Pinda aanza kutafuta wadhamini
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na baadhi ya wananchi wa Mpanda waliofika kwenye ofisi ya CCM ya Wilaya ya Mpanda kushuhudia na kumdhamini ili apate sifa za kuteuliwa kuwa mgombea urais kwa tiketi ya CCM, Juni 15, 2015. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na baadhi ya wanaCCM wa kijijini kwake Kibaoni wilayani Mlele Juni 15, 2015 wakati alipokwenda kwenye Ofisi ya CCM ya kata ya Kibaoni kabla ya kudhaminiwa na wana CCM wa kata hiyo ...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo16 Jun
Pinda aanza na wadhamini 4,200
MGOMBEA wa nafasi ya Urais wa Tanzania kwa tiketi ya CCM ambaye pia ni Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mizengo Pinda ameanza safari ya kusaka wadhamini kwa kuzuru Mkoa wa Katavi.
10 years ago
VijimamboDKT. MAGUFULI AWASILI ZANZIBAR KUTAFUTA WADHAMINI
10 years ago
Dewji Blog07 Jun
Mh. Wasira azuru mkoa wa Kilimanjaro na Arusha kutafuta wadhamini
Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika, Stephen Wasira (kushoto) akiwa ndani ya ofisi za CCM mkoa wa Kilimanjaro wakati alipoenda kuomba kuthaminiwa na wananchi ili kuweza kupata nafasi ya kugombea nafasi ya Urais. Katikati ni mwenyekiti wa mkoa wa Kilimanjaro, Deogratius Luta na kulia ni Katibu wa CCM mkoa huo Idd Juma Mohamed.
Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika, Stephen Wasira akiwa anaongea na mmoja wa kada wa CCM aliyejitokeza kumdhamini.
![](http://1.bp.blogspot.com/-8myeQmI7wDk/VXRSgqoMPUI/AAAAAAAAPFA/XMPQt7ZCkQA/s640/OeqKR2MJWuSfpXLKwfBFZJFLWOptDzREjsfG1WJwJKE%252C22ptFu1mWeGYCjbMdhlzybDGK1I_ve_ajlFVLvrMdQY.jpg)
Waziri wa Kilimo na Ushirika Stephen...
10 years ago
MichuziMAKONGORO NYERERE AKAMILISHA ZOEZI LA KUTAFUTA WADHAMINI MKOANI SHINYANGA
Mtangaza nia kuwania urais katika uchaguzi mkuu ujao Charles Makongoro Nyerere leo amekamilisha ziara ya kutafuta wadhamini mikoani.Ziara yake ameikamilisha katika mkoa wa Shinyanga.Katika hotuba yake ya kukamilisha ziara yake,Makongoro Nyerere amekemea vitendo vya mafisadi aliodai hawazidi 20,anaowafahamu sura,majina na tabia zao ambao wamekuwa kikwazo hata kwa rais Jakaya Mrisho Kikwete,aliodai kuwa wengi ni marafiki zake na rais.
10 years ago
VijimamboBALOZI AMINA SAUM ALI ATUA PEMBA KUTAFUTA WADHAMINI
9 years ago
MichuziPolisi: Wagombea Urais marufuku kuambatana na wapambe waati wa kuchukua, kutafuta wadhamini na kurejesha fomu
Jeshi la Polisi nchini limesitisha maandamano ya wafuasi wa vyama vya siasa wakati wa kuchukua ,kutafuta wadhamini, na kurejesha fomu za kugombea nafasi ya Urais katika uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika mwezi Oktoba mwaka huu.
Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam Naibu Inspekta Jenerali wa jeshi la Polisi Abdulrahman Kaniki (pichani) amesema kuwa jeshi limechukua hatua hiyo kutokana na ukiaukwaji wa sheria za usalama barabarani...
10 years ago
Vijimambo![](http://2.bp.blogspot.com/-fwCspudNGX4/VX7pkHIWqiI/AAAAAAAA_8g/pfnJmoJF4_A/s72-c/PINDA%2B2.jpg)
WAZIRI MKUU AANZA KUSAKA WADHAMINI KATAVI
![](http://2.bp.blogspot.com/-fwCspudNGX4/VX7pkHIWqiI/AAAAAAAA_8g/pfnJmoJF4_A/s320/PINDA%2B2.jpg)
Mgombea Urais kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM) ambaye pia ni Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mizengo Pinda ameanza safari ya kusaka wadhamini kwa kuzuru Mkoa wa Katavi.
Waziri Mkuu Pinda ambaye aliwasili Mpanda jana jioni (Jumapili, Juni 14, 2015), alipokelewa na maelfu ya wakazi wa mji wa Mpanda ambao waliamua kumsindikiza kwa mchakachaka na bodaboda kutoka uwanja wa ndege hadi nyumbani kwake, Makanyagio.
Hadi mchana huu amekwishapata wadhamini 4,243 kwa kuzuru vituo...
10 years ago
VijimamboDK. MALECELA AKIWA KATIKA STUDIO ZA MWAMBAO JIJINI TANGA, YUPO JIJINI HUMO KUTAFUTA WADHAMINI KATIKA SAFARI YAKE YA KUOMBA KUWANIA URAIS KWA TIKETI YA CCM
10 years ago
Dewji Blog19 Feb
Pinda aanza ziara ya mkoa wa Iringa
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Iringa, Amina Masenza baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Nduli kuanza ziara ya kikazi mkoani Iringa Februari 18, 2015. (Picha na Ofisi yaWaziri Mkuu).
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akitazama ngoma ya kikundi cha Mangala baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Nduli kuanza ziara ya kikazi mkoani Iringa Februari 18, 2015.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na viongozi wa mkoa wa Iringa baada ya kuwasili kwenye...