WASHINDI WA AIRTEL ‘MIMI NI BINGWA’ WAREJEA KUTOKA OLD TRAFFORD
![](http://api.ning.com:80/files/wBi6IgNyVl9N*ITuTuR56xGA7h88a3U3vJ7dyjw5qvah-84-UeiRCCkjlwQGtFozlJuhJqqRWcevsBW-rdW2zj1yrZfLzvDg/airtel.jpg?width=650)
Meneja Uhusiano wa Airtel Tanzania, Jackson Mmbando (katikati) akifurahia jambo pamoja na washindi wa tiketi wa promosheni ya Airtel Mimi ni Bingwa mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam baada ya safari yao iliyogharamiwa kila kitu ya kwenda Old Trafford kuangalia mechi moja kwa moja kati ya Manchester United na Cardiff City iliyochezwa Jumanne usiku. Meneja Uhusiano...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/eiC0hTlxr2J2g04dWrSM7ktRW6BUcR6-aJkvIz0KeH93tvhfChULH5s53EAj3wqx6XL0M*K9MCAkbGNsoTo-V*bOipceiicr/BINGWA1.jpg?width=650)
WASHINDI WA AIRTEL 'MIMI NI BINGWA' WAKWEA PIPA KWENDA OLD TRAFFORD
11 years ago
Tanzania Daima02 Jan
Airtel yamwaga mamilioni, tiketi za Old Trafford ‘Mimi Bingwa’
KAMPUNI ya mawasiliano ya Airtel Tanzania imewazawadia wateja wake zaidi ya sh milioni 130 na kutoa tiketi 12 za safari iliyolipiwa kila kitu kwenda Old Trafford, Uingereza kupitia promosheni yake...
11 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-Q7STyVQmqq8/UvNHoclXtnI/AAAAAAACaMY/n08SUjy4gzs/s72-c/IMG_9278.jpg)
Washindi wa promosheni ya Mimi ni Bingwa waipongeza Airtel
![](http://4.bp.blogspot.com/-Q7STyVQmqq8/UvNHoclXtnI/AAAAAAACaMY/n08SUjy4gzs/s1600/IMG_9278.jpg)
11 years ago
TheCitizen27 Jan
‘Mimi ni Bingwa’ winners leave for Old Trafford
11 years ago
Tanzania Daima18 Dec
Washindi Mimi ni Bingwa wakabidhiwa vitita vyao
KAMPUNI ya Airtel Tanzania, juzi imewakabidhi zawadi za fedha kwa wateja wake walioibuka washindi kupitia promosheni yake ya ‘Mimi ni Bingwa’ wiki hii ambapo kila mmoja ameondoka na kitita cha...
11 years ago
Mwananchi05 Mar
Mamilioni ya Airtel ‘Mimi ni Bingwa’ yaenda Bukoba
11 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-Yq-Cn7HxvC8/UwsE6VoKQSI/AAAAAAAFPMw/BssCapks77s/s72-c/mimi+ni+bingwa+pic.jpg)
Milioni 50 za Airtel ‘Mimi ni Bingwa’ kutolewa Ijumaa
![](http://2.bp.blogspot.com/-Yq-Cn7HxvC8/UwsE6VoKQSI/AAAAAAAFPMw/BssCapks77s/s1600/mimi+ni+bingwa+pic.jpg)
KAMPUNI ya mawasiliano ya Airtel Tanzania Ijumaa hii itachezesha droo kubwa ya promosheni yake ya 'Mimi Ni Bingwa' ambayo itamfanya mmoja wa wateja wake kujishindia zawadi ya kitita cha shilingi milioni 50.
Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana, Afisa Uhusiano wa Airtel Tanzania, Jane Matinde alisema droo hiyo itakayobadilisha maisha ya mtu, imepangwa kuchezeshwa katika ofisi za makao makuu ya kampuni hiyo jijini Dar es Salaam.
"Baada ya miezi...
11 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-DtZHiDKG3WI/Uxav89EsJXI/AAAAAAACbnI/uzMZbSAAeLU/s72-c/4.jpg)
Mkazi wa Bukoba ashinda milioni 50 za Airtel ‘Mimi ni Bingwa’
![](http://4.bp.blogspot.com/-DtZHiDKG3WI/Uxav89EsJXI/AAAAAAACbnI/uzMZbSAAeLU/s1600/4.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-dSlPIwELvaU/UxawAkOh2ZI/AAAAAAACbng/TM52jyd5myI/s1600/5.jpg)
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/VMB94olbxS2XWV3TVdPpYlGKJfvr*SYBI8x-BMAHwkcEOaZB3tpl8kwScWvfMh4ZCr7aEyOOFDKEnX5BzaNinpxjcVWCopyh/1miminibingwapic2.jpg?width=650)
MILIONI 50 ZA AIRTEL ‘MIMI NI BINGWA’ KUTOLEWA IJUMAA