Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Polisi wakanusha madai ya askari wao

Philipo Kalangi, Kamanda wa polisi Mkoa wa Mara.POLISI wa wilaya ya Bunda, wamelazimishwa kuchangia fedha kwa ajili ya mafuta ya kusafirisha mwili wa mwenzao aliyefariki dunia katika Hospitali ya rufaa Bugando kwenda nyumbani kwao katika wilaya ya Mahenge mkoani Morogoro.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Bongo5

Nuh Mziwanda adai BASATA wamemalizana na Shilole, wao wakanusha

Nuh Mziwanda amedai kuwa kabla Shilole hajaondoka kwenda nchini Marekani walimalizana kila kitu na BASATA. Nuh amesema vibali alivyochukua Shilole BASATA ndio vilivyomwezesha kuchukua visa ya kusafiria. “Ili upate urahisi wa kupata visa lazima upate vibali vyote vya BASATA,” Nuh aliambia XXL ya Clouds FM. “Kwahiyo ilibidi awe na vibali vyote vya BASATA kwasababu BASATA […]

 

10 years ago

Habarileo

Polisi wakanusha kumuonea Lema

Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Arusha, Liberatus SabasKAMANDA wa Polisi mkoani Arusha, Liberatus Sabas, amesema kuwa tuhuma alizotoa Mbunge wa Arusha mjini, Godbless Lema si za kweli.

 

11 years ago

Michuzi

KIINGLISHI KILIVYOWAGOMBANISHA ASKARI POLISI NA ASKARI WA MANISPAA YA MOSHI


Kisha safari ya kwenda Kituoni ikaanza. Ghafla Mkude baada ya kuona kamera ya globu ya jamii inammulika alimuamuru askari mwenzake kuikamata ,alakini hata hivyo askari yule alifahamu kuwa Globu ya jamii pia iko kazini kama walivyo wao. Mzobe mzobe ukaendelea kupita katikati ya kituo kikuu cha mabasi huku mbinje za kutosha toka kwa wakatisha tiketi na wapiga debe zikirindima. Askari Polisi.Mkude akafanikiwa kuwatia mikononi askari wa manispaa ya Moshi wanaoshughulika na...

 

9 years ago

Vijimambo

Polisi wakanusha karatasi za kura kukamatwa Masasi.

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mtwara, Henry Mwaibambe.
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mtwara limekanusha taarifa zinazodaiwa kuandikwa katika mtandao mmoja wa kijamii, zikidai kukamatwa kwa baadhi ya watu katika kituo cha polisi wilaya ya Masasi mkoani hapa wakiwa na masanduku na fomu za kupigia kura zipatazo 2000 zikiwa tayari zimetumika.

Akizungumza na waandishi wa habari mjini hapa jana, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mtwara, Henry Mwaibambe, alisema taarifa hizo zilidai kuwa, fomu hizo zilimpa alama ya...

 

11 years ago

Mwananchi

Wakenya wakanusha kupambana na polisi kwa saa sita

Raia wawili wa Kenya ambao wanadaiwa kupambana na polisi kwa saa sita jijini Arusha Julai 20, 2007, wamekanusha vikali kuwapo katika nyumba hiyo wakidai ushahidi huo ni wa uongo.

 

9 years ago

Habarileo

IGP akanusha kufuta askari kwa madai ya vyeti feki

MKUU wa Polisi nchini Inspekta Jenerali (IGP) Ernest Mangu amekanusha kufutwa kazi kwa askari kadhaa wanaodaiwa kuwa na vyeti feki kama iliyosambazwa kwenye mitandao ya kijamii juzi na akasema Jeshi lake linamtafuta mtu ambaye amesambaza taarifa hizo alizoita za uzushi.

 

10 years ago

GPL

POLISI WAKANUSHA TISHIO LA MAGAIDI KUSHAMBULIA CHUO CHA UHASIBU ARUSHA

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha Liberatus Sabas. Wanafunzi wa Chuo cha Uhasibu Arusha wakiendelea na masomo. KAMANDA wa Polisi Mkoa wa Arusha, Liberatus Sabas,  amekanusha uvumi ulioenea katika mitandao ya jamii kuhusu kukamatwa magaidi  mkoani  Arusha usiku wa kuamkia leo waliokuwa wamejitayarisha kukishambulia Chuo cha Uhasibu (Institute of Accountancy Arusha - IAA) wakidaiwa kuwa na gari aina ya Toyota Premio nyeusi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani