Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Polisi wadhibiti majambazi ndani ya baa iliyojaa

MAKAMU Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilayani Simanjiro, Jackos Sipitek pamoja na madiwani wawili wa viti maalumu wamenusurika katika shambulio la majambazi kutaka kuwadhuru polisi kwenye baa ya Pama iliyopo makao mapya jijini Arusha.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Polisi wadhibiti maandamano

 Jeshi la Polisi mkoani Arusha, limezima maandamano ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), jana baada ya askari wake wa miguu na magari ya maji ya kuwasha kutanda mitaani, huku chama hicho kikidai kufanikiwa kufikisha ujumbe uliokusudiwa.

 

10 years ago

Mwananchi

TFF, Polisi wadhibiti vurugu viwanjani

Siku zote Watanzania tunafahamu kuwa soka ni mchezo unaopendwa na mashabiki wengi siyo katika ardhi yetu pekee bali kote ulimwenguni.

 

10 years ago

BBCSwahili

Polisi wadhibiti ulinzi mjini Mombasa

Polisi waliojihami wanaendelea kushika doria katika barabara za mji wa Mombasa Pwani ya Kenya kuhakikisha utulivu baada ya vurugu na msako wa polisi misikitini

 

10 years ago

Michuzi

TAARIFA YA POLISI JIJINI DAR: MAJAMBAZI WAWILI WAUAWA DAR WAKATI WA MAPAMBANO KATI YAO NA ASKARI WA JESHI LA POLISI

Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limefanikiwa kukamata silaha moja aina ya SMG yenye namba BA172288  na risasi kumi na tatu wakati wa  mapambano makali ya ana kwa ana kati ya majambazi na Jeshi la Polisi.  Aidha katika tukio hilo majambazi wawili waliuawa  kwa risasi wak ati wakijaribu kuwadhuru askari.  
Tukio hilo lilitokea eneo la Kariakoo mtaa wa Mkunguni na Livingstone saa 3.00hrs usiku. Wakati wa tukio hilo umeme ulikuwa hakuna na mlalamikaji alikuwa anatumia taa za...

 

9 years ago

Mwananchi

Majambazi yaua, yapora ndani ya daladala Dar

Mtu mmoja amefariki dunia na mwingine kujeruhiwa wakati watu wanaosadikiwa kuwa ni majambazi waliposimamisha daladala eneo la Jangwani na kuingia ndani kupora mkoba unaosadikiwa kuwa na fedha.

 

11 years ago

GPL

UNDANI POLISI ALIYEUAWA NA MAJAMBAZI

Stori: Haruni Sanchawa na Makongoro Going,’ Pwani
JUMANNE, Juni 10, mwaka huu majambazi yapatayo sita, yalivamia Kituo Kidogo cha Polisi Kimanzichana na kupora silaha na baadaye kumuua askari polisi mmoja, mgambo mmoja na kumjeruhi mwingine na kutoweka. Marehemu Venance Mushi enzi za uhai wake. Kwa mujibu wa mashuhuda, majambazi hayo yalifika katika kituo hicho majira ya saa saba usiku, yakiwa yanakokota bodaboda mbili...

 

11 years ago

Habarileo

Majambazi yaua Polisi wawili

ASKARI Polisi wawili kutoka Tarafa ya Usoke wilayani Urambo mkoani Tabora, wameuawa kwa kupigwa risasi na majambazi. Akizungumza na waandishi wa habari jana, Kamanda wa Polisi mkoani Tabora, Suzan Kaganda, alisema mauaji hayo yamefanyika juzi saa 2: 30 usiku katika kijiji cha Usoke wilayani Urambo.

 

11 years ago

Habarileo

Majambazi yaua polisi hotelini

ASKARI Polisi, Mohamed Mjomba (44) amepoteza maisha baada ya kushambuliwa na majambazi, waliovamia Hoteli ya Kitalii ya Pongwe Uroa Wilaya ya Kati Unguja.

 

10 years ago

Vijimambo

Majambazi yavamia, yaua polisi kituoni

Waliouawa wawili, yapora bunduki saba na risasi kibao, Ni tukio la tatu katika miezi saba, IGP atangaza bingo ya milioni 20/-Mkuu wa Jeshi la Polisi (IGP), Ernest Mangu.
Matukio ya kuvamia, kuteka, kuwaua askari na kupora silaha katika vituo vya polisi, yameanza kushamiri nchini, hali inayoashiria hatari iliyopo kwa wananchi kwani sasa majambazi yameanza kuvigeuza vituo hivyo kuwa eneo la kujipatia silaha.

Katika kipindi cha miezi saba sasa kuanzia Juni, mwaka jana hadi Januari, mwaka huu,...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani