Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


POLISI: CRIS BROWN ALIKUWA ANAFUATILIWA KLABU KABLA YA NYUMBA YAKE KUVAMIWA

 Chris Brown akitoka klabu kabla ya kugundua kuwa nyumba yake imevamiwa. TAARIFA kutoka vyombo vya usalama nchini Marekani zinaeleza kuwa mwanamuziki Chris Brown alikuwa anafuatiliwa na watu kabla ya nyumba yake iliyopo San Fernando Valley, Los Angeles, Marekani kuvamiwa na majambazi jana.  Chris Brown akiwa bado hajui kilichotokea nyumbani kwake. Tukio hilo lilitokea usiku wa kuamkia jana majira ya saa 8 usiku wakati...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

MillardAyo

Nyumbani kwa Chris Brown kuna nini?!.. Nyingine ya mwanamke kuvamia nyumba yake imenifikia!

Miezi kadhaa iliyopita, Chris Brown aliziandika headlines baada ya taarifa kusambaa kuwa kuna mwanamke alivamia nyumba yake na kujikaribisha mpka ndani pamoja na kuchora kuta za nyumba za staa huyo na maandishi yaliyosema ‘I Love You Chris’… hiyo ilikuwa miezi saba iliyopita, kuna nyingine mpya inayofanana na hiyo pia! Siku ya jumanne tarehe 22 December […]

The post Nyumbani kwa Chris Brown kuna nini?!.. Nyingine ya mwanamke kuvamia nyumba yake imenifikia! appeared first on...

 

9 years ago

Mzalendo Zanzibar

Dk Slaa atimkia Marekani yeye na Familia yake, nyumba italindwa na polisi

Mazungumzo yake na Azam Tv Yaliyorushwa Leo Asubuhi akihojiwas na Tido Mhando Tuesday, September 8, 2015 Aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema, Dk. Willibrod Slaa amesema anakwenda Marekani pamoja na familia yake […]

The post Dk Slaa atimkia Marekani yeye na Familia yake, nyumba italindwa na polisi appeared first on Mzalendo.net.

 

9 years ago

Mtanzania

Kabla ya arobaini, Bobby Brown afanya shoo

150214-news-bobby-brownNA BADI MCHOMOLO

NYOTA wa muziki wa hip hop nchini Marekani, Bobby Brown, juzi alipanda jukwaani na kufanya onyesho la kwanza tangu kifo cha mtoto wake, Kristina kilichotokea Julai mwaka huu.

Kristina alizikwa Agosti 3 mwaka huu, hivyo siku 23 tu zimepita amefanya onyesho huku akiwashukuru waliohudhuria onyesho hilo.

“Nawashukuru sana kwa uwepo wenu siku ya leo, pia nawashukuru wale wote mliomuombea mwanangu wakati alipokuwa akiugua,” alieleza Brown.

Hata hivyo, wakati baba huyo akitumbuiza,...

 

11 years ago

CloudsFM

POLISI AMRUBUNI MWANAFUNZI KUFANYA NAYE MPENZI,AMWACHA CHUMBANI KWAKE,NYUMBA YAKE YAUNGUA MOTO,MWANAFUNZI AFARIKI DUNIA

Wananchi wa Mlangali, Ludewa wakiwa wamekizingira kituo cha polisi Mlangali mara baada ya kuipeleka maiti ya mtoto aliyeteketea kwa moto katika kituo hicho.KIONGOZI wa mbio za mwenge Kitaifa awatuliza wananchi wa Mlangali wilaya ya Ludewa ambao baadhi yao waliandamana kituo cha polisi kushinikiza kutolewa kwa askari polisi aliyedaiwa kusababisha kifo cha mtoto ili auwawe.Kiongozi huyo aliwaomba wananchi wa Mlangali kutokubali kujihusisha na vitendo vya uvunjifu wa amani ikiwa ni pamoja na...

 

10 years ago

BBCSwahili

Nyumba ya Chris Brown yavamiwa

Nyumba ya nyota wa muziki Chris Brown kutoka Marekani imevamiwa na kupekuliwa na watu watatu waliofunika nyuso zao ambao walimfungia shangazi lake ndani chumba chake kulingana na maafisa wa polisi.

 

10 years ago

Bongo5

Nyimbo 2 za Nicki Minaj zavuja siku chache kabla ya album yake kutoka, moja ni collabo yake na Beyonce (zisikilize)

Ikiwa ni siku 4 zimesalia kabla album ya Nicki Minaj iitwayo ‘The Pinkprint’ itoke, nyimbo mbili kutoka kwenye album hiyo zimevuja. Moja ya nyimbo hizo ni collabo yake na Beyonce ‘Feeling Myself’, wimbo ambao wote wawili wamezungumzia mafanikio yao. Wimbo mwingine uliovuja kutoka kwenye album hiyo ni ‘Get On Your Knees’ aliomshirikisha Ariana Grande. The […]

 

11 years ago

Michuzi

Mhe. Vicky Kamata aibuka na wimbo mpya wa "Moyo wa mtu kichaka" baada ya mikasa yake ya kuugua ghafla kabla ya ndoa yake

Mh. Vicky Kamata aliwasili Bungeni Dodoma na kama ilivyo ada alipokewa vizuri na kila mbunge aliyekutana nae.  Wabunge wengi walimpa pole baada ya kuugua siku chache kabla ya ndoa yake na kumtakia kila la kheri, huku wengi wakiamini kilichotokea ni mpango wa Mungu na kua Ndoa yake ipo na itakuwepo siku yoyote Mungu akiamua kulitimiza kusudi lake juu ya Mh. Vicky Kamata..   Wakati wabunge wengi wakimuhurumia na kudhani kua kutofungwa kwa ndoa yake kungemgharimu siku nyingi kurudi katika hali...

 

9 years ago

Bongo5

Izzo Bizness: Mangwair alikuwa ‘genius’, alikuwa na uwezo wa kuandika na kumaliza kurekodi album nzima siku moja

Albert Mangwair alikuwa ni rapper genius, kwa mujibu wa Izzo Bizness. Akiongea kwenye kipindi cha Chill na Sky, Izzo amesema alifahamiana na Ngwair tangu yuko Mbeya kabla ya kuja kumshirikisha kwenye ngoma yake ‘Ball Player’ wakiwa na Quick Rocka. “Ngwair ni mtu ambaye nilisema angeamua, angekuja kuvunja historia ya muziki labda Tanzania,” anasema Izzo. “Alikuwa […]

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani