Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Pinda kuitia hasara Serikali

Uamuzi wa Waziri Mkuu Mizengo Pinda kuruhusu malori makubwa ya mizigo yaendelee kuzidisha uzito wa mizigo, umetajwa kuwa ni hatari na utaisababishia Serikali hasara ya mamilioni ya fedha.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

KwanzaJamii

Dawasco yaitia serikali hasara ya Sh. bilioni 27

Waziri wa Maji, Profesa Jumanne Maghembe, amesema kampuni ya Majisafi na Majitaka Dar es Salaam (Dawasco) imeisababishia serikali hasara ya Sh. bilioni 27 kutokana na kutokidhi vigezo katika kusimamia upotevu wa maji. Kutokana na hali hiyo, imeipa bodi mpya ya Dawasco muda wa mwezi mmoja ili kutatua tatizo hilo. Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam wakati wa uzinduzi wa bodi hiyo, ambayo ni ya tatu kwa Dawasco, Profesa Maghembe alisema hasara hiyo imetokana na kampuni hiyo...

 

10 years ago

Mtanzania

Serikali yapata hasara bil 4/- ununuzi bandia

saada mkuyaNa Debora Sanja, Dodoma
SERIKALI imesema imepata hasara ya zaidi ya Sh bilioni nane kutokana na risiti za ununuzi bandia.
Kauli hiyo ilitolewa Dodoma jana na Waziri wa Fedha, Saada Mkuya Salum alipozungumza katika majumuisho ya semina kwa wabunge kuhusu Mfumo wa Malipo nchini.
Mkuya alisema kutokana na mfumo wa kutumia malipo hayo mtu huwasilisha risiti za orodha ya malipo mengi ambayo kwa uhalisia hayapo.
“Ukichukua ile risiti ukienda dukani unakuta hakuna risiti kama hiyo ingawa inakuwapo...

 

9 years ago

Mwananchi

Faida na hasara za Serikali ya Magufuli kubana matumizi

Takribani mwezi mmoja baada ya Rais John  Magufuli kuingia madarakani,  mambo mengi ameyafanya yakiwamo yanayoshangaza.

 

10 years ago

Raia Mwema

Njama za CCM kuitia CUF mtegoni

WENYEWE watakataa, lakini sidhani kama ilikuwa ni jambo la busara kwa mawaziri wa Chama cha Wanan

Ahmed Rajab

 

11 years ago

Mwananchi

Zipo faida, hasara za serikali mbili au tatu kisiasa, kiuchumi

>Ni mfumo upi wa serikali unaoifaa Tanzania kwenye mazingira yake ya sasa?Pia, ni zipi faida, hasara kwa muundo wowote unaopendekezwa?

 

10 years ago

Mwananchi

Ripoti: Bidhaa feki faida kwa Serikali hasara kwa wananchi

Tangu kuanzishwa kwa soko huria nchini, nchi nyingi duniani zimejikuta zikigeuzwa kuwa ;dampo’ la kutupa kila aina ya bidhaa hafifu kutoka katika nchi za Asia, Ulaya na Marekani.

 

11 years ago

Michuzi

NEWS FLASH: UHARIBIFU UWANJA WA TAIFA - TFF YAIOMBA RADHI SERIKALI, KULIPA HASARA ILIYOPATIKANA, YASEMA WANAOFANYA FUJO NA UHARIBIFU VIWANJANI KUKIONA

Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) tunalaani vikali fujo na uhabirifu wa mali unaofanywa na washabiki viwanjani wakati mechi mbalimbali zikiwemo zile za kimataifa na ligi za hapa nchini.
Tunaiomba radhi Serikali kwa uharibifu wa viti uliotokea kwenye mechi ya Ligi ya Mabingwa Afrika kati ya Yanga ya Tanzania na Al Ahly ya Misri iliyochezwa Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.  Uharibifu huo wa viti umesababisha hasara ya sh. milioni 15 kwa wamiliki wa uwanja huo ambao ni Serikali....

 

10 years ago

Habarileo

Serikali itakomesha malaria - Pinda

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda.WAZIRI Mkuu, Mizengo Pinda amesema Serikali imedhamiria kumaliza tatizo la ugonjwa wa malaria kwa kuamua kujenga kiwanda cha kisasa cha kutengeneza dawa za kuua viluwiluwi wa mbu, wanaosababisha malaria.

 

11 years ago

Mwananchi

Pinda: Serikali mbili lazima

Wakati mjadala mkali ndani ya Bunge Maalumu la Katiba ukitarajiwa kuwa muundo wa Muungano, Waziri Mkuu, Mizengo Pinda amesisitiza Serikali mbili.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani