Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Polisi- Waliompiga Mtikila hawajafahamika

POLISI Mkoa wa Temeke imesema watu wanaodaiwa kumpiga Mchungaji Christopher Mtikila katika tukio la mgogoro wa eneo la Tom Estate lilipo Kurasini, hawajafahamika. Imeelezwa upelelezi unaendelea kubaini waliofanya kitendo hicho.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Polisi yachunguza wanne waliompiga mgombea urais

Jeshi la Polisi limesema lipo katika hatua za mwisho za kukamilisha upelelezi wa tukio la askari wa CCM kumshambulia mtangazania ya urais kupitia chama hicho, Dk Muzzammil Kalokola.

 

9 years ago

Vijimambo

Polisi yaeleza sababu kifo cha Mtikila

  Mchungaji Christopher MtikilaKibaha/Dar. Polisi mkoani Pwani, imeweka bayana sababu za kitaalamu za kifo cha aliyekuwa Mwenyekiti wa DP, Mchungaji Christopher Mtikila ikisema alivunjika mbavu nane upande wa kushoto, damu kuingia kwenye mfumo wa hewa na kushindwa kupumua.

Mchungaji Mtikila alifariki dunia juzi alfajiri baada ya gari alilokuwa akisafiria kutoka Njombe kwenda Dar es Salaam, likiwa katika mwendo mkali, kuacha njia na kupinduka. Alirushwa nje kupitia kioo cha mbele kutokana na kutofunga mkanda.

Katika ajali...

 

9 years ago

GPL

TAARIFA YA POLISI KUHUSU KIFO CHA MCHUNGAJI MTIKILA

Marehemu Christopher Mtikila enzi za uhai wake. Mnamo tarehe 04/10/2015 majira ya saa 05:45hrs huko Msolwa Kata ya Bwilingu barabara kuu ya Dar es Salaam – Morogoro, Wilaya ya Ki-Polisi Chalinze, Mkoa wa Pwani. Gari No. T.189 AGM aina ya Toyota Corolla likiendeshwa na George Steven Ponera miaka 31, mkazi wa Mbezi Mwisho Dar es Salaam liliacha barabara kisha kupinduka na kusababisha kifo cha Christopher Mtikila miaka 62,...

 

9 years ago

Raia Mwema

Kingunge kakurupuka, Polisi nao wamekurupuka kifo cha Mtikila

HATIMAYE tumebakiwa na takriban wiki mbili tu kabla ya Uchaguzi Mkuu uliopangwa kufanyika hapo Ok

Evarist Chahali

 

11 years ago

Uhuru Newspaper

Mtikila ajipeleka mahakamani


Na Fadhili Abdallah, KigomaMWENYEKITI wa Chama cha DP, Mchungaji Christopher Mtikila, ameomba kuunganishwa katika kesi ya madai inayomkabili Mbunge wa Kigoma Kusini (NCCR-Mageuzi), David Kafulila.Kampuni ya kufua umeme ya Independent Power Tanzania (IPTL), imefungua kesi ya madai dhidi ya Kafulila katika Mahakama Kuu, Kanda ya Dar es Salaam, ikiomba aamriwe kuilipa fidia ya sh. bilioni 310 kutokana na kutangaza taarifa za kashfa dhidi yao.Katika kesi yao ya msingi, wadai hao wanaiomba...

 

9 years ago

Raia Mwema

Buriani Mchungaji Mtikila

HARAKATI za haki za binadamu nchini zimekumbwa na pigo kubwa baada ya mmoja wa wapambanaji wa hak

Mwandishi Wetu

 

9 years ago

TheCitizen

Mtikila laid to rest

Democratic Party (DP) chairman Christopher Mtikila was laid to rest yesterday at his home village in Ludewa District.

 

11 years ago

Daily News

Mtikila alleges intimidation


Mtikila alleges intimidation
Daily News
A CONSTITUENT Assembly (CA) member, Reverend Christopher Mtikila, has called for respect for all assembly members during sessions, because they represent views from different groups. Speaking on Thursday, Rev Mtikila who is also the chairman of ...

 

9 years ago

Mwananchi

Mtikila azikwa Ludewa

Mwili wa aliyekuwa Mwenyekiti wa DP, Mchungaji Christopher Mtikila umezikwa jana katika Kijiji na Kata ya Milo, Wilaya ya Ludewa mkoani Njombe.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani