Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Pilikapilika za Januari kwa wanafunzi

Ni takriban wiki tatu sasa tangu kuanza kwa mwaka 2015. Miji imeanza kuchangamka hasa barabarani kusikoisha visa vinavyowahusisha makondakta na wanafunzi.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

ASILIMIA 90 YA WANAFUNZI WA KIDATO CHA SITA WAREJEA SHULENI, HAKUNA MAAMBUKIZI YA CORONA KWA WANAFUNZI

Naibu Katibu Mkuu Tamisemi anayeshughulikia Elimu, Gerald Mweli akitoa ripoti ya kurejea shuleni kwa wanafunzi wa kidato cha sita.
NAIBU Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Gerald Mweli amesema asilimia 90 ya wanafunzi wa kidato cha sita wameripoti shuleni katika halmashauri zote nchini.
Mweli amesema mpaka sasa hakuna taarifa yoyote ya kuwapo kwa maambuziki ya ugonjwa wa Corona kwa wanafunzi wa kidato cha sita walioripoti shuleni.
Akitoa tathimini ya uripotiji wa...

 

10 years ago

Mwananchi

Kwa nini wengi hulia njaa Januari?

Naye Neema Alfred mkazi wa Mbeya, anasema Januari ina mahitaji makubwa ya kifedha ambayo mengine huchochewa na ndugu kuhitaji misaada ya fedha kufanikisha masuala yao ya kifedha.

 

10 years ago

GPL

OFISI YA TAIFA YA TAKWIMU YASEMA MFUMUKO WA BEI WA TAIFA KWA MWEZI JANUARI, 2015 UMEENDELEA KUPUNGUA KWA ASILIMIA 4.0‏

 Mkurugenzi wa Sensa za Jamii na Takwimu za Uchumi wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu, Ephrahim Kwesigabo akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari.  Mkurugenzi wa Sensa za Jamii na Takwimu za Uchumi wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu, Ephrahim Kwesigabo (kushoto), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam leo , wakati akitoa Fahirisi za bei za taifa kwa mwezi Januari, 2015. Kulia ni Kaimu...

 

10 years ago

GPL

JOKATE AANIKA MAPENZI YAKE KWA JANUARI, ZITTO NA MILLARD

Leo kwenye safu hii tunaye mwanadada ambaye anaendesha maisha yake kwa kazi mbalimbali zikiwemo uigizaji, muziki, uanamitindo, ujasiriamali na utangazaji. Miss Tanzania namba 2, 2006, Jokate Mwegelo akipozi. Huyu ni Jokate Mwegelo ambaye ni Miss Tanzania namba 2, 2006. Wiki hii yuko hapa kujibu maswali 10 ambayo mwandishi wetu Hamida Hassan alimuuliza na akatoa ushirikiano katika kuyajibu. Ijumaa: Kuna madai kwamba sasa hivi...

 

11 years ago

Dewji Blog

Mzee aishi wodini kwa miaka 45 tangu Januari mosi mwaka 1971

DSC07576

Mzee Abdi Nkhambi Lanjui (75) akiwa wodi namba nne katika hospitali ya mkoa mjini Singida. Mzee Lanjui mzaliwa wa kijiji cha Mhintiri tarafa ya Ihanja, aliyekuwa dereva wa kampuni ya mamlaka ya Pamba Mwanza, alipata ajali katikati ya mwaka 1968 na kulazwa katika hospitali ya Sekoture Mwanza na baadaye mwishoni mwa mwaka 1970,alihamishiwa hospitali ya mkoa wa Singida, ambako anaishi hadi sasa. Ajali hiyo ilisababisha kukatika mawasiliano kati ya kuanzia kiunoni na kushuka chini ambako...

 

10 years ago

Michuzi

TAARIFA YA MWELEKEO WA MVUA KWA KIPINDI CHA JANUARI — FEBRUARI, 2015 NCHINI

Mkurugenzi Mkuu wa TMA Dkt Agnes Kijazi akiongea na vyombo vya habari kuhusiana na mwelekeo wa utabiri wa hali ya hewa kwa kipindi cha mwezi Januari hadi Februari 2015 Wanahabari wakichukua taarifa inayotolewa na Dkt. Kijazi katika ukumbi wa mikutano TMA.

 

10 years ago

Michuzi

TAARIFA KWA UMMA KUHUSU VIKAO VYA KAMATI ZA BUNGE KUANZA TAREHE 13 — 23 JANUARI 2015


JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA




BUNGE LA TANZANIA


TAARIFA KWA UMMA KUPITIA VYOMBO HABARI KUHUSU VIKAO VYA KAMATI ZA BUNGE KUANZA TAREHE 13 – 23 JANUARI 2015


Katibu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania anawatangazia Waheshimiwa Wabunge wote, wadau na umma kwa ujumla kuwa Kamati za Kudumu za Bunge zitaanza vikao vyake tarehe 13 hadi 23 Januari 2015. Vikao hivyo vitakavyoutangulia mkutano wa Kumi na Nane wa Bunge la Kumi vitajadili na kuchambua pamoja na mambo mengine Miswada mbalimbali ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani