Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mh. Wasira azuru mkoa wa Kilimanjaro na Arusha kutafuta wadhamini

Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika, Stephen Wasira (kushoto) akiwa ndani ya ofisi za CCM mkoa wa Kilimanjaro wakati alipoenda kuomba kuthaminiwa na wananchi ili kuweza kupata nafasi ya kugombea nafasi ya Urais. Katikati ni mwenyekiti wa mkoa wa Kilimanjaro, Deogratius  Luta na kulia ni Katibu wa CCM mkoa huo Idd Juma Mohamed.

Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika, Stephen Wasira akiwa anaongea na mmoja wa kada wa CCM aliyejitokeza kumdhamini.

Waziri wa Kilimo na Ushirika Stephen...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

Lowassa avunja rekodi ya kujizolea wadhamini 33,780 mkoa wa Kilimanjaro

DSC_7753

Mh. Lowassa, aklipokea sehemu ya fomu zilizojazwa na wana CCM waliomhamini kwenye ofisi kuu za chama hicho mkoani Kilimanjaro Alhamisi J 18, 2015. (Pichan na K-VIS MEDIA).

DSC_7944

Mkazi huyu wa Moshi, akiwa amejishika kichwa baaa ya kutoamini macho yake kutokana na umati mkubwa wa watu waliofurika kwenye viwanja vya CCM mkoani Kilimanjaro wakati Waziri Mkuu wa zamani na Mbunge wa Monduli, Mh. Edward Lowassa, alipofika kwenye ofisi hizo kuomba wadhamini baada ya kuchukuaf omu za kuomba CCM imteue...

 

5 years ago

Michuzi

RPC KILIMANJARO NA RIO KILIMANJARO WAKIANGALIA GARI LILILOTUMIWA NA HAYATI JULIUS KAMBARAGE NYERERE KUTAFUTA UHURU WA TANGANYIKA

 Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kilimanjaro, Kamishna Msaidizi wa Polisi  Salum Hamduni, akiangalia mandhari ya ndani ya gari lililotumiwa na Baba wa Taifa, Hayati Julius Kambarage Nyerere wakati wa harakati za kutafuta Uhuru wa Tanganyika, gari hilo limepaki Makao Makuu ya Chama cha Mapinduzi, mkoani Kilimanjaro.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kilimanjaro, Kamishna Msaidizi wa Polisi  Salum Hamduni, akimuonyesha Mkuu wa Uhamiaji, Mkoa wa ...

 

10 years ago

Dewji Blog

Pinda aanza kutafuta wadhamini

IMGL9791

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na baadhi ya wananchi wa Mpanda waliofika kwenye ofisi ya CCM ya Wilaya  ya Mpanda  kushuhudia na kumdhamini  ili apate sifa za kuteuliwa kuwa mgombea urais kwa tiketi ya CCM, Juni 15, 2015. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

IMGL9844

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na baadhi ya wanaCCM wa kijijini kwake Kibaoni wilayani  Mlele Juni 15, 2015 wakati alipokwenda kwenye Ofisi ya CCM ya kata ya  Kibaoni  kabla ya kudhaminiwa  na wana CCM wa kata hiyo ...

 

10 years ago

Vijimambo

DKT. MAGUFULI AWASILI ZANZIBAR KUTAFUTA WADHAMINI

Waziri wa Ujenzi ambaye pia ni Mbunge wa Chato Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiangalia mchakato wa uhakiki wa kadi za wanachama wa CCM Wilaya ya Mfenesini Kisiwani Zanzibar waliojitokeza kumdhamini.Waziri wa Ujenzi ambaye pia ni Mbunge wa Chato Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akikabidhiwa fomu yenye orodha ya Wadhamini waliojitokeza kumdhamini katika mbio za kuwania Urais wa Jamhuri ya Muungano kupitia chama hicho kutoka kwa Mussa Haji Katibu wa CCM Wilaya ya Mfenesini Kisiwani...

