Pinda: Hakutakuwa na uchaguzi mdogo Jimbo la Mbinga.
Na Mkombe Zanda,
Mbeya.
WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda amesema hakuna uchaguzi mdogo utakaofanyika ili kujaza nafasi iliyoachwa wazi na aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Mbinga Magharibi, Marehemu Kapteni John Komba, aliyefariki duania juzi jijini Dar es Salaam.
Waziri Mkuu Pinda, amesema kutokana na muda uliobaki kabla ya Uchaguzi Mkuu Oktoba mwaka huu Sheria ya Uchaguzi namba Nne ya mwaka 1985 hairuhusu kufanyika kwa uchaguzi mdogo wa kujaza nafasi hiyo.
Kifo cha Mbunge wa Mbinga Magharibi,...
StarTV
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-_rdFNI6Nvh8/Uwx-dk6-ykI/AAAAAAACbFs/7VIME4f1y-4/s72-c/MMG24848.jpg)
WANANCHI MSIWE NA HOFU,HAKUTAKUWA NA VURUGU UCHAGUZI MDOGO WA JIMBO LA KALENGA-MKUU WA MKOA IRINGA
![](http://4.bp.blogspot.com/-_rdFNI6Nvh8/Uwx-dk6-ykI/AAAAAAACbFs/7VIME4f1y-4/s1600/MMG24848.jpg)
Akizungumza leo kwenye moja ya kituo cha redio mjini humo,Nuru FM ,kupitia kipindi cha sunrisepower, amesema kuwa tayari ameshakaa na kamati yake ya Ulinzi na Usalama akiwemo Kamanda wa Jeshi la Polisi,aidha ameongeza kuwa wamejiandaa kikamilifu katika ulinzi, hivyo wananchi wanapaswa kutokuwa na hofu.
Amesema kuwa...
11 years ago
MichuziTume ya Uchaguzi yavitaka vyama vya siasa vinavyoshiriki kwenye Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Chalinze kuwatumia mawakala kutoka ndani ya jimbo hilo
Akizungumza katika mkutano baina ya vyama vya siasa na tume hiyo,Mwenyekiti wa Tume hiyo,Jaji mstaafu Damiani Lubuva amesema kuwa pamoja na kuwa sheria haikatazi kwa vyama kuteua mawakala wa vyama kutoka majimbo mengine ya...
11 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-feEhwFEag-s/UxH85khES4I/AAAAAAACbYw/T1a-IoTL9To/s72-c/3.jpg)
KAMPENI ZA UCHAGUZI MDOGO JIMBO LA KALENGA ZAZIDI KUSHIKA KASI,CCM YATAMBA KUNYAKUA JIMBO.
![](http://4.bp.blogspot.com/-feEhwFEag-s/UxH85khES4I/AAAAAAACbYw/T1a-IoTL9To/s1600/3.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-6GXqgDp6kj4/UxH8vP0yjaI/AAAAAAACbXc/ZMAW2mThT1w/s1600/13.jpg)
11 years ago
Michuzi13 Feb
TAARIFA YA UCHAGUZI MDOGO JIMBO LA KALENGA, IRINGA
![](https://4.bp.blogspot.com/-bB37K3eVcuU/UvuUysp06QI/AAAAAAACpCc/YoKooi7s91I/s1600/NEC_BANNER2.gif)
1. Uteuzi wa Wagombea Ubugne utafanyika tarehe...
11 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-fjDlEFNDK04/UvmfktoKVnI/AAAAAAAFMTc/yau44oQ0eVY/s72-c/0,,6109263_4,00.jpg)
CUF KUTOWEKA MGOMBEA UCHAGUZI MDOGO JIMBO LA KALENGA
![](http://2.bp.blogspot.com/-fjDlEFNDK04/UvmfktoKVnI/AAAAAAAFMTc/yau44oQ0eVY/s1600/0,,6109263_4,00.jpg)
Mbio za kuwania ubunge katika Jimbo la Kalenga unabaki kwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na Chama Cha Mapinduzi (CCM), baada ya Chama cha Wananchi (CUF) kuthibitisha kutosimamisha mgombea. Naibu Mkurugenzi wa Habari na Uhusiano wa Umma wa CUF, Abdul Kambaya, amesema chama chake hakina mpango wa kusimamisha mgombea katika jimbo hilo na kwamba hivi sasa wanaandaa mikutano ya kuimarisha chama chao.“Mpaka sasa CUF haina mpango wa kusimamisha mgombea ubunge Kalenga… kwa sasa...
11 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-igthB1BXPI8/U0GYHyMIUkI/AAAAAAAFY2Q/zXQaR2Zp3ik/s72-c/IMG-20140406-WA0004.jpg)
9 years ago
StarTV23 Nov
Chama cha Mapinduzi chapata ushindi Uchaguzi Mdogo Jimbo La Ulanga
Mbunge wa jimbo la Ulanga mkoani Morogoro amepatikana mara baada ya matokeo ya uchaguzi mdogo wa ubunge uliofanyika jimboni humo kukamilika na msimamizi wa jimbo hilo kumtangaza Goodluck Mlinga kuwa ndiye mshindi.
Katika uchaguzi huo uliofanyika Novemba 22 na kushirikisha vyama vitatu vya CCM, CHADEMA na ACT Wazalendo, Goodluck Mlinga ameshinda kwa kupata kura 25902 sawa na asilimia 69.78, mgombea wa CHADEMA akipata kura 10592 sawa na asilimia 28.53 na mgombea kupitia ACT wazalendo akipata...
11 years ago
Michuzi13 Mar
11 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-OQNqlept6ZA/UyaVs2pHqnI/AAAAAAACcqs/7XjhzB477YE/s72-c/IMG-20140317-WA0001.jpg)
CCM YASHINDA KWA KISHINDO UCHAGUZI MDOGO WA UBUNGE JIMBO LA KALENGA
![](http://2.bp.blogspot.com/-OQNqlept6ZA/UyaVs2pHqnI/AAAAAAACcqs/7XjhzB477YE/s1600/IMG-20140317-WA0001.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-vhJuSM-SSJU/UyaNwBA1W-I/AAAAAAACcqU/-dpC61Zc4ps/s1600/IMG_0099.jpg)