Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WANARIADHA WA POLISI WAREJEA KUTOKA SWAZILAND

Wanamichezo wa Polisi Tanzania waliokuwa wakishiriki Michezo ya Umoja wa Majeshi ya Polisi kusini mwa Afrika (SARPCCO) katika mji wa Mbabane Swaziland wakiwa katika uwanja wa ndege wa Swaziland baada ya kumalizika kwa michezo hiyo ambapo walifanikiwa kujipatia jumla ya medali kumi na moja .(Picha na Frank Geofray-Jeshi la Polisi,Swaziland)

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

BBCSwahili

Wanariadha wa Kenya warejea nyumbani

Waniadha wa Kenya wamerejea nyumbani kutoka Beijing ambako wamelakiwa kwa tahadhimu kuu na serikali na Wakenya wengine

 

10 years ago

Michuzi

MICHEZO YA MAJESHI YA POLISI YAENDELEA NCHINI SWAZILAND

Mshindi wa kwanza katika mbio za Kilomita 21, Josepat Joshua (katikati) na wa pili Osward Revelian kutoka Jeshi la Polisi Tanzania wakiimba wimbo wa Taifa baada ya kukabidhiwa medali zao katika uwanja wa Mavuso mjini Mbabane Swaziland katika michezo ya majeshi ya Polisi kwa nchi za Kusini mwa Afrika(SARPCCO) inayoendelea nchini Swaziland. Mchezaji wa Polisi Tanzania, Mohamed Ibrahim kutoka Jeshi la Polisi Tanzania akirusha tufe katika uwanja wa Mavuso mjini Mbabane Swaziland katika...

 

10 years ago

Michuzi

POLISI WAJIFUA TAYARI KWA MICHUANO YA MAJESHI NCHINI SWAZILAND

Baadhi ya Wanamichezo wa Polisi walioshiriki Michezo ya Wakuu wa Majeshi ya Polisi kusini mwa Afrika mwaka 2013 nchini Namibia. 
Picha na Maktaba ya Polisi.

Na Frank Geofray wa Jeshi la Polisi.Timu za Jeshi la Polisi Tanzania zitakazoshiriki michezo ya Umoja wa Wakuu wa Majeshi ya Polisi kwa nchi za kusini mwa Afrika (SARPCCO),  mwishoni mwa mwezi julai nchini Swaziland zinaendelea kujifua vyema katika  kambi yao inayoendelea katika chuo cha Taaluma ya  Polisi Dar es Salaam (DPA). Akizungumza...

 

11 years ago

BBCSwahili

Vijana wa Kenya warejea kutoka Brazil

Timu ya vijana walio chini ya umri wa miaka 18 kutoka Kenya wamerejea nyumbani baada ya kushiriki mashindano ya Football For Hope

 

5 years ago

Michuzi

WATANZANIA 119 KUTOKA DUBAI WAREJEA NCHINI, WAISHUKURU SERIKALI

Serikali ya Tanzania imewarejesha nchini watanzania 119 ambao walikuwa wamekwama Abu Dhabi (Dubai) kufuatia kuzuiwa kwa safari za ndege kutokana na mlipuko wa ugonjwa wa homa kali ya mapafu inayosabishwa na virus vya corona (COVID-19).
Ndege ya fly Dubai imewarejesha watanzania hao waliokuwa wamekwama Abu Dhabi (Dubai) tangu 25 Machi 2020 Serikali ya Falme za Kiarabu ilipotoa zuio la kuingia na kutoka kwa ndege. 
Ndege hiyo imewasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA)...

 

10 years ago

Michuzi

watanzania 18 warejea nyumbani kutoka Yemen ambako hakukaliki kutokana na vita

Balozi wa Tanzania nchini Oman Mh. Ali Ahmed Saleh (aliyebeba mtoto) akiwa na baadhi ya kundi la Watanzania 18 waliookolewa kutoka Yemen ambako hakukaliki kutokana na vita. Hapa wananchi hao  wapo  katika uwanja wa ndege wa Muscat wakiwa njiani kurejeshwa nyumbani.Sehemu ya wananchi hao wakijiandaa kuondoka Muscat, Oman, kurejea nyumbani

 

11 years ago

GPL

WASHINDI WA AIRTEL ‘MIMI NI BINGWA’ WAREJEA KUTOKA OLD TRAFFORD

Meneja Uhusiano wa Airtel Tanzania, Jackson Mmbando (katikati) akifurahia jambo pamoja na washindi wa tiketi wa promosheni ya Airtel Mimi ni Bingwa mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam baada ya safari yao iliyogharamiwa kila kitu ya kwenda Old Trafford kuangalia mechi moja kwa moja kati ya Manchester United na Cardiff City iliyochezwa Jumanne usiku.
Meneja Uhusiano...

 

12 years ago

BBC

Swaziland profile

Provides an overview, basic facts and key events for this small southern African kingdom

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani