Wasiwasi watanda Zanzibar
Vyombo vya usalama vimewekwa katika hali ya tahadhari kubwa kutokana na machafuko yaliyochochewa na mgombea wa kiti cha urais kujitangaza kuwa mshindi
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
9 years ago
BBCSwahili28 Oct
Wasiwasi watanda Zanzibar kuhusu matokeo
Nchini Tanzania, maafisa wanaohusika na uchaguzi kwa siku ya pili wamekuwa wakihesabu kura.
10 years ago
Mwananchi23 Feb
Polisi watanda Muhimbili kuwazuia ‘JKT’
>Polisi wenye silaha na mabomu ya machozi pamoja na maofisa usalama, jana walitanda katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH) kuzuia vijana waliopata mafunzo ya Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) wasimwone mwenyekiti wao, George Mgoba, aliyelazwa baada ya kutekwa na kuteswa na watu wasiojulikana.
9 years ago
Mwananchi01 Oct
Utata watanda vifo vya watu watano
Tukio la kuuawa kwa watu watano wa familia moja waliokatwa mapanga na kisha kupoteza maisha kwenye Kitongoji cha Kisesa wilayani Maswa, limegubikwa na utata juu ya watuhumiwa.
11 years ago
Mwananchi19 Feb
Ulinzi watanda katika kila kona bungeni
Ulinzi katika majengo na viunga vya Bunge umeimarishwa. Tangu jana idadi ya askari polisi imeongezeka.
10 years ago
Vijimambo01 Oct
UKUNGU WATANDA NI BAADA YA WEMA SEPETU KUKABIDHIWA MAGARI 2 KWENYE B DAY YAKE..BMW LAZUA MIGUNO
11 years ago
BBCSwahili28 Nov
Wasiwasi wa UN kuhusu CAR
Naibu mkuu wa UN ameelezea wasiwasi kuhusu hali katika Jamhuri ya kidemokrasi ya Congo, akitaka kikosi maalum cha amani kupelekwa nchini humo
10 years ago
BBCSwahili12 Nov
Wasiwasi wa wanablogu Tanzania
Baadhi ya wamiliki wa blogu nchini Tanzania wameonyesha wasiwasi baada ya wito kutolewa wa kuwataka wafanye kazi chini ya jumuia inayotambulika.
11 years ago
BBCSwahili12 Jan
Mabadiliko ya Gmail yazua wasiwasi
Wateja wa Gmail wataweza kutuma ujumbe moja kwa moja katika akaunti nyinginezo za Gmail licha ya watumiaji kutofahamiana.
11 years ago
BBCSwahili31 Mar
Wasiwasi wa vijana kuhusu katiba TZ
Baadhi ya vijana wameonyesha wasiwasi wao juu ya kuvunjika kwa muungano wa Tanzania bara na Zanzibar.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania