POINTI TATU ZA UBINGWA TAIFA LEO
![](http://api.ning.com:80/files/UbQGb2BFO*XQe8jxSpUwPRQisyb9vBlpA2C6la3dPuAqYv4zi9Sgipta7cb9-CYJ96Uaqh8EuWYbkDxyBA6ADjA2bvH5coQ4/1dar.jpg?width=650)
Kikosi cha timu ya Yanga SC. Na Khadija Mngwai TIMU za Yanga na Azam FC, zimetangaziana vita katika mchezo wa leo zitakapokutana kwenye Dimba la Taifa jijini Dar. Yanga na Azam zinashuka dimbani leo ukiwa ni mchezo wa mzunguko wa pili wa ligi kuu ambapo kila timu inahitaji kutwaa ubingwa mwisho wa msimu ambapo Azam inaongoza ligi kwa kuwa na pointi 43 huku Yanga ikiwa na pointi 39, ikiwa na mchezo mmoja mkononi.… ...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/YBFp7QfmCZeh4bbdoO-fwnAMUUuStRpXC-UqvTe2jJeGtXlV1hH6ifuFutRhAo2FcPjQcQI*HsKGjKKrCg9ye67wLWWO8hX6/YANGA.jpg?width=650)
Pointi tatu za heshima Bara leo
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-qVRVKl9kono/VTplCtps6dI/AAAAAAABXqk/6TMrrYexCD4/s72-c/3.jpg)
Yanga noma yabakisha pointi 3 kutwaa ubingwa
![](http://4.bp.blogspot.com/-qVRVKl9kono/VTplCtps6dI/AAAAAAABXqk/6TMrrYexCD4/s1600/3.jpg)
Mshambuliaji wa Yanga, Simon Msuva, akimpiga kanzu mchezaji wa Ruvu Shooting, Abdulahman Musa, katika mchezo wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Yanga imeshinda 5-0.
Timu zikiingia uwanjani.
Mshambuliaji wa Yanga, Amis Tambwe akiwatoka wachezaji wa Ruvu Shooting. Picha zaidi BOFYA HAPA
10 years ago
Raia Tanzania23 Jul
Yanga yapata pointi tatu muhimu
BAADA ya mchezo wa ufunguzi kupata kichapo cha mabao 2-1, kutoka kwa Gor Mahia ya Kenya, Yanga jana imepata ushindi wake wa kwanza wa michuano ya Kagame baada ya kuifunga mabao 3-0, Telecom ya Djibout katika muendelezo wa michuano hiyo jijini Dar es Salaam.
Mabao ya Yanga yaliwekwa kimiani na mshambuliaji Malimi Busungu aliyefunga mabao mawili dakika ya 26 na 61, na Geofrey Mwashiuya dakika ya 72, ambaye aliingia kipindi cha pili kuchukua nafasi ya Simon Msuva.
Katika mchezo huo...
11 years ago
Tanzania Daima26 Jun
Nkwabi: Pointi tatu muhimu Simba
MGOMBEA nafasi ya Makamu wa Rais wa klabu ya Simba, Swedi Nkwabi, amezindua rasmi kampeni zake huku kubwa ikiwa ni pointi tatu ndiyo sababu ya kuwania nafasi hiyo. Swedi, mgombea...
10 years ago
Mwananchi07 Feb
Pointi tatu kuitoa roho Simba SC
10 years ago
Mwananchi06 Oct
‘Mfumo uliwanyima Simba kupata pointi tatu’
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-EJZqa8q3ZXs/VR0htNSsd4I/AAAAAAAHO58/pRt-ucqvRRM/s72-c/unnamed%2B(25).jpg)
COASTAL YAIPIGIA HESABU PRISON, YAWEKA MIPANGO YA KUHAKIKISHA POINTI TATU ZINABAKI MKWAKWANI
Timu ya Coastal Union imeanza kuzipigia hesabu pointi tatu muhimu za wapinzani wao Tanzania Prison ili kuweza kuhakikisha wanazichukua wakati watakapokutana kwenye mechi ya Ligi kuu Tanzania bara.
Mchezo huo unatarajiwa kuchezwa wikiendi hii kwenye uwanja wa CCM Mkwakwani ikiwa ni mzunguko wa pili wa ligi hiyo ikielekea lala salama.
Akizungumza leo mara baada ya kumalizika kwa mazoezi ya timu hiyo yanayo endelea kwenye viwanja vya shule ya sekondari Popatlaly mjini...
10 years ago
Vijimambo06 Dec
MASHINDANO YA WAZI YA UBINGWA WA TAIFA YANAVYO ENDELEA KATIKA UWANJA WA NDANI WA TAIFA
10 years ago
Tanzania Daima04 Oct
Pato la taifa laongezeka kwa pointi
OFISI ya Taifa ya Takwimu (NBS), imesema ukuaji wa pato la taifa kwa bei ya soko umeongezeka kwa kasi ya asilimia chanya 6.9 kwa kipindi cha robo ya pili ya...