DKT. MAGUFULI AWASILI ZANZIBAR KUTAFUTA WADHAMINI
Waziri wa Ujenzi ambaye pia ni Mbunge wa Chato Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiangalia mchakato wa uhakiki wa kadi za wanachama wa CCM Wilaya ya Mfenesini Kisiwani Zanzibar waliojitokeza kumdhamini.
Waziri wa Ujenzi ambaye pia ni Mbunge wa Chato Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akikabidhiwa fomu yenye orodha ya Wadhamini waliojitokeza kumdhamini katika mbio za kuwania Urais wa Jamhuri ya Muungano kupitia chama hicho kutoka kwa Mussa Haji Katibu wa CCM Wilaya ya Mfenesini Kisiwani...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
VijimamboDKT. MAGUFULI AWASILI KISIWANI ZANZIBAR NA KUPATA WADHAMINI WENGI KATIKA MIKOA YA UNGUJA NA PEMBA
10 years ago
MichuziDKT. MAGUFULI ATAPA WADHAMINI KATIKA MIKOA YA UNGUJA NA PEMBA, ZANZIBAR
10 years ago
VijimamboDkt. Magufuli apata wadhamini lukuki Mkoani Dodoma
10 years ago
MichuziDKT.MAGUFULI AZIDI KUPATA WADHAMINI MIKOA YA KAGERA, MARA NA MWANZA
10 years ago
MichuziDKT.MAGUFULI AZIDI KUPATA WADHAMINI KATIKA MIKOA YA KILIMANJARO NA DAR ES SALAAM
10 years ago
Dewji Blog18 Jun
Pinda aanza kutafuta wadhamini
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na baadhi ya wananchi wa Mpanda waliofika kwenye ofisi ya CCM ya Wilaya ya Mpanda kushuhudia na kumdhamini ili apate sifa za kuteuliwa kuwa mgombea urais kwa tiketi ya CCM, Juni 15, 2015. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na baadhi ya wanaCCM wa kijijini kwake Kibaoni wilayani Mlele Juni 15, 2015 wakati alipokwenda kwenye Ofisi ya CCM ya kata ya Kibaoni kabla ya kudhaminiwa na wana CCM wa kata hiyo ...
10 years ago
Dewji Blog07 Jun
Mh. Wasira azuru mkoa wa Kilimanjaro na Arusha kutafuta wadhamini
Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika, Stephen Wasira (kushoto) akiwa ndani ya ofisi za CCM mkoa wa Kilimanjaro wakati alipoenda kuomba kuthaminiwa na wananchi ili kuweza kupata nafasi ya kugombea nafasi ya Urais. Katikati ni mwenyekiti wa mkoa wa Kilimanjaro, Deogratius Luta na kulia ni Katibu wa CCM mkoa huo Idd Juma Mohamed.
Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika, Stephen Wasira akiwa anaongea na mmoja wa kada wa CCM aliyejitokeza kumdhamini.
![](http://1.bp.blogspot.com/-8myeQmI7wDk/VXRSgqoMPUI/AAAAAAAAPFA/XMPQt7ZCkQA/s640/OeqKR2MJWuSfpXLKwfBFZJFLWOptDzREjsfG1WJwJKE%252C22ptFu1mWeGYCjbMdhlzybDGK1I_ve_ajlFVLvrMdQY.jpg)
Waziri wa Kilimo na Ushirika Stephen...
10 years ago
VijimamboBALOZI AMINA SAUM ALI ATUA PEMBA KUTAFUTA WADHAMINI
10 years ago
MichuziMAKONGORO NYERERE AKAMILISHA ZOEZI LA KUTAFUTA WADHAMINI MKOANI SHINYANGA
Mtangaza nia kuwania urais katika uchaguzi mkuu ujao Charles Makongoro Nyerere leo amekamilisha ziara ya kutafuta wadhamini mikoani.Ziara yake ameikamilisha katika mkoa wa Shinyanga.Katika hotuba yake ya kukamilisha ziara yake,Makongoro Nyerere amekemea vitendo vya mafisadi aliodai hawazidi 20,anaowafahamu sura,majina na tabia zao ambao wamekuwa kikwazo hata kwa rais Jakaya Mrisho Kikwete,aliodai kuwa wengi ni marafiki zake na rais.