Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Pinda aahidi kuwaondolea vikwazo wenye ulemavu

WAZIRI Mkuu, Mizengo Pinda ameahidi kuwaondolea walemavu vikwazo vinavyowakabili katika suala zima la teknolojia, waweze kushiriki ipasavyo kwenye masuala mbalimbali ya maendeleo ya uchumi na kijamii.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

WAZIRI PINDA KUONGOZA KONGAMANO LA KIMATAIFA LA WATOTO NA VIJANA WENYE ULEMAVU

Mmoja wa wataribu wa kongam, ano hilo kutoka FPTC, Lucas Mhenga akiwa na wadau. Baadhi ya waandaaji wa kongamano hilo wakiwa kwenye kikao kilichofanyika ndani ya ukumbi uliopo Luther House, Posta jijini Dar cha…

 

11 years ago

Michuzi

MAMA TUNU PINDA AOMBA WATU NA MASHIRIKA MBALIMBALI KUSAIDIA KUCHANGIA KATIKA KUENDELEZA ELIMU KWA WATOTO NA VIJANA WENYE ULEMAVU WA NGOZI (ALIBINO)

Mlezi wa chama cha wake wa viongozi Mama Tunu Pinda akipokea vitabu vyenye thamani ya shilngi milioni 35 kutoka kwa Meneja Mkuu wa kituo cha kuendeleza vipaji kwa vijana THT Bwana Mwita Mwaikenda na anaye shuhudia ni Mwenyekiti wa chama cha wake wa viongozi Germina Lukuvi msaada huo wa vitatabu ni kwaajili ya kusaidia Elimu kwa watoto na vijana wenye ulemavu wa ngozi (ALIBINO) sherehe hiyo ya makabidhiano imefanyika katika makazi ya waziri mkuu jijini Dar es salaam.Picha na Chris...

 

5 years ago

Michuzi

SHIRIKISHO LA VYAMA VYA WATU WENYE ULEMAVU TANZANIA WAIOMBA SERIKALI KUSAIDIA WATU WENYE UZIWI KUPATA TAARIFA SAHIHI KUHUSU CORONA


Na Said Mwishehe,Michuzi Globu ya jamii

UONGOZI wa Shirikisho la Vyama vya Watu wenye Ulemavu  Tanzania (SHIVYAWATA )lumesema kwamba uwepo wa tishio la virusi vya Corona (COVID-19) nchini umesababisha hofu kubwa kwa watu wenye uziwi kwani imekuwa ngumu kwao kupata maelekezo na miongozo ya Serikali pamoja na Wizara ya Afya,Maendeleo ya Jamii,Jisinsia, Wazee na Watoto.

Umesema kuwa matangazo mengi ambayo yametolewa na Wizara ya Afya yanashindwa kuwafikia watu wenye uziwi kwani hakuna watalaam wa...

 

10 years ago

Habarileo

Wenye ulemavu watoa ya moyoni

WATU wenye ulemavu wameomba vyama vya siasa kutowachanganya na wasio na ulemavu kwenye kura za maoni kwa ajili ya kuwania nafasi mbalimbali za kisiasa kutokana na ugumu wanaopata katika kushinda nafasi hizo.

 

11 years ago

Habarileo

‘Tembeleeni wenye ulemavu Buhangija’

WAZAZI na walezi waliopeleka watoto wao katika kituo maalumu cha kulelea watoto wenye ulemavu Buhangija katika Manispaa ya Shinyanga, wameombwa kujenga desturi ya kuwatembelea watoto hao.

 

10 years ago

Habarileo

Wenye ulemavu waomba kusaidiwa

HALMASHAURI ya Jiji la Tanga imeombwa kuangalia uwezekano wa kutenga fedha kwa ajili ya kusaidia manunuzi ya vifaa visaidizi kwa ajili ya watu wenye ulemavu.

 

10 years ago

Habarileo

Wenye ulemavu wahimizwa kutojinyanyapaa

Balozi wa China nchini, Dk Lu Youging WANAFUNZI wenye ulemavu mbalimbali wanaosoma na kulelewa katika kituo cha shule ya msingi Mugeza Museto Manispaa ya Bukoba, mkoani Kagera wameshauriwa kutumia muda wao mwingi katika masomo ili kupata ufaulu mkubwa na kutojinyanyapaa kuwa wao ni tofauti na wengine.

 

11 years ago

Tanzania Daima

90% wenye ulemavu hawana elimu

ZAIDI ya asilimia 90 ya walemavu wote wilayani Urambo, Tabora hawajasoma kutokana na mazingira duni ya kuipata elimu. Wilaya hiyo ina wenye ulemavu zaidi ya 900, kati yao watu 860...

 

10 years ago

Mtanzania

Watoto wenye ulemavu wamkuna Natasha

natashaNA GEORGE KAYALA
MWIGIZAJI Susan Humba ‘Natasha’ amewataka wenye makampuni ya uandaaji wa filamu za bongo kuwatumia watoto wenye vipaji ambao wana ulemavu wa viungo.
Natasha alitoa kauli hiyo kwa watoto hao wenye ulemavu wa viungo wanaosoma Shule ya Sekondari Jangwani, jijini Dar es Salaam, baada ya kuonyesha uwezo wao wa kuigiza mbele yake.
Wanafunzi hao walionesha vipaji vyao mwishoni mwa wiki iliyopita, wakati wa uzinduzi wa shirika lisilo la kiserikali la Save Vulnerable Foundation...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani