Wasiwasi wa UN kuhusu CAR
Naibu mkuu wa UN ameelezea wasiwasi kuhusu hali katika Jamhuri ya kidemokrasi ya Congo, akitaka kikosi maalum cha amani kupelekwa nchini humo
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
11 years ago
BBCSwahili14 Mar
Wasiwasi wa Facebook kuhusu udukuzi
Mwanzilishi wa Facebook Mark Zuckerberg amesema kuwa amezungumza na Rais Barack Obama kumwelezea kero lake kuhusu udukuzi unaofanywa na serikali kwa mitambo ya Dijital.
11 years ago
BBCSwahili31 Mar
Wasiwasi wa vijana kuhusu katiba TZ
Baadhi ya vijana wameonyesha wasiwasi wao juu ya kuvunjika kwa muungano wa Tanzania bara na Zanzibar.
11 years ago
BBCSwahili05 Jun
Wasiwasi kuhusu hali nchini Somalia
Maafisa wa Marekani na EU wanafanya mkutano wa dharura na Rais wa Somalia, Hassan Mohamoud, kujadili hali ya usalama inayoendelea kuzorota nchini humi.
11 years ago
BBCSwahili17 Apr
Wasiwasi kuhusu wanafunzi waliotekwa Nigeria
Hali ya wasiwasi imetanda kuhusu zaidi ya wasichana 100 waliotekwa nyara na washukiwa wa kundi la wapiganaji la Boko Haram
9 years ago
BBCSwahili28 Oct
Wasiwasi watanda Zanzibar kuhusu matokeo
Nchini Tanzania, maafisa wanaohusika na uchaguzi kwa siku ya pili wamekuwa wakihesabu kura.
9 years ago
BBCSwahili09 Oct
Wakazi wajawa na wasiwasi kuhusu El Nino Kenya
Mvua imeanza kunyesha maeneo mengi Kenya na watabiri wa hali ya hewa wanasema mvua hiyo huenda ikasababisha madhara.
9 years ago
BBCSwahili10 Nov
Ufaransa yaeleza wasiwasi kuhusu hali Burundi
Ufaransa imependekeza hatua zichukuliwe kusitisha mauaji ambayo yamekuwa yakiendelea nchini Burundi.
9 years ago
BBCSwahili17 Dec
Utafiti: Watanzania wana wasiwasi kuhusu mashambulizi
Matokeo ya utafiti yaliyotolewa leo yanaonyesha wengi wana wasiwasi juu ya vitisho vya mashambulio dhidi ya Tanzania siku zijazo.
9 years ago
BBCSwahili11 Dec
Van Gaal:Sina wasiwasi kuhusu wadhfa wangu
Mkufunzi Louis Van Gaal amesema kuwa hana wasiwasi kuhusu wadhfa wake na kwamba kikosi chake kinafaa kujaribu kushinda taji la Yuropa.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania