YANGA, SIMBA HESHIMA

Mrisho Ngasa. Na Khadija Mngwai LIGI Kuu Tanzania Bara inatarajiwa kufikia tamati kesho Jumamosi kwa timu zote 14 kushuka uwanjani, gumzo la mechi ya Yanga dhidi ya Simba limeendelea kuwa kubwa licha ya kuwa matokeo ya mechi hiyo hayawezi kubadili chochote katika msimamo.…
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima20 Apr
Simba, Yanga heshima
WATANI wa jadi wa soka la Tanzania, Simba na Yanga, jana walitunziana heshima baada ya kufunga msimu wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara kwa sare ya bao 1-1 katika...
10 years ago
Bongo Movies13 Dec
Hiki ndicho Walichohaidiana JB na Ray Kigosi leo kabla ya mechi ya Simba na Yanga. JB ni SIMBA, Ray ni YANGA.
Huku tukisubiria kwa hamu sana ile mechi ya NANI MTANI JEMBE kati ya YANGA na SIMBA, Jacob Steven – JB mshabiki namba moya wa SIMBA SPORTS CLUB na VICENT KIGOSI – Ray, shabiki namba moja wa YANGA wamekubaliana haya yafuatayo.
Endapo timu moja SIMBA itafungwa, basi JB atavaa jezi ya YANGA na kumpa RAY pesa za kitanzania TSHS. MILLIONI MOJA (1) CASH na ikiwa YANGA itafungwa, basi RAY atavaa jezi ya SIMBA na kumpa JB pesa hiyo hiyo MILLIONI MOJA (1) CASH.
Unahisi nani ataibuka kidedea...
10 years ago
Vijimambo09 Mar
11 years ago
Mtanzania14 Aug
Phiri kurudisha heshima Simba

Kocha mpya wa Simba, Patrick Phiri
NA JENNIFER ULLEMBO
KOCHA mpya wa klabu ya Simba, Patrick Phiri, ametua nchini jana na kusema amekuja na malengo ya kurudisha heshima katika timu hiyo ambayo imepotea katika kipindi ambacho imekuwa haifanyi vizuri.
Phiri ni kocha mwenye historia nzuri na klabu hiyo msimu wa ligi kuu wa 2009/2010, ambapo aliweza kuisababisha timu yake hiyo kutwaa ubingwa wa ligi hiyo bila kufungwa mchezo hata mmoja.
Licha ya kuweka rekodi hiyo, lakini pia amewahi kunyakua...
11 years ago
Dewji Blog21 Sep
Simba, Coastal Union zatunziana heshima
Karate, au soka? Kiungo wa Simba SC, Ramadhani SIngano ‘Messi’ katikati ya wachezaji wa Coastal, Sabri Rashid kulia na Ayoub Yahya katika mchezo wa leo.(Picha kwa hisani ya Bin Zubeiry Blog).
Na MOblog Team
WEKUNDU wa Msimbazi, Simba, walianza kwa kishindo kampeni ya Ligi Kuu Tanzania bara, baada ya kuwatandika Coastal Union ya Tanga mabao 2-0 katika mechi ya kuvutia iliyochezwa Uwanja wa Taifa, jinini Dar es Salaam.
Mechi hiyo ya kukamilisha raundi ya kwanza ya ligi hiyo iliyoanza juzi...
11 years ago
GPL
Simba kusaka heshima Kaitaba leo
10 years ago
Mwananchi08 Nov
Yanga, Azam kusaka heshima
5 years ago
Michuzi
MJUMBE WA YANGA APATA SHAHADA YA UZAMIVU (PHD) YA HESHIMA
Mjumbe wa Kudumu wa Klabu ya Yanga Thobias Lingalangala ametunukiwa shahada ya uzamivu (PHD) na shirika la lead Impact la nchini Marekani.
Lingalangala amepatiwa shahada hiyo baada ya kujitoa na kuwasaidia jamii katika masuala mbalimbali ikiwemo kujenga mradi mkubwa wa maji unaohudumia wakazi wa Njombe.
Akizungumza baada ya kutunukiwa Shahada hiyo, Lingalangala amesema kuwa hakujua kama anaweza akapata shahada kutokana na kazi mbalimbali za kijamii...
10 years ago
Vijimambo
AUNGURUMAPO SIMBA MCHEZA NANI DAKIKA 90 SIMBA 1 YANGA 0


