Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Pinda aanza na wadhamini 4,200

Waziri Mkuu, Mizengo PindaMGOMBEA wa nafasi ya Urais wa Tanzania kwa tiketi ya CCM ambaye pia ni Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mizengo Pinda ameanza safari ya kusaka wadhamini kwa kuzuru Mkoa wa Katavi.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

Pinda aanza kutafuta wadhamini

IMGL9791

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na baadhi ya wananchi wa Mpanda waliofika kwenye ofisi ya CCM ya Wilaya  ya Mpanda  kushuhudia na kumdhamini  ili apate sifa za kuteuliwa kuwa mgombea urais kwa tiketi ya CCM, Juni 15, 2015. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

IMGL9844

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na baadhi ya wanaCCM wa kijijini kwake Kibaoni wilayani  Mlele Juni 15, 2015 wakati alipokwenda kwenye Ofisi ya CCM ya kata ya  Kibaoni  kabla ya kudhaminiwa  na wana CCM wa kata hiyo ...

 

10 years ago

Vijimambo

WAZIRI MKUU AANZA KUSAKA WADHAMINI KATAVI




Mgombea Urais kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM) ambaye pia ni Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mizengo Pinda ameanza safari ya kusaka wadhamini kwa kuzuru Mkoa wa Katavi.

Waziri Mkuu Pinda ambaye aliwasili Mpanda jana jioni (Jumapili, Juni 14, 2015), alipokelewa na maelfu ya wakazi wa mji wa Mpanda ambao waliamua kumsindikiza kwa mchakachaka na bodaboda kutoka uwanja wa ndege hadi nyumbani kwake, Makanyagio.
Hadi mchana huu amekwishapata wadhamini 4,243 kwa kuzuru vituo...

 

10 years ago

GPL

MJUE MRISHO MPOTO: AANZA KAZI YA UKULI, ALIPWA 1,200

MPENZI msomaji wiki iliyopita katika simulizi hii ya Mrisho Mpoto tuliishia pale Mrisho alipomaliza darasa la saba mwaka 1994 ambapo kaka yake aitwaye Mashaka alikuwa ameoa Kigoma ikabidi amchukue na kumtafutia kazi. Songa nayo mwenyewe... “Kaka yangu Mashaka alikuwa askari na baba mkwe wake alikuwa mtu mkubwa pale Bandari ya Army. Kwa hiyo nikaenda kwa wakwe zake, Kigoma mjini sehemu moja inaitwa Gungu. Nikapewa kazi ya...

 

10 years ago

Dewji Blog

Pinda aanza ziara ya mkoa wa Iringa

PG4A1322

 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Iringa, Amina Masenza  baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Nduli kuanza ziara ya kikazi mkoani Iringa Februari 18, 2015. (Picha na Ofisi yaWaziri Mkuu).

PG4A1341

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akitazama ngoma  ya kikundi cha Mangala  baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Nduli kuanza ziara ya kikazi mkoani Iringa Februari 18, 2015.

PG4A1363

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na viongozi wa mkoa wa Iringa baada ya kuwasili kwenye...

 

10 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU MIZENGO PINDA AANZA ZIARA YA MKOA WA MBEYA

 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akitazama mafunzo kwa vitendo yaliyokuwa yakifanywa na wanafunzi wa kidato cha kwanza katika Shule ya Sekondari ya Igomelo wilayani Mbarari akiwa katika siku ya kwanza ya ziara ya kikazi mkoani Mbeya Februari 24, 2015. Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu

 

10 years ago

Dewji Blog

Lowassa atikisa Dodoma, achukua fomu aanza kusaka wadhamini “Chap Chap”, awazoa lukuki Dodoma

Waziri Mkuu wa zamani na mbunge wa Monduli, ambaye tayari ametangaza nia ya kuwania urais kupitia CCM, akionyesha mkoba wenye fomu za kuomba kuteuliwa pamoja na nyaraka nyingine, baada ya kukabidhiwa makao makuu ya CCM, (White House), Dodoma, Alhamisi Juni 4, 2015. Mara baada ya kuchukua fomu hizo, Lowassa, alielekea kwenye ofisi za CCM wilaya ya Dodoma mjini na kuanza kusaka wadhamini, ambapo mamia ya wanachama wa CCM, waklijitokeza kumdhamini, na mmoja wa watu mashuhuri ndani ya chama...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani