Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


POLISI WAJIFUA TAYARI KWA MICHUANO YA MAJESHI NCHINI SWAZILAND

Baadhi ya Wanamichezo wa Polisi walioshiriki Michezo ya Wakuu wa Majeshi ya Polisi kusini mwa Afrika mwaka 2013 nchini Namibia. 
Picha na Maktaba ya Polisi.

Na Frank Geofray wa Jeshi la Polisi.Timu za Jeshi la Polisi Tanzania zitakazoshiriki michezo ya Umoja wa Wakuu wa Majeshi ya Polisi kwa nchi za kusini mwa Afrika (SARPCCO),  mwishoni mwa mwezi julai nchini Swaziland zinaendelea kujifua vyema katika  kambi yao inayoendelea katika chuo cha Taaluma ya  Polisi Dar es Salaam (DPA). Akizungumza...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

MICHEZO YA MAJESHI YA POLISI YAENDELEA NCHINI SWAZILAND

Mshindi wa kwanza katika mbio za Kilomita 21, Josepat Joshua (katikati) na wa pili Osward Revelian kutoka Jeshi la Polisi Tanzania wakiimba wimbo wa Taifa baada ya kukabidhiwa medali zao katika uwanja wa Mavuso mjini Mbabane Swaziland katika michezo ya majeshi ya Polisi kwa nchi za Kusini mwa Afrika(SARPCCO) inayoendelea nchini Swaziland. Mchezaji wa Polisi Tanzania, Mohamed Ibrahim kutoka Jeshi la Polisi Tanzania akirusha tufe katika uwanja wa Mavuso mjini Mbabane Swaziland katika...

 

10 years ago

Michuzi

MAGEREZA WAJIFUA TAYARI KWA KUPANDA MLIMA KILIMANJARO

Sehemu ya Maafisa na Askari wa Jeshi la Magereza wakiwa katika mazoezi makali katika mitaa ya mji wa Moshi ikiwa ni maandalizi ya kupanda mlima Kilimanjaro ifikapo Machi 6,2015. Katikati (mwenye vazi jeupe) ni Kamishna Msaidizi wa Magereza Alexander Mmasy kutoka Makao Makuu ya Magereza, wa kwanza kulia ni Mrakibu Msaidizi wa Magereza Mbezi Ramadhani kutoka Ofisi ya Mkuu wa Magereza Mkoa wa Tanga na wa kwanza kushoto ni Mkaguzi wa Magereza Jamhuri Yassin kutoka Makao Makuu ya Magereza, Dar es...

 

10 years ago

Michuzi

Taifa Stars yaendelea kujifua tayari kwa kuwakabili Swaziland

Kocha mkuu wa Timu ya Taifa (Taifa Stars), Mart Nooij akiendelea kuwafua vijana wake ikiwa ni muendelezo wa mazoezi katika uwanja wa Royal Bafokeng kujiandaa na mchezo wa fungua dimba dhidi ya timu ya Taifa ya Swaziland, utakaopigwa jioni ya leo Mei 18,2015.Wachezaji wa timu ya Taifa (Taifa Stars) wakiendelea kujifua katika uwanja wa Royal Bafokeng kujiandaa na mchezo wa fungua dimba dhidi ya timu ya Taifa ya Swaziland, utakaopigwa jioni ya leo Mei 18,2015.

 

10 years ago

Michuzi

CHIPUKIZI WA UVCCM WAJIFUA VIKALI TAYARI KWA KILELE CHA MIAKA 38 YA CCM KESHO

 Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye na Katibu Mkuu wa  UVCCM Sixtus Mapunda wakitazama mazoezi ya mwisho ya Chipukizi hao Mshika bendera ya CCM kwenye kikosi cha Bendera cha Gwaride la Umoja wa Vijana wa CCM, Sharif Mohammed na wenzake wakipita kwa ukakamavu mbele ya jukwaa kuu wakati wa mazoezi ya mwisho ya gwaride na halaiki kwa ajili ya Kilala cha Maadhimisho ya miaka 38 ya CCM yanayofanyika kesho Kitaifa kwenye Uwanja wa Maji Maji mjini Songea mkoani Ruvuma  Vijana wa...

 

10 years ago

Vijimambo

CHIPUKIZI WA UVCCM WAJIFUA VIKALI TAYARI KWA KILELE CHA MIAKA 38 YA CCM LEO

 Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akisalimiana na Mratibu wa Maadhimisho ya Miaka 38 ya CCM, Emmanuel Nchimbi, walipokuwa wakikagua mazoezi ya vijana wa Chipukizi wa CCM ya paredi na halaiki kwa ajili ya Maadhimisho ya Kilele cha Miaka 38 ya CCM, yatakayofanyika Kitaifa leo kwenye Uwanja wa majiMaji mjini Songea. Vijana wa Chipukizi wa CCM waliopo katika mazoezi ya halaiki na paredi kwa ajili ya Maadhimisho ya Miaka 38 ya CCM mjini Songea, wakikipiga saluti wakati wa mazoezi ya...

 

10 years ago

Vijimambo

CHIPUKIZI WA UVCCM WAJIFUA VIKALI TAYARI KWA KILELE CHA MIAKA 38 YA CCM KESHO, SONGEA

Chipukizu hao wakiwa kwenye mazoezi ya halaikiMshika bendera ya CCM kwenye kikosi cha Bendera cha Gwaride la Umoja wa Vijana wa CCM, Sharif Mohammed na wenzake wakipita kwa ukakamavu mbele ya jukwaa kuu wakati wa mazoezi ya mwisho ya gwaride na halaiki kwa ajili ya Kilala cha Maadhimisho ya miaka 38 ya CCM yanayofanyika kesho Kitaifa kwenye Uwanja wa Maji Maji mjini Songea mkoani Ruvuma Vijana wa Chipukizi wa CCM wakionyesha ukakamavu wakati wa mazoezi yao ya mwisho leo kwenye Uwanja wa Maji...

 

10 years ago

BBCSwahili

Michuano ya makundi ya AFCON tayari

Hatua ya makundi ya kufuzu kwa fainali za kombe la mataifa ya Afrika inaanza mwishoni mwa wiki

 

10 years ago

Michuzi

WANARIADHA WA POLISI WAREJEA KUTOKA SWAZILAND

Wanamichezo wa Polisi Tanzania waliokuwa wakishiriki Michezo ya Umoja wa Majeshi ya Polisi kusini mwa Afrika (SARPCCO) katika mji wa Mbabane Swaziland wakiwa katika uwanja wa ndege wa Swaziland baada ya kumalizika kwa michezo hiyo ambapo walifanikiwa kujipatia jumla ya medali kumi na moja .(Picha na Frank Geofray-Jeshi la Polisi,Swaziland)

 

11 years ago

Michuzi

HEINEKEN YAZINDUA MICHUANO YA FOOSBALL KWA MARA NYINGINE TENA HAPA NCHINI

Mkurugenzi wa Heineken Tanzania Bw. Uche Unigwe akizungumza wakati wa uzinduzi wa Mchezo wa foosball katika hafla iliyofanyika jijini Dar es Salaam. Kulia kwake wamesimama washindi kutoka michuano ya mwaka jana waliopata nafasi ya kwenda Amsterdam.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani