Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


POLISI MKOANI MANYARA YAKAMATA MISOKOTO 6,000

Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Manyara, (SACP) Deusdedit Nsimeki, (kulia) akiwa na polisi wengine wa mjini Babati, wakati akiwaonyesha waandishi wa habari baadhi ya misokoto 6,000 ya Bangi waliyoikamata kwenye mabasi mawili hivi karibuni ambayo ilikuwa imewekwa kwenye mikate iliyokuwa imesafirishwa na watu wawili,ambao wamewekwa ndani.…

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

Polisi Mkoani Manyara yakamata misokoto 6,000 ya bangi

Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Manyara, (SACP) Deusdedit Nsimeki, (kulia) akiwa na polisi wengine wa mjini Babati, wakati akiwaonyesha waandishi wa habari baadhi ya misokoto 6,000 ya Bangi waliyoikamata kwenye mabasi mawili hivi karibuni ambayo ilikuwa imewekwa kwenye mikate iliyokuwa imesafirishwa na watu wawili,ambao wamewekwa ndani.

 

9 years ago

StarTV

Polisi mkoani Geita yakamata watuhumiwa watatu wa mlipuko wa mabomu

Polisi Mkoani Geita wamefanikiwa kuwakamata watu waliohusika na tukio la kulipua kitu kinachosadikiwa kuwa ni bomu katika nyumba ya Afisa Mafunzo wa Mgodi wa Dhahabu wa Geita Lucy Joseph tukio lililotokea Oktoba 28 mwaka huu.

Jeshi hilo limewakamata watuhumiwa watatu na milipuko 27 inayotumiwa kufanya uhalifu katika Mkoa wa Geita, Kahama Mkoani Shinyanga na Babati Mkoani Manyara.

Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Geita Peter Kakamba akizungumza na Waandishi wa Habari amesema watuhumiwa hao...

 

10 years ago

Michuzi

Tafrija ya polisi ya kuagana Mirerani wilayani simanjiro mkoani Manyara

 Aliyekuwa Mkuu wa Kituo cha Polisi Mirerani, Wilayani Simanjiro, Mkoani Manyara, Mkakibu wa polisi Ally Mohamed Mkalipa, ambaye ni Mkuu wa polisi (OCD) Wilaya ya Ngorongoro Mkoani Arusha, akizungumza wakati wa sherehe ya kuagwa kwake Mirerani juzi. Mkuu wa Kituo cha Polisi Mirerani, Wilayani Simanjiro, Mkoani Manyara, Mkakibu Msaidi wa polisi, ASP Lwitiko Noman Kibanda, akicheza muziki na mke wake kwenye sherehe ya kukaribishwa kwake na kumuaga aliyekuwa mkuu wa kituo hicho SP Ally Mohamed...

 

9 years ago

Michuzi

Askari wa kituo cha polisi Mirerani Wilayani Simanjiro Mkoani Manyara wafanya usafi kwenye mazingira yanayozunguka kituo chao.

 Askari polisi wa Kituo cha Mirerani Wilayani Simanjiro Mkoani Manyara, wakiongozwa na Mkuu wa kituo hicho, Mrakibu msaidizi (ASP) Thomas Mniko, (kulia) kusafisha mazingira yanayozunguka eneo lao.
Askari polisi wa Kituo cha Mirerani Wilayani Simanjiro Mkoani Manyara, wakiongozwa na Mkuu wa kituo hicho, Mrakibu msaidizi (ASP) Thomas Mniko, (kulia) kusafisha mazingira yanayozunguka eneo lao.

 

11 years ago

Michuzi

KATIBU MKUU WA CCM,KINANA AMALIZA ZIARA YAKE YA SIKU NANE MKOANI SINGIDA,KESHO KUELEKEA MKOANI MANYARA

Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Kinana akiwahutubia Wananchi kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika katika uwanja wa Msange,kata ya Msange,Singida Vijijini mkoani Singida. Ndugu Kinana akiwa ameambatana na Katibu wa NEC Itikad,siasa na Uenezi Nape Nnauye,leo wanahitimisha siku nane za ziara yao ya Kukagua kuhimiza na kusukuma miradi ya maendeleo inayotekelezwa kwa kufuata Ilani ya Chama,kukagua maandalizi ya uchaguzi ya serikali za mitaa,kusikiliza kero za wananchi na kuzitafututia ufumbuzi.Kinana...

 

10 years ago

Mwananchi

Polisi yakamata bunduki 16 za Stakishari

Jeshi la Polisi limesema limeshakamata bunduki 16 kati ya 21 zilizoporwa kwenye Kituo cha Stakishari.

 

10 years ago

Mwananchi

Polisi yakamata silaha zilizoibwa Stakishari

Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limefanikiwa kukamata bunduki 14 na risasi 28 zilizoporwa katika kituo cha polisi cha Stakshari.

 

9 years ago

GPL

POLISI YAKAMATA BUNDUKI, BANGI, NYARA ZA SERIKALI

Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai CP, Diwan Athuman, akitoa taarifa yake. Wanahabari wakichukua matukio. CP Athuman akifanua jambo. Wanahabari wakisikiliza kwa makini kilichokuwa kikiendelea kwenye hafla hiyo. JESHI la polisi nchini kwa kushirikiana na ofisi za polisi wa kimataifa,…

 

10 years ago

Habarileo

Polisi yakamata kontena la nyaya za milioni 150/-

Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Suleiman Kova.JESHI la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam limekamata kontena likiwa na rola 15 za nyaya za umeme mali ya Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) zenye thamani ya Sh milioni 150.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani