POLISI ALIYEMFUNGIA MWANAFUNZI GESTI ASHITAKIWA KIJESHI
![](http://2.bp.blogspot.com/-DSzwCUFT_q4/VC01GuQCx2I/AAAAAAAAPLI/TTIf8ka_3zo/s72-c/Mwanafunzi%2C%2Bkalulunga%2Bblog.jpg)
TAARIFA tulizozipata mchana huu kutoka mjini Moshi mkoani Kilimanjaro, zinasema jeshi la polisi nchini limemkamata na kumfikisha katika mahakama ya kijeshi askari wake Pc.Godlisen anayetuhumiwa kumtumikisha katika vitendo vya ngono mwanafunzi wa kidato cha tatu wa shule ya sekondari Okaoni iliyopo wilaya ya Moshi.
Habari zinasema kuwa,askari huyo ambaye septemba 21 mwaka huu alimfungia kwenye nyumba ya kulala wageni mjini moshi mwanafunzi huyo na baadaye wawili hao kupata ajali mbaya ya...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Tanzania Daima04 Oct
Polisi aliyemfungia gesti ‘denti’ ashitakiwa kijeshi
JESHI la Polisi nchini limemkamata na kumfungulia mashitaka ya kijeshi askari wake D.260 PC Godlisen anayetuhumiwa kumtumikisha vitendo vya ngono mwanafunzi wa kidato cha tatu Sekondari ya Okaoni Wilaya ya...
10 years ago
Habarileo07 Oct
Mwalimu afumwa gesti na mwanafunzi wake
MWALIMU wa Shule ya Sekondari ya Muungano iliyopo mji mdogo wa Himo wilayani Moshi, Richard Ndoile (30), anashikiliwa na Jeshi la Polisi mkoani Kilimanjaro, kwa tuhuma za kukutwa gesti na mwanafunzi wake wakifanya mapenzi.
11 years ago
CloudsFM04 Jul
POLISI AMRUBUNI MWANAFUNZI KUFANYA NAYE MPENZI,AMWACHA CHUMBANI KWAKE,NYUMBA YAKE YAUNGUA MOTO,MWANAFUNZI AFARIKI DUNIA
Wananchi wa Mlangali, Ludewa wakiwa wamekizingira kituo cha polisi Mlangali mara baada ya kuipeleka maiti ya mtoto aliyeteketea kwa moto katika kituo hicho.
KIONGOZI wa mbio za mwenge Kitaifa awatuliza wananchi wa Mlangali wilaya ya Ludewa ambao baadhi yao waliandamana kituo cha polisi kushinikiza kutolewa kwa askari polisi aliyedaiwa kusababisha kifo cha mtoto ili auwawe.
Kiongozi huyo aliwaomba wananchi wa Mlangali kutokubali kujihusisha na vitendo vya uvunjifu wa amani ikiwa ni pamoja na...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/SPs2IsiC3PJWh0QdBBecC1ZEw83YEwg-P1ZhSbReqM-2AKNGAPArarzP78pZ0IauK58oq1Tmb4q0jyhpFVkvVdw37MeBUxXL/mkewamtu.jpg?width=650)
MFANYABIASHARA KARIAKOO AKUTWA GESTI NA SHEMEJIYE GESTI
9 years ago
Mwananchi31 Aug
Gari la polisi lagonga, kuua mwanafunzi Pwani
9 years ago
Michuzi13 Oct
MWANAHABARI AMUUA POLISI KWA KISU WAKIGOMBEA MWANAFUNZI
Baadhi ya wakazi wa Babati walisema jana kuwa wanaume hao walikuwa wakimgombea mwanafunzi wa kidato cha pili walipokuwa baa.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Manyara, Christopher Fuime alimtaja aliyeuawa kuwa ni Rashid Haruna (30) mwenyeji wa Mkoa wa Njombe.Kamanda Fuime alisema tukio hilo lilitokea juzi saa 5.30 usiku eneo la Kitalu X.
Alisema Polisi...
10 years ago
Habarileo20 Nov
Polisi aliyeua mwanafunzi chuo kikuu ahukumiwa kifo
MAHAKAMA Kuu Kanda ya Mbeya imemhukumu kunyongwa hadi kufa polisi wa upelelezi, Maduhu, F 5842, aliyekuwa akikabiliwa na shitaka la mauaji ya mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Teofilo Kisanji (TEKU), Daniel Mwakyusa.
10 years ago
Mwananchi11 Jul
Mwanafunzi agongwa, wakazi wachoma moto kituo cha polisi
10 years ago
Vijimambo![](http://lh4.ggpht.com/-kGDUL18b9nU/VG8AsRSToAI/AAAAAAAAflI/rkhyqwDx-Sk/s72-c/1.jpg)
Polisi aliyeua mwanafunzi wa Chuo Kikuu jijini Mbeya ahukumiwa kifo
![](http://lh4.ggpht.com/-kGDUL18b9nU/VG8AsRSToAI/AAAAAAAAflI/rkhyqwDx-Sk/s640/1.jpg)
Hukumu hiyo ya kesi namba 16 ya mwaka 2013, ilitolewa jana mjini hapa na Jaji Rose Temba,...