Polisi watanda Muhimbili kuwazuia ‘JKT’
>Polisi wenye silaha na mabomu ya machozi pamoja na maofisa usalama, jana walitanda katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH) kuzuia vijana waliopata mafunzo ya Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) wasimwone mwenyekiti wao, George Mgoba, aliyelazwa baada ya kutekwa na kuteswa na watu wasiojulikana.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi24 Mar
JKT Mbweni yainyuka Polisi Uganda
10 years ago
Habarileo10 Apr
Askari JKT auawa akisaidiana na Polisi kukabili majambazi
WATU wawili akiwemo jambazi mmoja na askari mwanafunzi wa Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), wamekufa na wengine kunusurika kuuawa katika tukio lililotokea juzi, mjini Mafinga mkoani Iringa wakati majambazi wakirushiana risasi na askari wa Jeshi la Polisi.
9 years ago
BBCSwahili28 Oct
Wasiwasi watanda Zanzibar
9 years ago
BBCSwahili28 Oct
Wasiwasi watanda Zanzibar kuhusu matokeo
9 years ago
Mwananchi01 Oct
Utata watanda vifo vya watu watano
11 years ago
Mwananchi19 Feb
Ulinzi watanda katika kila kona bungeni
9 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-v2_XIJ9S1Ug/VeARqSfYtZI/AAAAAAAH0l8/ZYMzXcWZXHc/s72-c/Screen%2BShot%2B2015-08-28%2Bat%2B10.44.17%2BAM.png)
Tangazo kwa wahitimu wa kidato cha nne, sita na JKT ambao wamechaguliwa kujiunga na mafunzo ya awali ya Polisi
![](http://1.bp.blogspot.com/-v2_XIJ9S1Ug/VeARqSfYtZI/AAAAAAAH0l8/ZYMzXcWZXHc/s640/Screen%2BShot%2B2015-08-28%2Bat%2B10.44.17%2BAM.png)
KILA MMOJA ATATAKIWA KUWA NA NAULI YA KUMWEZESHA KUSAFIRI TOKA MAKAO MAKUU YA MKOA ANAKOANZIA KUSAFIRI HADI SHULE YA POLISI MOSHI NA ATAREJESHEWA NAULI ATAKAPOFIKA...
10 years ago
BBCSwahili25 Mar
Mgahawa wa Kichina wakiri kuwazuia weusi