Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Pluijm apania mechi za ugenini

KOCHA wa Yanga Hans van der Pluijm, amesema kushinda mechi za ugenini kutawasaidia kutetea ubingwa wao wa Ligi Kuu Tanzania Bara msimu huu.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

EPL yataka mechi zake kuchezwa ugenini

Mpango wa Ligi ya Uingereza kuchezesha mechi kadhaa katika nchi za kigeni huenda ukapata upinzani mkali.

 

9 years ago

Mtanzania

Pluijm agomea mechi Yanga

JO6A1062NA JUDITH PETER, DAR ES SALAAM

KOCHA Mkuu wa Yanga, Hans van der Pluijm, raia wa Uholanzi, amegoma kucheza mechi za kirafiki kwa ajili ya kujipima nguvu hadi nyota wake watakaporejea kutoka kwenye timu zao za Taifa ambazo wamekwenda kuzichezea.

Kocha huyo, ambaye hajafungwa mechi hata moja ya kirafiki, inawezekana hataki kuivuruga rekodi hiyo kutokana na kuwakosa nyota hao, ambao wamekuwa chachu ya ushindi kwenye kikosi hicho ambacho kilitwaa ubingwa wa Ligi Kuu Tanzania msimu...

 

11 years ago

GPL

SHILOLE: YEMI ATAFIA UGENINI

IKIWA imesalia siku moja kuelekea Tamasha la Usiku wa Matumaini, Agosti 8, katika Uwanja wa Taifa, diva kunako muziki wa mduara, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ ametupa kijembe kwa staa wa Nigeria aliyekuja kukinukisha Bongo, Yemi Alade kuwa amekuja kufia ugenini. Diva kunako muziki wa mduara, Zuwena Mohamed ‘Shilole’. Akizungumza na Risasi Vibes, Shilole anayetamba na ngoma ya Namchukua, alijibu tambo za Yemi...

 

10 years ago

BBCSwahili

sheria ya magoli ya ugenini irekebishwe

Meneja wa klabu ya Arsenal, Arsene Wenger amesema sheria ya mabao ya ugenini inapaswa kutumika baada ya muda wa nyongeza

 

10 years ago

Mwananchi

Arsenal, Real Madrid zaumia ugenini

London, England. Mechi za majirani au ‘derby’, jana zilimalizika kwa Arsenal na Real Madrid kufungwa na Tottenham na Atletico Madrid.

 

11 years ago

BBCSwahili

Vita vya ndugu kupiganiwa ugenini

Timu tatu za Hispania zimefanikiwa kucheza fainali mbili tofauti za mashindano barani Ulaya mwaka 2014.

 

11 years ago

Mwananchi

Wasaka ajira ugenini kuweni makini-IOM

Shirika la Kimataifa la Wahamiaji (IOM), limewaonya watu wanaopenda kwenda kufanya kazi katika nchi nyingine, dhidi ya ongezeko la mashirika yanayosafirisha binadamu kwa kivuli cha kutoa misaada ya kibinadamu.

 

10 years ago

Vijimambo

AZAM FC YAMTIMUA KOCHA BAADA YA KIPIGO CHA UGENINI

Na Bertha Lumala, Dar es Salam Kipigo cha mabao 3-0 ugenini dhidi ya El-Merrikh ya Sudan, kimemponza kocha Joseph Omog baada ya uongozi wa Azam FC kuamua kumtimua.
Kwa mujibu wa taarifa iliyowekwa kwenye mtandao wa facebook wa Azam FC muda mfupi uliopita, Uongozi wa Azam FC umetangaza kumtimua raia huyo wa Cameroon.
Taarifa hiyo inasomeka: “Uongozi wa Azam FC unatangaza kuachana na kocha wake mkuu Joseph Omog baada ya kuwa naye kwa miezi 14.
Omog aliyeipa Azam FC ubingwa wa kwanza msimu...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani