneja wa TBA Mkoa wa Kilimanjaro, Paul Ndossa kusimamishwa kazi mahali alipo ili arejee kujibu tuhuma na kuwajibishwa kwa mujibu wa sheria.
Waziri huyo alitoa agizo hilo wakati akikagua jengo la mkuu wa Wilaya ya Siha mkoani Kilimanjaro...

 

9 years ago

Michuzi

DRFA YAZINDUA KOZI YA WIKI MBILI YA MKOCHA WA LESENI C’

CHAMA cha soka mkoa wa Dar es salaam, DRFA kwa kushirikiana na shirikisho la soka nchini TFF,leo imezindua rasmi kozi ya ukocha wa leseni C’ inayotambuliwa na shirikisho la kandanda barani afrika CAF.Kozi hiyo ya wiki mbili inaendeshwa na mkufunzi, Salum Madadi ambaye ni mkurugenzi wa ufundi wa TFF,ikiwa na jumla ya washiriki 31 wengi wao wakiwemo makocha wa vilabu vya ligi daraja la pili,daraja la kwanza na ligi kuu.Miongoni mwa washiriki hao ni pamoja na kocha msaidizi wa Simba,Suleiman...

 

10 years ago

Vijimambo

TBA wapewa wiki mbili kukarabati majengo mawili

WAZIRI wa Ujenzi Dkt. John Magufuli (pichani) ametoa siku 14, kwa Wakala wa Majengo ya Serikali (TBA), kuanza ukarabati wa ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Siha na Moshi baada ya kubainika majengo hayo kujengwa chini ya kiwango.

Dkt. Magufuli pia ameagiza aliyekuwa meneja wa TBA Mkoa wa Kilimanjaro, Paul Ndossa kusimamishwa kazi mahali alipo ili arejee kujibu tuhuma na kuwajibishwa kwa mujibu wa sheria.

Waziri huyo alitoa agizo hilo wakati akikagua jengo la mkuu wa Wilaya ya Siha mkoani Kilimanjaro...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani