Wasiwasi watanda Zanzibar kuhusu matokeo
Nchini Tanzania, maafisa wanaohusika na uchaguzi kwa siku ya pili wamekuwa wakihesabu kura.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili28 Oct
Wasiwasi watanda Zanzibar
Vyombo vya usalama vimewekwa katika hali ya tahadhari kubwa kutokana na machafuko yaliyochochewa na mgombea wa kiti cha urais kujitangaza kuwa mshindi
10 years ago
Dewji Blog31 Oct
Taarifa ya ZADIA kuhusu kufutwa kwa matokeo ya Uchaguzi Zanzibar

11 years ago
Mwananchi23 Feb
Wanataaluma waonyesha wasiwasi matokeo kidato 4
Siku moja baada ya Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi, kutangaza matokeo ya kidato cha nne na kuonyesha ufaulu kuongezeka kwa asilimia 15, wadau wa elimu wamepinga matokeo hayo kwa madai kuwa ubora wa elimu haukuangaliwa.
11 years ago
BBCSwahili28 Nov
Wasiwasi wa UN kuhusu CAR
Naibu mkuu wa UN ameelezea wasiwasi kuhusu hali katika Jamhuri ya kidemokrasi ya Congo, akitaka kikosi maalum cha amani kupelekwa nchini humo
11 years ago
BBCSwahili14 Mar
Wasiwasi wa Facebook kuhusu udukuzi
Mwanzilishi wa Facebook Mark Zuckerberg amesema kuwa amezungumza na Rais Barack Obama kumwelezea kero lake kuhusu udukuzi unaofanywa na serikali kwa mitambo ya Dijital.
11 years ago
BBCSwahili31 Mar
Wasiwasi wa vijana kuhusu katiba TZ
Baadhi ya vijana wameonyesha wasiwasi wao juu ya kuvunjika kwa muungano wa Tanzania bara na Zanzibar.
11 years ago
BBCSwahili05 Jun
Wasiwasi kuhusu hali nchini Somalia
Maafisa wa Marekani na EU wanafanya mkutano wa dharura na Rais wa Somalia, Hassan Mohamoud, kujadili hali ya usalama inayoendelea kuzorota nchini humi.
11 years ago
BBCSwahili17 Apr
Wasiwasi kuhusu wanafunzi waliotekwa Nigeria
Hali ya wasiwasi imetanda kuhusu zaidi ya wasichana 100 waliotekwa nyara na washukiwa wa kundi la wapiganaji la Boko Haram
9 years ago
BBCSwahili10 Nov
Ufaransa yaeleza wasiwasi kuhusu hali Burundi
Ufaransa imependekeza hatua zichukuliwe kusitisha mauaji ambayo yamekuwa yakiendelea nchini Burundi.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
07-May-2025 in Tanzania