Polisi wapambana na wananchi Njombe
Na Francis Godwin, Njombe
JESHI la Polisi jana lililazimika kutumia zaidi ya saa 5.00 kupambana na wananchi waliokuwa wakiandamana bila kibali wakitaka kuchukua maiti ya mmoja wa wakazi wa Njombe aliyedaiwa kuuawa kwa kupigwa risasi na askari wa jeshi hilo wakati wa msako wa wanywa pombe.
Mtu huyo inaelezwa alifariki dunia juzi na mwili wake kuhifadhiwa katika Hospitali ya Kibena.
Inaelezwa wananchi hao walikuwa wakiandamana kuuchukua mwili wa marehemu huyo na kuupeleka...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi31 Jan
Polisi, wananchi wapambana Karatu
10 years ago
Mwananchi24 Feb
Vurugu Kubwa Iringa, Polisi na wananchi wapambana.
10 years ago
Mtanzania19 Aug
Polisi, albino wapambana Dar
![Kamishna Suleiman Kova](http://mtanzania.co.tz/wp-content/uploads/2014/07/Suleiman-Kova.jpg)
Kamanda wa Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Kamishna Suleiman Kova
NA SHABANI MATUTU
JESHI la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam limetumia mabomu ya machozi kuwatawanya watu wenye ulemavu wa ngozi (albino), waliokuwa wakizuia gari la polisi lililokuwa limebeba mtuhumiwa wa kutishia kuua albino kwa maneno.
Tukio hilo lilitokea jijini Dar es Salaam jana, ambako albino hao walivamia gari hilo na kuwataka askari polisi wamshushe ndani ya gari mtuhumiwa huyo aliyetambulika kwa jina la Ombeni...
11 years ago
Habarileo28 Apr
Polisi wapambana na wajenzi wa barabara
POLISI wamefyatua risasi za moto, kuwatawanya wafanyakazi wa kampuni ya Aaarsleef/Bam International, inayojenga barabara Laela-Sumbawanga kwa kiwango cha lami.
11 years ago
BBCSwahili04 Feb
Polisi wapambana na magaidi Tunisia
10 years ago
Mtanzania22 Dec
Dk. Slaa, polisi wapambana Dar
Na Faraja asinde, Dar es salaam,
HALI ya tafrani ilizuka jijini Dar es Salaam jana, baina ya Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk. Wilbrod Slaa na askari wa Jeshi la Polisi.
Hali hiyo ilijitokeza, baada ya askari polisi kumhoji kiongozi huyo wa chama kikuu cha upinzani nchini, hatua yake ya kufanya mkutano bila kibali.
Tafrani hiyo ambayo iliibuka katika eneo la Tegeta Gereji ilianza saa 11:50 jioni baada ya Dk. Slaa kuwasili katika eneo hilo na kuanza kuhutubia...
11 years ago
Mwananchi02 May
Wamachinga wapambana na polisi Kariakoo
10 years ago
BBCSwahili26 May
Polisi wapambana na Al shabaab Kenya