 

10 years ago

Vijimambo

BALOZI AMINA SAUM ALI ATUA PEMBA KUTAFUTA WADHAMINI

BALOZI wa kudumu kwenye baraza la umoja wa Afrika nchini Marekani  Amina Salim Ali, ambae nae ameshatangaaza nia ya kuomba kuteuliwa na chama chake cha CCM, kuwa mgombea wa nafasi ya urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, akizungumza na waandishi wa habari wa vyombo tofauti, kwenye uwanja wa ndege wa Pemba, alipowasili kisiwani humo kwa ajili ya kusaka wadhamini.BALOZI wa kudumu kwenye baraza la  umoja wa Afrika nchini Marekani Amina Salim Ali, ambae nae ameshatangaaza nia ya kuomba...

 

10 years ago

Michuzi

MAKONGORO NYERERE AKAMILISHA ZOEZI LA KUTAFUTA WADHAMINI MKOANI SHINYANGA



Mtangaza nia kuwania urais katika uchaguzi mkuu ujao Charles Makongoro Nyerere leo amekamilisha ziara ya  kutafuta wadhamini mikoani.Ziara yake ameikamilisha katika mkoa wa Shinyanga.Katika hotuba yake ya kukamilisha ziara yake,Makongoro Nyerere amekemea vitendo vya mafisadi aliodai hawazidi 20,anaowafahamu sura,majina na tabia zao ambao wamekuwa kikwazo hata kwa rais Jakaya Mrisho Kikwete,aliodai kuwa wengi ni marafiki zake na rais. Katibu wa CCM wilaya ya Shinyanga mjini Charles Sangura...

 

9 years ago

Michuzi

Polisi: Wagombea Urais marufuku kuambatana na wapambe waati wa kuchukua, kutafuta wadhamini na kurejesha fomu

Na Lorietha Laurence –Maelezo
Jeshi la Polisi nchini limesitisha maandamano ya wafuasi wa vyama vya siasa wakati wa kuchukua ,kutafuta  wadhamini, na kurejesha fomu za kugombea nafasi ya Urais katika uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika mwezi Oktoba mwaka huu.
Akizungumza na waandishi wa habari  jijini Dar es Salaam Naibu Inspekta Jenerali wa jeshi la Polisi Abdulrahman  Kaniki (pichani) amesema kuwa jeshi limechukua hatua hiyo kutokana na ukiaukwaji wa sheria za usalama barabarani...

 

10 years ago

Michuzi

MFANYABIASHARA MASHUHURI MIKOA YA ARUSHA NA KILIMANJARO VICENT LASWAI APANDA MLIMA KILIMANJARO

Mfanyabiashara mashuhuri katika mikoa ya Arusha na Kilimanjaro,Vicent Laswai akitia saini katika kitabu cha wageni mara baada ya kuwasili katika ofsi za Hifadhi ya taifa ya Mlima Kilimanjaro (KINAPA) kabla ya kuanza safari ya kupanda Mlima Kilimanjaro.Mfanyabiashara Vicent Laswai akijadiliana jambo na Mhifadhi mkuu wa Hifadhi ya taifa ya Mlima Kilimanjaro(KINAPA) ,Erastus Rufungulo kabla ya kuaza safari ya kupanda mlima Kilimanjaro. kulia ni mkurugenzi wa kampuni ya Topi Raisen Richard...

 

10 years ago

Michuzi

NYALANDU APATA WADHAMINI MKOANI KILIMANJARO

Katibu wa Jumuiya ya vijana wa Chama cha Mapinduzi,UVCCM wilaya ya Moshi mjini ,Joel Makwaia akisalimiana na Waziri wa Maliasili na Utalii,Lazaro Nyalandu alipowasili ofisi za CCM mkoa wa Kilimanjaro kwa ajili ya kutafuta wadhamini .
Waziri wa Maliasili na Utalii ,Lazaro Nyalandu akizungumza na wananchi hao ambao wengi wao ni viajana waliofika kwa ajili ya kumdhamini.

BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani