POLE WAZIRI NYARANDU; FURAHA HAIPATIKANI JEHANAMU!
![](http://api.ning.com:80/files/6LjPLZ8wv3deOIMQaAQQLrJ4MVCH-DbW-hN1p5PnoDGQ1KJytpXP6-eYs2ssXZRCEYL0BVl3SWXvL1SEjz2HVrkuX0-E1sr5/waziri_nyalandu.jpg?width=650)
Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu. MACHUNGU wanayokutana nayo mawaziri wanaopewa kuiongoza Wizara ya Maliasili na Utalii, siyatofautishi na yale yatajwayo kupatikana jehanamu mahali kunakotajwa kuwa ni kwenye mateso ya watenda dhambi. Alipoteuliwa Waziri Lazaro Nyalandu kuongoza wizara hiyo niliyoibatiza jina baya, nilistaajabu kumuona akiwa mwenye furaha kana kwamba aendako kulikuwa ni mahali pema. Jehanamu ni...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
VijimamboWAZIRI WA MALIASILI NA UTALII, LAZARO NYARANDU AAGIZA ASKARI WA MAREKANI KUONDOKA KATIKA HIFADHI
NA LOVENESS BERNARD, Mwanza
Waziri wa Maliasili na Utali, Lazaro Nyalandu amekipiga marufuku kikundi cha wanajeshi wastaafu wa Marekani (Vetpaw) ambacho kinadai kupambana na majangili nchini.
Akizungumza na waandishi wa habari Waziri Nyalandu alisema kuwa kikundi hicho kimekuwa kikitumia...
11 years ago
Michuzi02 Jun
UHURU KWA VYOMBO VYA HABARI UNA I "SHAPE" JAMII ASEMA WAZIRI WA MALIASILI NA UTALII-NYARANDU
Globu ya Jamii aliyekuwa jijini Mwanza.
5 years ago
CCM Blog![](https://1.bp.blogspot.com/-Ajj6eT79NCQ/XuohY_UV61I/AAAAAAAAzts/uX6DLb7rK8YsHaMC4NrcAcYkIjHoduYdgCLcBGAsYHQ/s72-c/Eat3fi5XgAEKxxG.jpg)
WAZIRI MKUU MAJALIWAATOA POLE KWA WANANCHI WA BURUNDI
![](https://1.bp.blogspot.com/-Ajj6eT79NCQ/XuohY_UV61I/AAAAAAAAzts/uX6DLb7rK8YsHaMC4NrcAcYkIjHoduYdgCLcBGAsYHQ/s400/Eat3fi5XgAEKxxG.jpg)
“Kwa niaba ya Mheshimiwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli nimekuja hapa kutoa pole na salamu za rambirambi kwa Serikali na wananchi wa Burundi kufuatia kifo cha aliyekuwa rais wa nchi ya Burundi. Mheshimiwa Rais na Watanzania wote tumepokea kwa mshituko na masikitiko makubwa...
10 years ago
Bongo518 Sep
New Music: Steve RnB — Pole Pole (Tropical Riddim)
10 years ago
Mwananchi20 Dec
Shimo la tambiko lilivyogeuka ‘jehanamu’ Handeni
9 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/J-5ljUokNog/default.jpg)
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-yUbqO8n5VQ0/XqAY8ncwsoI/AAAAAAAAHFo/CMvH89StCgwADMXJg5XK469u2-1kbLjdwCLcBGAsYHQ/s72-c/1.jpg)
NAIBU WAZIRI ABDALLAH ULEGA ATOA POLE KWA FAMILIA 21 AMBAZO NDUGU ZAO WAMEFARIKI DUNIA KATIKA AJALI YA BASI MKURANGA
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-i1LC03eUFiY/XqvaFpPXxsI/AAAAAAALovo/Topw_h8PA_IjZ5WscynYMFRmGPrIqv3lwCLcBGAsYHQ/s72-c/index.jpg)
TUME YA HAKI ZA BINADAMU NA UTAWALA BORA YATUMA SALAMU ZA POLE KWA RAIS DKT JOHN POMBE MAGUFULI KUFUATIA KIFO CHA WAZIRI MAHIGA
![](https://1.bp.blogspot.com/-i1LC03eUFiY/XqvaFpPXxsI/AAAAAAALovo/Topw_h8PA_IjZ5WscynYMFRmGPrIqv3lwCLcBGAsYHQ/s1600/index.jpg)
Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB) imepokea kwa mshituko mkubwa taarifa za kifo cha aliyekuwa Waziri wa Katiba na Sheria, Mhe. Balozi Dkt. Augustine Philip Mahiga (Mb) kilichotokea leo alfajiri Mei 01, 2020 Jijini Dodoma.
Tume inatoa pole kwa Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli kwa kuondokewa na kiongozi mchapakazi, mwadilifu, mzalendo na mwanadiplomasia mahiri aliyeiwakilisha na kuipigania Tanzania katika nyanja za Kimataifa...