Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Simba kusaka heshima Kaitaba leo

Kikosi cha Simba SC kikijiandaa siku ya jana kwenye Uwanja wa Kaitaba mjini Bukoba kucheza leo dhidi ya Kagera Sugar. Na Ibrahim Mussa
HATUA ya lala-salama ya mzunguko wa pili wa  Ligi Kuu Bara inaendelea leo kwa mechi mbili ambapo Kagera Sugar itaikaribisha Simba kwenye Uwanja wa Kaitaba mjini Bukoba. Mechi nyingine itakuwa kati ya Mbeya City ambayo itakuwa mgeni wa Ashanti United kwenye Uwanja wa Azam Complex uliopo...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Stars vitani kusaka heshima kwa Swaziland leo

Taifa Stars inashuka uwanjani leo kuikabili Swaziland katika mchezo wa kimataifa wa kirafiki utakaofanyika kwenye Uwanja wa Samhololo, Mbabane nchini humo.

 

10 years ago

Mwananchi

Yanga, Azam kusaka heshima

Baada ya kunyukwa wiki iliyopita Yanga na Azam leo watajiuliza upya mbele ya timu za Tanga, Mgambo Shooting na Coastal Union wakiwa katika viwango vya juu zaidi msimu huu.

 

10 years ago

GPL

YANGA SC YAPIGWA NA KAGERA SUGAR KAITABA LEO

BAO pekee la kiungo Paul Ngway, dakika ya 52 jioni ya leo limeipa Kagera Sugar ushindi wa 1-0 dhidi ya Yanga SC, Uwanja wa Kaitaba, Bukoba katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara.
Yanga SC ilimaliza mchezo huo pungufu, baada ya Nahodha wake, Nadir Haroub ‘Cannavaro’ kutolewa kwa kadi nyekundu dakika ya 80 na refa Abdallah Kambuzi wa Shinyanga, baada ya kumpiga kichwa Rashid Mandawa wa Kagera. Baada ya...

 

10 years ago

Michuzi

mashindano ya biblia yafanyika uwanja wa kaitaba leo mjini Bukoba

Mkuu wa Jeshi la Polisi mkoa wa Kagera (RPC) Henry Mwaibambe nae alipata picha ya pamoja na wasanii hao.Msanii wa muziki wa Injili, Bonny Mwaitege(kulia) akisalimiana Mtangazaji wa Radio Kasibante Mwl. Joyce Ruboz punde leo hii wakati wa kipindi cha Gospal flava cha Kasibante fm 88.5, Rose Muhando, Bonny Mwaitege na Gaston Sapula wanatarajia kupamba fainali za Mashindano ya Biblia leo hii kwenye Uwanja wa Kaitaba Bukoba mjini kuanzia saa 8 Mchana. Shindano hili lililokuwa likiendelea...

 

9 years ago

Michuzi

UWANJA WA KAITABA BUKOBA WAANZA KUWEKWA NYASI RASMI LEO.

Na Faustine Ruta, Bukoba.
Uwanja wa Kaitaba Bukoba Umeanza kuwekwa nyasi bandia rasmi leo hii jumatatu 2 Novemba, 2015 na kutokana na maelezo ya wawekaji wamesema utachukuwa muda wa siku 14 tu. 


Wakaazi wa Mji wa Bukoba na Vitongoji vyake sasa kuanza kushuhudia kipute live bila Chenga katika Uwanja huo wa Kaitaba. Timu ya Kagera Sugar nayo inatarajiwa kurudi katika Uwanja huo ambao uutumia kama Uwanja huo ambapo mpaka sasa tangu msimu uliopita wamekuwa wakitumia Viwanja vingine kwa michezo...

 

11 years ago

GPL

YANGA, SIMBA HESHIMA

Mrisho Ngasa. Na Khadija Mngwai
LIGI Kuu Tanzania Bara inatarajiwa kufikia tamati kesho Jumamosi kwa timu zote 14 kushuka uwanjani, gumzo la mechi ya Yanga dhidi ya Simba limeendelea kuwa kubwa licha ya kuwa matokeo ya mechi hiyo hayawezi kubadili chochote katika msimamo.…

 

11 years ago

Tanzania Daima

Simba, Yanga heshima

WATANI wa jadi wa soka la Tanzania, Simba na Yanga, jana  walitunziana heshima baada ya kufunga msimu wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara kwa sare ya bao 1-1 katika...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani