Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Polisi wapambana na raia Sirari

POLISI mkoa wa Kipolisi Tarime na Rorya, wamelazimika kutumia mabomu ya machozi kuwatawanya waandamaji katika katika mji mdogo wa Sirari kupinga mauaji ya kijana Tandeka Ryoba Mserega. Mserega anadaiwa kuuawa...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

BBCSwahili

Polisi wapambana na magaidi Tunisia

Vikosi vya usalama vimeizingira nyumba ambapo afisa wa polisi na washukiwa 2 wanaotuhumiwa kuwa wapiganaji wa kiislamu waliuawa.

 

10 years ago

Mtanzania

Polisi, albino wapambana Dar

Kamishna Suleiman Kova

Kamanda wa Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Kamishna Suleiman Kova

NA SHABANI MATUTU

JESHI la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam limetumia mabomu ya machozi kuwatawanya watu wenye ulemavu wa ngozi (albino), waliokuwa wakizuia gari la polisi lililokuwa limebeba mtuhumiwa wa kutishia kuua albino kwa maneno.

Tukio hilo lilitokea jijini Dar es Salaam jana, ambako albino hao walivamia gari hilo na kuwataka askari polisi wamshushe ndani ya gari mtuhumiwa huyo aliyetambulika kwa jina la Ombeni...

 

10 years ago

BBCSwahili

Polisi wapambana na Al shabaab Kenya

Maafisa wa polisi nchini Kenya wapambana na Wanamgambo wa Al shabaab

 

11 years ago

Habarileo

Polisi wapambana na wajenzi wa barabara

POLISI wamefyatua risasi za moto, kuwatawanya wafanyakazi wa kampuni ya Aaarsleef/Bam International, inayojenga barabara Laela-Sumbawanga kwa kiwango cha lami.

 

10 years ago

Mtanzania

Dk. Slaa, polisi wapambana Dar

slaaNa Faraja asinde, Dar es salaam,

HALI ya tafrani ilizuka jijini Dar es Salaam jana, baina ya Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk. Wilbrod Slaa na askari wa Jeshi la Polisi.
Hali hiyo ilijitokeza, baada ya askari polisi kumhoji kiongozi huyo wa chama kikuu cha upinzani nchini, hatua yake ya kufanya mkutano bila kibali.
Tafrani hiyo ambayo iliibuka katika eneo la Tegeta Gereji ilianza saa 11:50 jioni baada ya Dk. Slaa kuwasili katika eneo hilo na kuanza kuhutubia...

 

11 years ago

Mwananchi

Wamachinga wapambana na polisi Kariakoo

>Jeshi la Polisi limelazimika  kutumia mabomu ya machozi kuwaondoa wafanyabiashara ndogondogo (wamachinga) katika Soko Kuu la Kariakoo.

 

11 years ago

BBCSwahili

Polisi wapambana na waandamanaji Brazil

Kumezuka mapigano kati ya jeshi la polisi na wakaazi wenye hasira usiku kucha katika mojawapo ya viunga vya Rio de Janeiro.

 

10 years ago

Mtanzania

Polisi wapambana na wananchi Njombe

Na Francis Godwin, Njombe

JESHI la Polisi jana lililazimika kutumia zaidi ya saa 5.00 kupambana na wananchi waliokuwa wakiandamana bila kibali wakitaka kuchukua maiti ya mmoja wa wakazi wa Njombe aliyedaiwa kuuawa kwa kupigwa risasi na askari wa jeshi hilo wakati wa msako wa wanywa pombe.

Mtu huyo inaelezwa alifariki dunia juzi na mwili wake kuhifadhiwa katika Hospitali ya Kibena.
Inaelezwa wananchi hao walikuwa wakiandamana kuuchukua mwili wa marehemu huyo na kuupeleka...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani