Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Pointi tatu za heshima Bara leo

Wachezaji wa timu ya Yanga SC. Sweetbert Lukonge na Richard Bukos,Tanga
MABINGWA wa Ligi Kuu Bara, Yanga, watashuka dimbani ugenini kuivaa Coastal Union katika mchezo mkali utakaopigwa kwenye Uwanja wa Mkwakwani, Tanga, leo Jumatano. Mchezo huo ndiyo utakaovuta hisia kwa mashabiki wengi kati ya mechi nyingi zitakazopigwa leo, hasa ikikumbukwa kuwa katika mchezo wa mzunguko wa kwanza, timu hizo zilitoka sare ya 1-1 kwenye...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

POINTI TATU ZA UBINGWA TAIFA LEO

Kikosi cha timu ya Yanga SC. Na Khadija Mngwai
TIMU za Yanga na Azam FC, zimetangaziana vita katika mchezo wa leo zitakapokutana kwenye Dimba la Taifa jijini Dar. Yanga na Azam zinashuka dimbani leo ukiwa ni mchezo wa mzunguko wa pili wa ligi kuu ambapo kila timu inahitaji kutwaa ubingwa mwisho wa msimu ambapo Azam inaongoza ligi kwa kuwa na pointi 43 huku Yanga ikiwa na pointi 39, ikiwa na mchezo mmoja mkononi.… ...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Nkwabi: Pointi tatu muhimu Simba

MGOMBEA nafasi ya Makamu wa Rais wa klabu ya Simba, Swedi Nkwabi, amezindua rasmi kampeni zake huku kubwa ikiwa ni pointi tatu ndiyo sababu ya kuwania nafasi hiyo. Swedi, mgombea...

 

10 years ago

Raia Tanzania

Yanga yapata pointi tatu muhimu

BAADA ya mchezo wa ufunguzi kupata kichapo cha mabao 2-1, kutoka kwa Gor Mahia ya Kenya, Yanga jana imepata ushindi wake wa kwanza wa michuano ya Kagame baada ya kuifunga mabao 3-0, Telecom ya Djibout katika muendelezo wa michuano hiyo jijini Dar es Salaam.

Mabao ya Yanga yaliwekwa kimiani na mshambuliaji Malimi Busungu aliyefunga mabao mawili dakika ya 26 na 61, na Geofrey Mwashiuya dakika ya 72, ambaye aliingia kipindi cha pili kuchukua nafasi ya Simon Msuva.

Katika mchezo huo...

 

10 years ago

Mwananchi

Pointi tatu kuitoa roho Simba SC

Ni vita kwa Simba iliyo katika nafasi ya nane kwenye msimamo wa ligi ikiwa na pointi 16 inaposaka ushindi na pointi tatu leo dhidi ya Coastal Union ya Tanga ili ipande kwa mara ya kwanza na kuingia tatu bora.

 

10 years ago

Mwananchi

‘Mfumo uliwanyima Simba kupata pointi tatu’

Mwanza Kocha msaidizi wa Stand United, Athumani Bilali ametoboa siri kuwa mfumo wa 4-3-2-1 walioutumia ndio uliofanya Simba washindwe kuondoka na pointi tatu kwenye mechi yao ya Ligi Kuu kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam jana.

 

10 years ago

Michuzi

COASTAL YAIPIGIA HESABU PRISON, YAWEKA MIPANGO YA KUHAKIKISHA POINTI TATU ZINABAKI MKWAKWANI

NA MWANDISHI WETU, TANGA.
Timu ya Coastal Union imeanza kuzipigia hesabu pointi tatu muhimu za wapinzani wao Tanzania Prison ili kuweza kuhakikisha wanazichukua wakati watakapokutana kwenye mechi ya Ligi kuu Tanzania bara.
Mchezo huo unatarajiwa kuchezwa wikiendi hii kwenye uwanja wa CCM Mkwakwani ikiwa ni mzunguko wa pili wa ligi hiyo ikielekea lala salama.
Akizungumza leo mara baada ya kumalizika kwa mazoezi ya timu hiyo yanayo endelea kwenye viwanja vya shule ya sekondari Popatlaly mjini...

 

11 years ago

GPL

Simba kusaka heshima Kaitaba leo

Kikosi cha Simba SC kikijiandaa siku ya jana kwenye Uwanja wa Kaitaba mjini Bukoba kucheza leo dhidi ya Kagera Sugar. Na Ibrahim Mussa
HATUA ya lala-salama ya mzunguko wa pili wa  Ligi Kuu Bara inaendelea leo kwa mechi mbili ambapo Kagera Sugar itaikaribisha Simba kwenye Uwanja wa Kaitaba mjini Bukoba. Mechi nyingine itakuwa kati ya Mbeya City ambayo itakuwa mgeni wa Ashanti United kwenye Uwanja wa Azam Complex uliopo...

 

10 years ago

Mwananchi

Stars vitani kusaka heshima kwa Swaziland leo

Taifa Stars inashuka uwanjani leo kuikabili Swaziland katika mchezo wa kimataifa wa kirafiki utakaofanyika kwenye Uwanja wa Samhololo, Mbabane nchini humo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani