Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Polisi 130 wasitishiwa mafunzo

Jeshi la Polisi limesitisha mafunzo kwa askari 132 waliokuwa katika Chuo cha Polisi Zanzibar kwa kile kinachodaiwa ni sababu za kiafya.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

CCM Blog

POLISI TANZANIA WAKAMATA MAGARI YA WIZI 130 NA PIKIPIKI 193

    Jeshi la Polisi nchini Tanzania limekamata magari 130, pikipiki 193, vipuri mbalimbali vya magari na pikipiki 753 katika operesheni iliyoendeshwa nchi nzima.
Akizungumza leo Jumamosi Machi 28, 2020 Mkurugenzi wa Makosa ya Jinai Tanzania (DCI) Robert Boaz amesema wanawahoji watuhumiwa 128 na pindi upelelezi utakapokamilika sheria itachukua mkondo wake.

“Wanunuzi wa magari yaliyotumika ni muhimu kabla ya kununua wajiridhishe muuzaji ni mmiliki halali kwa kutumia polisi kukagua gari hilo na...

 

10 years ago

Michuzi

NAIBU INSPEKTA JENERALI WA POLISI AFUNGA MAFUNZO YA WAKAGUZIWASAIDIZI WA JESHI LA POLISI CCP-MOSHI

Naibu Inspekta Jenerali wa Polisi,DIGP, Abdulrahmani Kaniki akikagua gwaride la wakaguzi wasaidizi wa polisi wakati wa sherehe ya kufunga mafunzo ya maofisa hao katika chuo cha polisi Moshi. Naibu Inspekta Jenerali wa Polisi,DIGP, Abdulrahmani Kaniki akimvisha cheo wp 2704 ssgt Batuli kuwa mkaguzi msaidizi wa jeshila polisi wakati wa sherehe ya kufunga mafunzo ya maofisa hao katika chuo cha polisi Moshi. Wahitimu wa kozi ya mkwaguzi msaidizi wa jeshi la polisi wakipita kutoa heshima kwa...

 

9 years ago

StarTV

Wanafunzi Shule ya Msingi Raranya Rorya wasitishiwa masomo kwa ukosefu wa choo.

Wanafunzi zaidi ya mia tano wa shule ya msingi Raranya wilayani Rorya mkoani Mara wamelazimika kusimama masomo kwa zaidi ya miezi mitano kutokana na shule hiyo kufungwa kwa kutokuwa na choo.

Uongozi wa shule umetoa maelezo hayo kwa mbunge wa jimbo la Rorya Lameck Airo kufanya ziara ya kushutukiza na kukuta shule hiyo haina wanafunzi zaidi ya wa darasa la nne wanaoendelea na masomo.

Akiongea na star tv katika shule ya msingi Raranya ,mwl Magdalena John amekiri kufungwa kwa shule hiyo, huku...

 

10 years ago

Uhuru Newspaper

3,000 wahitimu mafunzo ya polisi


Na Rodrick Makundi, Moshi
WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Haji Omar Kheir, atakuwa  mgeni rasmi katika sherehe za kufunga mafunzo ya awali ya askari polisi.
Mafunzo hayo yanayoendelea katika Chuo cha Taaluma ya Polisi Moshi (MPA) mjini hapa, yatafikia tamati keshokutwa ambapo wageni mbalimbali akiwemo Mkuu wa Jeshi la Polisi, Inspekta Jenerali Ernest Mangu, watahudhuria.
Akizungumza na waandishi jana, Mkuu wa Chuo cha Taaluma ya Polisi Moshi, Matanga Mbushi,...

 

11 years ago

Tanzania Daima

DEP yatoa mafunzo kwa Polisi

SHIRIKA la Umoja wa Mataifa la Programu ya Maendeleo (UNDP) kupitia Mradi wa Uwezeshaji Demokrasia (DEP) wenye thamani ya dola milioni 22 za Marekani, umezindua programu ya mafunzo ya kina...

 

10 years ago

Vijimambo

POLISI ZANZIBAR WAPEWA MAFUNZO YA HAKI ZA BINADAMU

Mratibu wa Mafunzo ya Haki za Binadamu kutoka Kituo cha Huduma za Sheria Zanzibar Bi.Jina Mwinyi Waziri akiwakaribisha Maofisa Polisi katika Mafunzo ya Haki za Binadamu kwa Jeshi la Polisi .Mkurugenzi Mtendaji Kituo cha Huduma za Sheria Zanzibar ZLSC Bi.Harusi Miraji Mpatani akimkaribisha Mgeni Rasmi Kamishna wa Polisi Zanzibar Hamdan Omar Makame katika Mafunzo ya kuwajengea uwezo Polisi juu ya umuhimu wa kutunza Haki za Binadamu.Mgeni Rasmi Kamishna wa Polisi Zanzibar Hamdan Omar Makame...

 

10 years ago

GPL

JESHI LA POLISI NA VODACOM TANZANIA WAENDELEZA MAFUNZO SHULE ZA MSINGI JIJINI

Ofisa polisi wa Usalama Barabarani (CPL) Rashid Msuya akiwafundisha wanafunzi wa Shule ya Msingi Mapambano Sinza jijini Dar es Salaam jinsi ya kuvuka barabara kwa kutumia alama za barabarani, ikiwa ni mwendelezo wa  kuadhimisha siku ya Afya na Usalama kazini Duniani. Hafla hiyo iliandaliwa na Vodacom Tanzania na kufanyika katika shule hapo. Wanafunzi wa Shule ya Msingi Msasani A na B ya jijini Dar es Salaam,wakimsikiliza...

 

10 years ago

Vijimambo

KITUO CHA SHERIA PEMBA CHATOA MAFUNZO KWA JESHI LA POLISI

Mratibu wa Kituo cha Huduma za Sheria Zanzibar ZLSC Tawi la Pemba Bi.Fatma Hemed Khamis akizungumzia kazi na majukumu ya Kituo hicho, kwenye mafunzo kuwatambaulisha wasaidizi wa Sharia kwa Watendaji wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Kaskazini Pemba, kulia ni Afisa Mipango wa Kituo Bi.Safia Saleh Sultan na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kaskazini Pemba Mohamed Sheikhan Mahamed, mafunzo yaliofanyika kituoni hapo.Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kaskazini Pemba Mohamed Sheikhan Mohamed akizfungua mafunzo ya siku...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani