POLISI JAMII AKIWAJIBIKA
Moja ya kitu ambacho Jeshi la Polisi nchini limecheza heko,ni kuanzisha kitengo cha Ulinzi shirikishi kwa kuwachukua vijana mbali mbali mitaani na kuwafunda vyema baadhi ya kazi za jeshi hilo vijana wa Polisi Jamii,hiki ni kitu kikubwa na safi sana kwa vijana hao kwa wingi wao,kwani wameweza kulipiga tafu Jeshi hilo,hasa katika kusaidia Askari wa Usalama Barabarani kuongoza magari ili kupunguza misongamano isiyokuwa na ulazima.pichani ni mmoja wa Polisi Jamii akiongoza magari barabarani.
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
MichuziKamanda wa Polisi mkoa wa Tabora ACP Suzan S. Kaganda aendelea na kampeni yake ya kuhamasisha dhana ya polisi jamii
11 years ago
Tanzania Daima17 Jan
Polisi yaimarisha dhana ya polisi jamii
KAMISHNA wa Polisi Jamii nchini (CP), Mussa Ali Mussa, amewataka maofisa wa Polisi na askari wote nchini, kuhakikisha wanafanya kazi katika misingi ya uwazi na usasa, hali itakayosaidia uenezi wa...
11 years ago
Tanzania Daima09 Jul
‘Tutaendelea na polisi jamii’
JESHI la Polisi limesema litaendelea na mkakati wa kutumia Polisi Jamii kutokana na umuhimu wake wa kuzuia uhalifu. Akizungumza katika banda la Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi katika...
10 years ago
Tanzania Daima21 Oct
Polisi jamii Keko wahujumiana
POLISI Jamii wa Keko Toroli wamekilamikia kitendo cha askari wa kituo cha polisi Chang’ombe jijini Dar es Salaam kushindwa kufikisha watuhumiwa mahakamani. Hatua hiyo imetokana na polisi jamii hao, Mansul...
10 years ago
Mwananchi07 Nov
Polisi Jamii yasitishwa Kariakoo
10 years ago
Habarileo18 Aug
Atoa somo kuhusu polisi jamii
KAMISHNA wa Polisi Jamii nchini, Mussa Alli Mussa, amewataka wadau wa ulinzi na usalama, maofisa wa polisi na askari kote nchini, kuhakikisha wanaielewa dhana ya polisi jamii kwa ufasaha.
10 years ago
Habarileo14 May
Polisi jamii waonywa kutokamata magari
JESHI la Polisi kikosi cha usalama barabarani limewataka Polisi jamii wanaokamata magari barabarani kuacha kufanya hivyo, kwani hawana kibali cha kufanya hivyo.