Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Pluijm, Loga presha juu

Kocha mkuu wa Simba SC, Zdravko Logarusic. Na Sweetbert Lukonge
LIGI Kuu Bara inaanza rasmi kesho Jumamosi lakini inaonekana siku hizo mbili zitakuwa ngumu na zenye presha ya juu kwa makocha wa Yanga na Simba ambao ni wageni. Yanga inayotokea Uturuki leo, itashuka dimbani Uwanja wa Taifa kesho kuivaa Ashanti United, kabla ya Simba kucheza dhidi ya Rhino ya Tabora, Jumapili kwenye uwanja huo.… ...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mtanzania

11 Yanga wamshusha presha Pluijm

Hans-Van-De-PluijmNA JUDITH PETER, DAR ES SALAAM

KOCHA Mkuu wa Yanga, Hans van der Pluijm, amechekelea hatua ya kurejea kikosini kwa nyota wake waliokuwa kwenye timu za Taifa zilizoshiriki michuano ya Kombe la Chalenji nchini Ethiopia, ambapo amedai sasa ndoto ya kutetea taji la ubingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara inaweza kutekelezeka.

Kurejea kwa nyota hao kumesaidia kumshusha presha Pluijm, ambaye awali alidai kuwa michuano hiyo imemtibulia mipango yake kutokana na mikakati aliyojiwekea ya kuhakikisha anawapa...

 

11 years ago

GPL

Loga, Pluijm wasimamishwa kufundisha ligi kuu

Kocha mkuu wa Simba SC, Zdravko Logarusic. Na Sweetbert Lukonge
CHAMA cha Makocha Tanzania (Tafca), kimesema makocha wa kigeni wakiwemo wale wa Simba na Yanga, hawatakaa kwenye mabenchi ya timu zao wakati wa Ligi Kuu Tanzania Bara.…

 

10 years ago

Mwananchi

Presha juu CCM

 Wakati vikao vya juu vya CCM vya kuchuja wagombea urais vikianza leo, hofu na wasiwasi umezidi kutanda miongoni mwa wagombea, viongozi na wanachama wa chama hicho kuhusu namna ya kuikabili minyukano baina ya wagombea hao na kibarua cha Uchaguzi Mkuu wa Oktoba.

 

10 years ago

GPL

WASHIRIKI PRESHA JUU IJUMAA SEXIEST BCHELOR

PRESHA inazidi kupanda kwa washiriki waliobaki katika tatu bora huku kila mmoja akitaka kuonekana kuwa anafaa kuwa Ijumaa Sexiest Bchelor. Staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul 'Diamond Platnumz' (ISB 01) . Washiriki watatu (pichani) ndiyo walioingia fainali ambapo kilele kitakuwa ni Desemba 25, ndani ya Uwanja wa Taifa wa Burudani, Dar Live uliopo Mbagala-Zakhem, jijini Dar mshindi atapatikana.… ...

 

11 years ago

Mwananchi

Arsenal, Man Utd, City, Chelsea presha juu

England Wakati ratiba ya hatua ya mtoano wa Ligi ya Mabingwa inapangwa leo klabu nne za England, Chelsea, Manchester City, Arsenal na Manchester United zimekuwa kwenye presha kubwa kujua wapinzani wao.

 

10 years ago

Mwananchi

Ndanda yamtupia virago Kitambi, makocha presha juu

Baada ya kupokea vipigo vitatu mfululizo uongozi wa Ndanda FC ya Mtwara imemtupia virago kocha wake, Denis Kitambi pamoja na kocha wa makipa, Mwarlami Mohamed.

 

9 years ago

Habarileo

Pluijm: Yanga itamaliza duru la kwanza ikiwa juu

KOCHA wa Yanga, Hans Pluijm amesema ana uhakika kikosi chake kitamaliza duru la kwanza la Ligi Kuu Tanzania Bara kikiongoza ligi hiyo. Akizungumza na gazeti hili, Pluijm raia wa Uholanzi, alisema anajua changamoto zinazowakabili katika kutetea taji lao msimu huu, lakini wamejipanga kuhakikisha wanapambana nazo na kupata wanachokitaka.

 

9 years ago

Mzalendo Zanzibar

Magufuri presha juu — hasira nje nje

Leo baada ya kupata na kuonja joto ya jiwe alipojaribu kutaka kuhutubia wakati akiwa njiani ,kwa kweli si jambo alilolitegemea kabisa na uhakika hakuamini wala kufikiri kama yaliyotokea mbele ya macho na masikio yake yangeweza kutokea […]

The post Magufuri presha juu – hasira nje nje appeared first on Mzalendo.net.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani